Asante mkuu, kumbe muda mwingine neno halimaanishi kama lilivyoandikwa[emoji3] [emoji3] [emoji3]visa on arrival means that you will need to pay a small fee to purchase a visa sticker when you are entering the respective country
Siwezi kuorozesha,, ila mjini shule kijijini kilimoEndelea kusikia. Umeambiwa katapeliwa nani?
Hongera sana mkuu money9. Kazana mungu atakusaidia pass utapata tuu,Mikakati bado inaendelea Jana baada ya kupata taarifa za mkuu Izzo kujitoa, roho iliniuma lakini haina jinsi as nilikuwa nategemea ntampata mtu wa kuhost kutoka kwake
Sasa usiku kucha nikaumiza kichwa yaani sikupata usingizi kabisa, asubuhi na mapema nikachana kibubu changu laki moja ya kitanzania hivi then nikabeba vyeti vyangu, vya mshua na bibi mkubwa mpaka ofisi za uhamiaji Arusha kupata passports ya kusafiria, yaani pale maswali niliyopigwa mzee acha tyu.....sasa naulizwa passport ya nini kijana mdogo kama wewe embu rudi huko.....asee nilipata moto balaaa, nikawaambia nasafar ya kwenda China kuchukua mzigo next week......Mara nkasikia mbona haujaweka leseni ya biashara yako.....dah yaan nkabembeleza pale ila nachoshukuru kuna form ya mwanzo ile nishajaza, nkapeleka kwa mwenyekiti wa mtaa, nasubir maamuzi yao.
WAKUU HABARI NZURI NI KWAMBA NIMEJIUNGA coachsurfing.com yaani Leo Leo nikampata mdada mmoja wa Canada anaitwa Maya, tuko kwenye discussion naye mwezi April au June mwanzoni anataka kuja ila ameniambia tuendelee wasiliana kwanza atanipa info sijafahamu hili ni kwanini, ila alichoniomba nimrushie picha za
1: Room (muhimu hapa nimemwambia shared bed)
2: sitting room
3: bathroom
4:Garden ( kwetu hamna ni sehem tu ya kuanika nguo na bomba la maji)
5: neighborhood ( uswahilini ila nimemwambia hill)
Yaani hapa bado tunafanya mawasiliano naye na nilikuwa namwambia vipi Mimi nikija kwako, sijui if she will think am too rush.
cc
Dr Adam
Stunner
Lukizo
Daby
Kirikou
Na wakuu wenzangu wote.......
AFU LILE DUBWASHA LILODONDOKA HAPA NAONA JANA NA LEO NLLINAJIPONGEZA SANA.
Kama huwezi Basi huo ni unafiki na umbea. Ikiwa Umekuwa kuusema hapa na umeshindwa kuwataja huo ni zaidi ya ushambenga. Mambo yote yalikuwa yanafanyika hadharaniSiwezi kuorozesha,, ila mjini shule kijijini kilimo
Sawa nasubiri mkuuPoa, ntakuinbox namba zao mkuu. Though ntawaambia before.
Karibu
Mikakati bado inaendelea Jana baada ya kupata taarifa za mkuu Izzo kujitoa, roho iliniuma lakini haina jinsi as nilikuwa nategemea ntampata mtu wa kuhost kutoka kwake
Sasa usiku kucha nikaumiza kichwa yaani sikupata usingizi kabisa, asubuhi na mapema nikachana kibubu changu laki moja ya kitanzania hivi then nikabeba vyeti vyangu, vya mshua na bibi mkubwa mpaka ofisi za uhamiaji Arusha kupata passports ya kusafiria, yaani pale maswali niliyopigwa mzee acha tyu.....sasa naulizwa passport ya nini kijana mdogo kama wewe embu rudi huko.....asee nilipata moto balaaa, nikawaambia nasafar ya kwenda China kuchukua mzigo next week......Mara nkasikia mbona haujaweka leseni ya biashara yako.....dah yaan nkabembeleza pale ila nachoshukuru kuna form ya mwanzo ile nishajaza, nkapeleka kwa mwenyekiti wa mtaa, nasubir maamuzi yao.
