Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Kuhusu wanaouliza kazi za NZ hasa za Udereva na Nanny

Nanny anaitajika ni mwanamke au msichana

Dereva ni wakiume au mwanaume

Tangazo hili la kazi limetumwa kwenye Group la Whats app lililosema juzi so mnaweza kuwasiliana na muhusika mwenyewe

Kwa facebook ni Arabella Walsh
kwa email ni walsharabella@gmail.com

Note usitoe fedha ya aina yeyote kuanzia visa vyote anashugulikia mama mwenyewe

Kuhusu hoja za mgaka12 nazifatilia kujiridhisha na anachosema kwani si kila kitu alichosema ni chakupuuza
yapo mengine aliyoongea yanamaana sana

Ukiwasiliana naye sema unatokea Tanzania East Africa kwani kuna wengine hawajui Tanzania inapatikana wapi

anzeni kwenye Facebook account yake
Shukrani sana mkuu Izzo. Nina imani kila kitu kitakwenda sawa na kwa uaminifu mkubwa.
 
Nimeshawasiliana nae,kasema ana watoto wawili kwangu haina shida
So nimetuma scanned passport na CV yngu so nasubiri kuckia kutoka kwake
Thanks izzo maisha popote,Yes nina degree lakini ramani hazisomi ngoja nijitoe muhanga mimi.
Humbled, twakuombea jitihada zako zizae matunda ufike NZ
Usitusahau wenzio huku [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu najiamini asilimia mia
Najua ninachotafuta katika maisha yangu.
Sitafuti kwenda ulaya tuu ila natafuta maisha yenye unafuu yatakayofanya watoto wangu wajivunie huko badae so nikipata aibu pembeni nafanya kazi Over.
So am starting from the scratch
Saafi sana hao ndio watu tunaka wenye malengo nia na kuthubutu nakuombea ufanikiwe kwakweli Mungu ataonyesha njia katika hili Innshaa Allah.
 
Mkuu samahani hakuna njia nyingine Zaidi ya hizo maana nataka nijilipue nikasake life
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
Kwa wale wanaotaka ile nafasi ya udereva ambayo izzo kaileta pitieni kidogo hapa.

Convert your overseas driver licence

If you’re here for a year or more, you need a New Zealand driver licence. If your overseas licence is still current, or expired less than 12 months ago, you can apply to convert it to a New Zealand licence. Whether you’re in New Zealand for a short time or you’re here to stay, you need to bring your current driver licence from your home country. You may also need an international driving permit or a translation of your licence if it’s not in English.

Apply to convert your overseas driver licence at an authorised Overseas conversion driver licensing agent.

For more information on overseas licence conversions call 0800 822 422 or visit the NZTA website.

You'll need to:

Complete an application for conversion of an overseas driver licence form (or get a copy from any driver licensing agent).
Present your overseas driver licence (if your overseas licence is not in English you’ll also need to present a translation of your overseas licence by an approved translator. If your license does not have an issue date, you may need to provide further evidence of your driving record).
Present your overseas passport.
Present colour photocopies of all the original evidence above.
Present a current medical certificate, if required.
Pass an eyesight screening check - unless you provide a current eyesight or medical certificate.
Pay the licence fee. The amount will depend on the type of licence.
Once approved by the Transport Agency you can expect to receive your NZ photo driver licence within 21 days. If the Transport Agency has not contacted you and you have not received your licence within this time you will need to contact them on 0800 822 422.

Eyesight screening check

When applying for or renewing any driver licence or endorsement, you'll need to prove your eyesight meets the required standard. You can undergo a basic eyesight screening check at your nearest AA Centre, AA Driver & Vehicle Licensing Agent or Rural Mobile Unit.
The equipment used in the test is a screening device which 96.9% of all motorists pass each year. The remaining 3.1% may or may not have a problem with their eyes. If this is the case you'll need to provide an eyesight certificate from your doctor or optometrist.
Read more about the eyesight screening check on the NZTA website.


