Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu elewa hii ni WWIII vita ya tatu ya dunia mzee... andaa mbinu za kivita ili uweze kuishi la sivyo utakufa kwa maisha kuwa magumu; pia kila aliyethubutu amefanikiwa tofauti angebaki kama alivyokuwa... hawa ambao hawataki watu wathubutu kufanya maamuzi tuwaache maana hata ukifanya au usipofanya hata kusaidia kwa chochote kile, kwanza tumekutana humu na wengi hatufaamiani ila tunapeana mawazo, wengine wanakuja kuchafua hali ya hewa na kurudi ktk majukumu yao ili hali wengine hawana shughuli za kufanya na elimu wanayo ya kutosha, la kusikitisha zaidi wana toa michango yao pale katika threads za wenzao wao huwa hawataki kuanzisha zao ili kuwapa watu darasa jinsi gani ya kufanikiwa jinsi gani ya kuepuka madhara fulani hawa watu ni wabaya maana ni wabinafsi, wachoyo, wana mawazo mgando ya miaka ya 80s bado wana yaleta mpaka leo bila kutuonesha fundisho lilipo, sasa mtu kama huyu akija kuwa mzazi sijui nini kitatokea kwa familia yake...

Mwisho yule jamaa aliyekuwa anauliza kwenda sudan kufanya biashara... mimi namwambia twende hata somalia congo fureshi tu... maana kuna fursa nyingi sana sehemu yenye vita na hasa fursa ya vyakula kwakua wengi hawalimi na huwa kuna upungufu wa chakula; ila hapa cha kwanza ni kutembelea nchi husika hta kwa njia ya barabara kujilizisha umbali na usalama kwa biashara zako kufika na muda utakaotumia na vitu vingine vya muhimu

maana huwezi enda tu na fulushi lako la bidhaa bila kutambua soko lilipo...

Kumbuka
Hii ni WWIII uoga wako ndio umasikini wako... miluzi mingi... maamuzi ni yako, wakati ni wako, amua sasa...!

Hata hapa wako. Wao kazi yao kukatisha watu tamaa na kutoa sababu kedekede. Muulize mbona wewe hurudi na kuishi huku hakuna jibu zaidi ya kusema maneno ya kipuuzi
 
Think twice
Mshahara pound 250 kwa wiki
Eeeh Bwana pesa kibaaao yaani laki Saba na nusu kila wiki!!!!
Kwa mwezi million 3 waooooh.
Miaka kumi millioni 30.
Hebu njoo kwenye ukweli kidogo
Kodi ya nyumba pound 50 kwa wiki
Council tax pound 20
Simu pound 5
Chakula kimasikini pound 20
Basi kwenda na kurudi kazi kwa wiki pound 20 saa nyingine huzidi
Kazini inabidi ule at least 10 pound kwa wiki
Hapo tuseme wazazi wako wanajiweza Africa hauna msaada wowote kwao.
Pia Unaweza kuwasiliana kupitia mtandao.
Uweze kupata more inabidi upate kazi masaa 80 kwa wiki au masaa 100 kwa wiki.
Ukiwa na Bahati unaweza Lkn simshauri mwenye milioni 10 atumiye kutafuta safari.bora ukaanze maisha shamba nunua ngombe,mbuzi,n.k baada ya muda utatoka fresh.kazi za agency hazina uhakika upate permanent inachukua muda
 
Upo ughaibuni au bongo?

Kwa hiyo wanaoishi mbele hakuna saving wanayofanya eeh?

Nahitaji kujua hili maana umenigusa na process za kusepa zilishaanza nipo katikati.
 
uwoga. Wako ndo umasikini wako,,,,, eti mtu anaogopa kujilipua mara oooooooho nikienda kule sitakuwa na ndugu nitaishije.... Kwani kule unaenda kuishi na wanyama au?? Ukipata fursa jilipue... Sema angalia nchi. Za kwenda yasije yakakukuta,,,,, JILIPUEEEE BHANAAA
 
Back
Top Bottom