WAKUU HABARI NZURI NI KWAMBA NIMEJIUNGA coachsurfing.com yaani Leo Leo nikampata mdada mmoja wa Canada anaitwa Maya, tuko kwenye discussion naye mwezi April au June mwanzoni anataka kuja ila ameniambia tuendelee wasiliana kwanza atanipa info sijafahamu hili ni kwanini, ila alichoniomba nimrushie picha za
1: Room (muhimu hapa nimemwambia shared bed)
2: sitting room
3: bathroom
4:Garden ( kwetu hamna ni sehem tu ya kuanika nguo na bomba la maji)
5: neighborhood ( uswahilini ila nimemwambia hill)
Yaani hapa bado tunafanya mawasiliano naye na nilikuwa namwambia vipi Mimi nikija kwako, sijui if she will think am too rush.
cc
Dr Adam
Stunner
Lukizo
Daby
Kirikou
Na wakuu wenzangu wote.......
AFU LILE DUBWASHA LILODONDOKA HAPA NAONA JANA NA LEO NLLINAJIPONGEZA SANA.
Fanya upate POLICE REPORT ya huko ulipopotezea alafu utangaze kwenye gazeti uambatanishe copy ya gazeti wakati unaenda kuomba. Otherwise sio rahisi update maana kesi za LOST PASSPORT huwa hawa-handle wale maofisa wadogo wadogo, lazima zipelekwe kwa MKURUGENZI yule kama sikosei.nimepoteza passport nikiwa Namibia je ni taratibu zipi za kufuata niipate nyingine uzuri nina electronic copy yenye particulars ya pass iliyopotea? Je uhamiaji wana database labda ya kudumu haitanihitaji kusubmit viambatanishi vya awali?
Kujiripua kumesha pitwa na Wakati kwamika hii wazungu wameshastuka ukijifanya wewe ni Msomali umejilipua mzungu anakuitia msomali mwenzako mupate kuzungumza kwenye mahojiano. Kisha huyo Msomali anakutoa nishai anamwambia mzungu kuw awewe sio msomali. Hao Wa-Tanzania waliojiripua mika ya nyuma kwa kutumia Utaifa wa Kisomali katika nchi hzi hapa (USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES.) kwa hivi sasa wazungu wameshastuka huwezi tena kujiripua.Tanzania nchi yetu ni nzuri sana kama una pesa za kufanya biashara yoyote inalipa ili mradi ufanye kazi ndipo utakapo pata pesa ukiwa mvivu hutoweza kupata pesa na ukiangalia ukiwa ugenini ni sawa sawa na mtumwa wa watu weupe utatumika kwa wazungu na kila mwisho wa mwezi pesa unayoipata utaishia kulipa kodi ya kuangalia TV kodi ya Mama malkia wa uingereza kila kitu nchi za nje ni kodi hata ukitaka kwenda (Toilet) unalipa kodi aka (tax pay) utaishia kila mwisho wa mwezi huna pesa na madeni mengi yana kuandama matokeo yake, hata ukiamuwa kurudi nyumbani huna kitu.Asikwambie mtu nyumbani ni kuzuri kuna kila njia ya kuweza kupata pesa ili mradi usivunje sheria za nchi ninaishia hapo kwa leo.Ndugu wana JF
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.
Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi nimeona nifungue uzi huu ili kuweka mambo yote wazi kwa kadiri itakavyowezekana na kualika wengine pia waweze kutoka maoni yao.
Ndugu zangu nchi yetu ya Tanzania ki uwezo bado ni changa, fursa za kutoka ni chache na hata changamoto ni nyingi. Huko kwa wenzetu fursa ni nyingi ndio maana imekuwa chanzo cha kuvuta wahamiaji wengi sana toka mataifa masikini.