Approved countries

Drivers who have held a full drivers licence for two years or more from these countries can convert their driver licence to a New Zealand licence without taking a theory or practical test: Australia, Austria, Belgium, Canada, Denmark, Finland, France, Germany, Greece, Hong Kong, Ireland, Italy, Japan, Luxembourg, The Netherlands, Norway, Portugal, South Africa, South Korea, Spain, Sweden, Switzerland, The United Kingdom, United States of America.

If your licence was issued in one of these countries, complete the application form and take it along with the required ID to your nearest authorised Overseas conversion driver licensing agent.


For drivers from countries not on the approved list

If your country is not on the list of approved countries then you must:

1. Pass the theory test

2. Pass a practical driving test


How to prepare for the theory test

Drivers who hold a full driver licence from countries which aren't listed above will need to pass a theory test. To prepare:

The AA Road Code Practice Test will help you practice and pass the real Theory test

Buy an Official New Zealand road code to help you learn New Zealand’s road rules

Once you have learned and practiced the theory test you can go to your nearest authorised AA Centre and take the test.


How to prepare for the practical test

Once you have passed the Theory test you need to pass the practical test. To prepare:

Get some driving lessons to brush up on your skills

Book a simulated driving test that will help you practice for the real thing

Once you are prepared for the practical test, and you have received your New Zealand photo driver licence with a supervisor condition, you can go to your nearest authorised AA Centre to book your practical driving test. You can also call NZTA on 0800 822 422 to book if you are paying by debit or credit card.
 
Huyo ndo Britannica, mgaka 12,katarelo, jina lake halis kelvin issaya tapel mkubwa sana hana huruma kwa maskin wenzake
 

Attachments

  • Screenshot_2017-03-21-12-01-27.png
    Screenshot_2017-03-21-12-01-27.png
    447.8 KB · Views: 81
Mr KGB nimeshasema nimejoin JF to Tell the truth, if you don't someone will tell it for you mnataka kumfanya mwenzenu aonekane mjinga kwa jambo hili how can you do that mr izzo hivi unawezaje kufanya hv wanaokusifia hapa moyoni wanakuona mjinga kubeba msalaba kwa watu ambao hata uwajui, kama ni watu wema kweli hapa kuna wezi,vibaka,wasomi JF imebeba watu wote unaowajua so what if unampatia mtu mtoto wa watu then usiku akambaka asubuhi akatoroka kwani nyumba amepanga si yake then kamwibia kila kitu , utawambia nini wazazi wake ?
Mkuu usitufanye wajinga kias hcho,kama umejoin JF kwa ajili ya kusemea hilo,we ulijuaje kama kuna thread inayozunguzia maswala ya diaspora ka hukuwa member before?? Acha kutudanganya kama unaona wshakuharibia ulaji ako tafta namna jingne ila kwa hilo umefel
 
Asante kwa kuniombea,nikifanikiwa nataka nimuone mkuu izzo kwa macho yaani mubashara[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Go binti, kijijin kwetu kuna nyumba kali sana kuliko maelezo naambiwa kajenga housegal yuko huko ulaya na alikuwa drs la 7 tu, kwako ww nakuamin unajua kujimultiply utavuna alot. Hope utakuwa mchaga ww kwa hasira hizo lol, kidding.
 
Akyanani wakuu nimefuatilia discussions tofauti kwenye nyuzi ya siasa nkatafakari kwa yanayotokea hapa bongoland imebidi nirudi hapa maana pananipa hata tumaini la kuiwaza kesho yangu


WAKUU YAANI HATA IKIPATIKANA KAZI YA HOUSEBOY AU SHAMBA BOY HUKO MAJUU TUSHTUANE TUU TUKALIPUKE.


Mungu akutangulie Shyshii



cc wiseboy
Daby
Kirikou
Dr Adam
Mriko
Lusango
Na wakuu wenzangu wote
 
Back
Top Bottom