Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
Mkuu elewa hii ni WWIII vita ya tatu ya dunia mzee... andaa mbinu za kivita ili uweze kuishi la sivyo utakufa kwa maisha kuwa magumu; pia kila aliyethubutu amefanikiwa tofauti angebaki kama alivyokuwa... hawa ambao hawataki watu wathubutu kufanya maamuzi tuwaache maana hata ukifanya au usipofanya hata kusaidia kwa chochote kile, kwanza tumekutana humu na wengi hatufaamiani ila tunapeana mawazo, wengine wanakuja kuchafua hali ya hewa na kurudi ktk majukumu yao ili hali wengine hawana shughuli za kufanya na elimu wanayo ya kutosha, la kusikitisha zaidi wana toa michango yao pale katika threads za wenzao wao huwa hawataki kuanzisha zao ili kuwapa watu darasa jinsi gani ya kufanikiwa jinsi gani ya kuepuka madhara fulani hawa watu ni wabaya maana ni wabinafsi, wachoyo, wana mawazo mgando ya miaka ya 80s bado wana yaleta mpaka leo bila kutuonesha fundisho lilipo, sasa mtu kama huyu akija kuwa mzazi sijui nini kitatokea kwa familia yake...
Mwisho yule jamaa aliyekuwa anauliza kwenda sudan kufanya biashara... mimi namwambia twende hata somalia congo fureshi tu... maana kuna fursa nyingi sana sehemu yenye vita na hasa fursa ya vyakula kwakua wengi hawalimi na huwa kuna upungufu wa chakula; ila hapa cha kwanza ni kutembelea nchi husika hta kwa njia ya barabara kujilizisha umbali na usalama kwa biashara zako kufika na muda utakaotumia na vitu vingine vya muhimu
maana huwezi enda tu na fulushi lako la bidhaa bila kutambua soko lilipo...
Kumbuka
Hii ni WWIII uoga wako ndio umasikini wako... miluzi mingi... maamuzi ni yako, wakati ni wako, amua sasa...!

Hata hapa wako. Wao kazi yao kukatisha watu tamaa na kutoa sababu kedekede. Muulize mbona wewe hurudi na kuishi huku hakuna jibu zaidi ya kusema maneno ya kipuuzi