Thubutuu hapigwi mtu hapa hela Ilivyo ngumuanapigwa mtu hapa[emoji15]
Mkuu, ingia tu mara kwa mara naamini hutakosa kupitia ukurasa huuNina diploma ya biomedical engineering nchi gani naweza kupata kazi kiurahisi?
Barikiwa comradeHapa kunashule hutakiwi kuikosa kabisa, kama kunajambo linakutatiza hujawaza kuuliza mara unakatana na majibu ambayo unajibia maswali yako yote hata ambayo hukuwahi kiwaza.
Hii ndio thread inayounganisha watu waiana zote, rangi zote, makabila yote, dini na wasio na dini. Hii ni nyizi ya wajanja waliopata elimu ya imani na kusaidia watu bure kabisa, kabisa.
Baraka zinazoshuka humu hazijawahi kushuka kwa jambo lolote katika nchi hii ya wenye vinyongo na roho mbaya. Na kila anayejaribu kutia pua kutaka kitiharibia anakula za usso anasepa.
Hongoreni vijana, wazee mliojitolea kuchukua muda wenu. Wanaopata fursa msituangushe, na hakuna kusita ukaanza kujiuliza sijui itakuwaje. Ukiipata shirikisha wenzako humu ili upewe a,b,c zakushika mkononi na kukuongezea ujasiri na umakini.
TWENDE KAZI..........
Sorry mkuu it was error mesageSijaelewa chalii wa ara.
Mungu ni mwema sana comrade Marveljt, ni raha sana kuona ndugu wanakaa pamoja kwa upendo na kula mkate(fursa)kwanza kabisa mshukuru Mungu kwa kukupa uzima na ujasiri, pia mshukuru izzo kwa kuwa na moyo wa upendo na hari ya kusaidia watanzania wenzake. am sure kama izzo angekuwa na moyo mdogo kwa maneno ya kevin nadhani asingeweza kuendelea na sisi hapa jukwaani. tuliza akili kidogo ili uweze kujaza kila kitu kwa ufasaha
ubarikiwe sana izzo ,stunter,daby,lusungo,kirikou,kavel na wengineo tunaowatakia wenzetu mafanikio. wao mbele sisi nyuma.
Hahaha, mkuu Lusungo umetishaNashukuru kwa kuchangia, karibu tena.
HahahaHapana vuta subra kidogo ni mapema sana. Mshenga wako mkuu ni mzee izzo na msaidizi wake ni kaka yako lusungo, sisi wazee wa baraza tutatia timu ikionekana tatizo ni sugu zaidi. Vuya subra kidogo ili uusome mchezo
Naomba na mimi nishukuru pia mkuu [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Nahisi ni matapeli angalieni email za hao ma agent full uongoUtaratibu wote fanya kwa uangarifu mkubwa sana No kutoa hela yeyote kila kitu afanye mwenyewe kama nilivyosema kwenye Tangazo
Bado unajadiliana naye? Achana naye ni tapeli huyo. Profile yake ya fb itakuwa ni feki.Nimemwambia to cancel kwa huyo agent anitumie invitation kasema haiwezekani
Huu ni utapeli mkuu piga chini!! Wao wako NZ sasa Russia utume kwa nani?Nahisi ni matapeli angalieni email za hao ma agent full uongo
View attachment 484354View attachment 484355
Nimeshawasiliana nae,kasema ana watoto wawili kwangu haina shida
So nimetuma scanned passport na CV yngu so nasubiri kuckia kutoka kwake
Thanks izzo maisha popote,Yes nina degree lakini ramani hazisomi ngoja nijitoe muhanga Naomba namba na mi niwasiliane nae coz nimetumia fb, pia nimemtumia email lkn mpaka sasa hajanijibu chochote. nime aply driving
Nimeona hili Tangazo limekuja juzi kuna jamaa wa AU alilituma but alituambia tuwe makini kwani ya yeye bado ajaliverify so alitoa angalizo na mm pia nilitoa angalizo kuwa usitoe hela yeyote kila kitu ashugulikie mwenyeweNahisi ni matapeli angalieni email za hao ma agent full uongo
View attachment 484354View attachment 484355
umejiunga kuzungumza ukweli? hivyo ulikuwa malaika kuwa kunauzi huko JF unausu nchi za ng'ambo ngoja nikaseme ukweli hivi mzee... mbona kama sikuelewi... maana kuna nyuzi nyingi sana humu JF kwanini usingepita kila nyuzi unadondosha facts tu mzeee kwanini hapa na ulipajuaje hapa mpaka ukaja straight mzeee....Mr KGB nimeshasema nimejoin JF to Tell the truth, if you don't someone will tell it for you mnataka kumfanya mwenzenu aonekane mjinga kwa jambo hili how can you do that mr izzo hivi unawezaje kufanya hv wanaokusifia hapa moyoni wanakuona mjinga kubeba msalaba kwa watu ambao hata uwajui, kama ni watu wema kweli hapa kuna wezi,vibaka,wasomi JF imebeba watu wote unaowajua so what if unampatia mtu mtoto wa watu then usiku akambaka asubuhi akatoroka kwani nyumba amepanga si yake then kamwibia kila kitu , utawambia nini wazazi wake ?
Itakuwa ni msaada mkubwa saana mkuu.View attachment 484367
Nimeona hili Tangazo limekuja juzi kuna jamaa wa AU alilituma but alituambia tuwe makini kwani ya yeye bado ajaliverify so alitoa angalizo na mm pia nilitoa angalizo kuwa usitoe hela yeyote kila kitu ashugulikie mwenyewe
JANA nilikuwa nawasiliana na Agent mmoja yuko Ujerumani nadhani nitatembelea office yake wiki hii yeye anafanya kazi na kampuni za ujenzi za Ujerumani na Canada mara nying anafanya na Wahindi na wapakistan wanatakiwa watu 50 kwa Project za Canada na Ujerumani So nitakwenda kumtembelea maana vitu vingine tumekuwa waoga sana kujihushisha navyo hasa hapa jukwaani
Hivi New Zealand wanatumia dollar au?