Nchi masikini wenzetu huko mbele raia wao wamejaa haswa kutokana na moyo wa kusaidiana na kuvutana.
Nimeamua nilete hoja hii kama ambavyo wenzetu hufanya huko Nairaland ya Nigeria ili kila mtu mwenye ujuzi au ufahamu juu ya namna ya kutoka (kujilipua) atoe msaada kwa wengine kwenda huko... si lazima wewe binafsi usaidie mtu binafsi NO, hata mbinu tu za jinsi ya kufika huko.
Kabla sijaingia kwenye kiini cha mada naomba nitoe faida na changamoto za kujilipua.
FAIDA
1. Fursa nzuri za kiuchumi na kujiinua hasa ukiwa na malengo.. Wakuu binafsi nimeishi Marekani kwa miaka nane. moja ya faida nilizopata huko ni kujiinua kiuchumi.... binafsi wakati naenda kusoma huko nilijiwekea malengo ya kujenga ghorofa nyumbani, kufungua mashine za kusaga na kukoboa nafaka pamoja na kumiliki fuso za mizigo...
kipato cha mfanyakazi wa kule ni kikubwa mno kushinda hata cha baadhi ya maboss wetu hapa... hivyo nilijitahidi nilipokuwa kule malengo yangu yaimie... ni kweli baada ya muda huo nilifanikiwa kutimiza yote.
2. Huduma nzuri za afya, Elimu, Sheria, miundombinu.
CHANGAMOTO
1. changamoto kubwa kwa kuwa kule ni upweke (ku feel home mara kwa mara japo wakati mwingine ukizoea hutoweka)
2. Xenophobia hii ni kwa baadhi ya nchi tu sio zote.
USHAURI WA WAPI UENDE NA NAMNA GANI UENDE
Kwa wale wahitaji wa masuala ya maisha kujijenga na kuchuma nashauri nchi hizi, USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES. kwa Afrika nashauri SA.
Jinsi gani utaenda namna ni nyingi.... naorodhesha baadhi hapo chini...
1. kwenda kimasomo ambapo unaweza tafuta sponsors then ukapata scolarship itayokuwezesha kupata visa na kujilipua huko baada ya masomo...
2. Kutafuta mwenzi wa nje ambaye atakualika huko kisha mtaoana na kukuwezesha kupata resident permit na baadae uraia.
3. Kuhamisha mataji na biashara njia hii unakubaliwa popote alimradi uwe na biashara halali,
4. kwenda kwa shughuli za utamaduni
Wenzetu wakenya na wanigeria wameunda mfumo wa kualikana wao kwa wao, kwamba mtu anakutumia barua ya mwaliko, then unakwenda ukifika huko anakutafutia mtu mnaoana kisheria tu ili upate karatasi kisha kila mtu anasika hamsini zake....
Wapendwa mambo ni mengi siwezi andika yote ndio maana nimeanziasha uzi huu tutaendelea kujuzana kwa kairi michango ya watu itakavyokuwa na maswali yatayojitokeza.
Nawakaribisha nyote. Na wote wenye maujuazi au mauzoefu ya huko mbele... karibuni tusaidiane tujenge taifa letu... Tuwasaidie vijana wakasake fursa.
