Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mrejesho wapendwa
Nilipo tumbo la kuendesha limenipata,ananitaka niwe New Zealand tarehe 30 mwezi huu
Anasema mimi nishulikie visa kuhusu travel ticket ni yeye ushauri please
Izzo njoo huku
Simple work with it bro... usikwame jamaa... akupe andiko la kuombea visa tu uanze mchakato alafu akutumie hiyo tkt... kama kuna wengine wakukupa ushauri bt mwambie akupe hiyo doc ili ikusapotu katk kuomba visa mzee...
 
Nitoe kisa kiliwahi nipata Mimi. Kuna jamaa mmoja anaishi Japan, ila ni mtanzania. Yeye ana ukurasa FB, anasema anauza magari, spare, Laptop na vitu vingine vingi sana. Yaani chochote utakacho, anakuletea. Kwa makubaliano ya wewe kuweka pesa bank kwenye account yake ya CRDB. Unaweka nusu, kisha nusu utamalizia mzigo ukifika. Na ana ofisi yake hapa Tz.
 
Mwambie akutumie invitation letter, then ukienda Migration fasta wanakupa Passport( kama huna) then unafanya maswala ya visa ubalozini, easy unang'oa,,,, kama nitakuwa nimekosea wakuu watakuja kunicorect
vitu kama hivi ndio mjinga mmoja anakuja kutupinga na uzi huu... chamsingi kabla haujasepa mlio njee mpeni msasa jamaa ajue kuishi na watasha hasije akaaribu Tanzania ikashindwa aminika... maana tupo ktk mpango kabambe wa kuisafisha kimataifa...
 
Ahsante mkuu, ila cha msingi ulitoa angalizo mapema kabisa.
 
Mkuu izzo a nataka mawasiliano na wewe embu mdikilize haraka kwanza
 
Hapa najua akifanya kazi kwa ufasaha na muajiri akipenda kazi yake hatashindwa kumuendeleza kimasomo... wazungu sio kama [HASHTAG]#brita[/HASHTAG]....
 
Mkuu una vibrate na kitu kidoogo hicho! Mbona sio big deal, uzuri kwamba uzi uko open sana kwa kila hatua, hiyo ni faida moja wapo.
 
Mwenyewe napata wasiwasi ila amesema alhamisi atanitumia mkataba wa kazi

Hongera sanaaaaa tu.Tafadhali usianike mkataba jukwaani.waPM Izzo,Lusungo Na wahusika ili kukuondolea mtihani.
 
Jamani eeeh nahisi ni matapeli
Nawatumieni email sasa hivi ya uongo balaah
It's hard to tell who has your back, from who has it long enough just to stab you in it.... izzo tunataka majibu ya hili hahahahahahahahahaha now u gat my point
 
Mkuu una vibrate na kitu kidoogo hicho! Mbona sio big deal, uzuri kwamba uzi uko open sana kwa kila hatua, hiyo ni faida moja wapo.
Nishatulia hapa mkuu...nimepiga kama glass tatu za maji baridi naona vibration zimekataa, asee kama una hasira au umekwazika embu kunywa hata glass mbili za maji.
 
Yap yap comrade, naamini pia mkuu
 
Mkuu kwani akiweka mkataba hapa jf kuna mtu atamwibia mkataba wake?

Hawezi kuweka mkataba hapa JF kwani ni kati yake yeye na mwajiri wake.

Cha msingi ni kuwa makini na wale waajiri watarajiwa na khasa kutoka Afrika magharibi ambao wanaweza kujiweka mtandaoni kama vile ni "genuine case" kumbe ni "scam".

Hata kama ni mzungu pia ni muhimu kuwa makini katika "stage" zote.

Unapoanza "Process" nzima ya viza na ubalozi ndiyo unakuwa angalau una uhakika wa huyo mtu.
 
Kabisa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…