Umechanganya madawa. Ujinga mwingine wa watu wengi wanaochangia kwenye uzi huu hawataki kisoma kuanzia post namba moja, mtu anakuja na kurusha makamasi yake tu, hajali nguvu na muda watu waliochukua kujadili mambo ya maana.Nasikia hii thread ni ya kitapeli
Sasa mbona wewe hutaki kuishi Tanzania? Kipi kilichokusibuKujiripua kumesha pitwa na Wakati kwamika hii wazungu wameshastuka ukijifanya wewe ni Msomali umejilipua mzungu anakuitia msomali mwenzako mupate kuzungumza kwenye mahojiano. Kisha huyo Msomali anakutoa nishai anamwambia mzungu kuw awewe sio msomali. Hao Wa-Tanzania waliojiripua mika ya nyuma kwa kutumia Utaifa wa Kisomali katika nchi hzi hapa (USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES.) kwa hivi sasa wazungu wameshastuka huwezi tena kujiripua.Tanzania nchi yetu ni nzuri sana kama una pesa za kufanya biashara yoyote inalipa ili mradi ufanye kazi ndipo utakapo pata pesa ukiwa mvivu hutoweza kupata pesa na ukiangalia ukiwa ugenini ni sawa sawa na mtumwa wa watu weupe utatumika kwa wazungu na kila mwisho wa mwezi pesa unayoipata utaishia kulipa kodi ya kuangalia TV kodi ya Mama malkia wa uingereza kila kitu nchi za nje ni kodi hata ukitaka kwenda (Toilet) unalipa kodi aka (tax pay) utaishia kila mwisho wa mwezi huna pesa na madeni mengi yana kuandama matokeo yake, hata ukiamuwa kurudi nyumbani huna kitu.Asikwambie mtu nyumbani ni kuzuri kuna kila njia ya kuweza kupata pesa ili mradi usivunje sheria za nchi ninaishia hapo kwa leo.
Swali zuri sana. Mjini usije ila yeye ahami.Sasa mbona wewe hutaki kuishi Tanzania? Kipi kilichokusibu
Mgogoone mimi nimesafiri na kukaa nchi nyingi sana, sisi watanzania tuna roho mbaya sana, wenzetu waliyoko majuu ukifika kwao ukawambia kuwa wewe umetoka nchini kwao watakukaribisha na kukusaidia kupata kazi, work permit, hata ikiwezekena uraia ndio maana wao ni wengi nje ya nchi mfano wakenya, waganda, wanageria..... ila njo wabongo mpigie tu binamu yako kuwa akutumie visting card utamsikia mambo kibao; maisha magumu, usalama, kazi hamna, elimu huna, ninataka kurudi bongo hapa hapalipi. au nenda kichwa kichwa huko nakuambia ataongea na wewe kijapani wala hatakujua, ila fanikiwa uone kila siku anataka mkutane dinner.Mkuu okyoma sio WaTanzania wote wana roho mbaya.Nchi yeyeto duniani unahitaji pesa kufanya unayo yataka Ndio maana kwenye biashara kunakitu kinaitwa (cost of doing business) Gharama za kufanya biashara.
Kama passport NI Muhimu kwako inabidi uipate Kwa njia yeyeto Kama nchi yetu Ingekuwa tajiri mshahara mzuri.Unakwenda uhamiaji unapata passport bila ya kutizamani MIKONO.
Mgogoone mimi nimesafiri na kukaa nchi nyingi sana, sisi watanzania tuna roho mbaya sana, wenzetu waliyoko majuu ukifika kwao ukawambia kuwa wewe umetoka nchini kwao watakukaribisha na kukusaidia kupata kazi, work permit, hata ikiwezekena uraia ndio maana wao ni wengi nje ya nchi mfano wakenya, waganda, wanageria..... ila njo wabongo mpigie tu binamu yako kuwa akutumie visting card utamsikia mambo kibao; maisha magumu, usalama, kazi hamna, elimu huna, ninataka kurudi bongo hapa hapalipi. au nenda kichwa kichwa huko nakuambia ataongea na wewe kijapani wala hatakujua, ila fanikiwa uone kila siku anataka mkutane dinner.
Watanzania ni ndugu, wakarimu mdomoni sio kivitendo. nchi ambayo inaongoza kuwa na watu waliyoko nje ni bongo ila sasa tafuta stastics uone kama utazipata. tunavyoishi kinafiki nafiki hapa bongo ndio kinatokea huko nje.
Mkuu wao ndio wanakumbukumbu za kwako hasa zile za awali wakati unaomba pass na hapa kama ulitoa za uogo inabidi kichwa chako kisiwe na byte kiwe na angalau GB ili kiweze kukumbuka pale utakapo ulizwa maswali mawili matatu kwa wao kujilizisha wasije wakaona walitoa pass kwa mtu asiye wa jamhuri ya muungano... walichukua picha, alama za vidole, na kumbukumbu muhimu hivyo suala lako ni rahisi kama utaanza na kureport polisi kwa upotevu wa mali ya jamhuri ili hiyo taarifa ikusaidie kama reference ya kupata msaada uhamiaji na ubalozo huko ulipo...nimepoteza passport nikiwa Namibia je ni taratibu zipi za kufuata niipate nyingine uzuri nina electronic copy yenye particulars ya pass iliyopotea? Je uhamiaji wana database labda ya kudumu haitanihitaji kusubmit viambatanishi vya awali?
umeeeleza vizuri sanaa mkuuu....Requrements for replacement of lost or stolen Passport
MAHITAJI YA PASIPOTI ILIYOIBIWA/KUPOTEA/KUUNGUA
Ili kupata Pasipoti mpya baada ya ile ya awali kupotea, kuibiwa, kuharibika au kuungua zingatia yafuatayo:-
Taarifa ya Polisi (Police report)
Tangazo la gazeti
Barua ya maelezo inayoeleza kwa kina mazingira ya Pasipoti kuibiwa, kupotea, kuungua au kuharibika. Barua iandikwe kwa:-
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji,
Idara ya Uhamiaji,
S.L.P. 512,
DAR ES SALAAM.
Hati ya kiapo kinachoelezea kwa kina mazingira ya kuibiwa, kupotea au kuharibika kwa Pasipoti (Sworn declaration of the circumstance surrounding the LOSS, THEFT OR DAMEGE of Passport).
Kama mazingira yanatokana na kuungua kwa nyumba ama kuvunjwa inahitajika ulete barua ya Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa kulipotokea tukio hilo na ripoti ya zimamoto kwa wale waliounguliwa na nyumba
Uthibitisho wa safari
Cheti cha kuzaliwa muombaji na cheti/kiapo cha kuzaliwa baba au mama wa mwombaji
Kwa waombaji ambao wamepoteza Pasipoti nje ya nchi anatakiwa alete Shahada ya Dharura (Emergency Travel Document) aliyotumia kuingia nchini
Pamoja na vielelezo hapo juu viambatanishwe na fomu ya maombi ya Pasipoti iliyojazwa vizuri. (Form CT 5(Ai))
NOTE:
Ada ya Pasipoti iliyoibiwa au kupotea ni Tsh. 100,000/= kwa waliopoteza mara ya kwanza, iliyopotea au kuibiwa mara ya pili ada ni Tshs. 200,000/= na malipo kwa Pasipoti iliyoharibika/kuungua ni Tshs. 50,000/=
ng'amua vizuri mkuu ili tukuelewefursa kuu huko ni petroleum products
kwenye migogoro ndipo watu wanatoboa risk kubwa faida kibao... hata pesa zao thamani yake nikubwa karibu kwa nchi zote zinazotuzunguka kasoro uganda tu na hapa ukijumlisha migogoro yao... Mf. Kenya, somalia, Ethiopia, Sudan zote, Burundi, Rwanda, DRC, Jamhuri ya Kati, Zambia, Malawi, Msumbiji, Na nchi zilizopo Bahari ya Hindi.... hapa Uganda ndio tunawaweza....Mkuu South Sudan kuna vita vya wenyewe Kwa wenyewe.Fursa ziko Ila NI hatari Kwa wageni.
Unaweza kwenda Uganda Halafu unatafuta njia ya kuingilia S.Sudan.
Hachana nae mkuu... tupige umbea wetu wenye faida wa kuangalia faida nje ya boksi hacha yeye ajifungie chumbani...Kama huwezi Basi huo ni unafiki na umbea. Ikiwa Umekuwa kuusema hapa na umeshindwa kuwataja huo ni zaidi ya ushambenga. Mambo yote yalikuwa yanafanyika hadharani