Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nahitaji address ya huyo agent... Japo nina njia niliyopewa ya kufika Canada bila ya visa ndio nataka niitumie...
Hapa ndipo unapochoka na wabongo. Yeye anahitaji msaada wa address ya agent ambaye anatoza ila anayo njia nyingine ambayo ni bure, cha ajabu hataki kusaidia wenzake waijaribu hiyo njia ila yeye anataka kusaidiwa
 
Mkuu somo umelielewa la kuafiri bila visa au arudie tena?
Nimelielewa ila nimejaribu ku calculate hiyo risk baba inakataa ni kubwa saana.

Je ukijitambulisha kama mkimbizi watakubali kukupokea bila makaratasi yanayoonyesha wewe ni mkimbizi?

Passport ya Tz utaificha wapi?
 
 
Nimelielewa ila nimejaribu ku calculate hiyo risk baba inakataa ni kubwa saana.

Je ukijitambulisha kama mkimbizi watakubali kukupokea bila makaratasi yanayoonyesha wewe ni mkimbizi?

Passport ya Tz utaificha wapi?
Unaificha chini ya kiatu mkuu.
Ila kuna uwezekano mkubwa wakurudishwa... hii njia utegemee mawili
 
jiandae kuwa deported!!
 
Nimelielewa ila nimejaribu ku calculate hiyo risk baba inakataa ni kubwa saana.

Je ukijitambulisha kama mkimbizi watakubali kukupokea bila makaratasi yanayoonyesha wewe ni mkimbizi?

Passport ya Tz utaificha wapi?
Procedure ndio inaanzia hapo... Hakuna uwezekano wa kurudishwa kama hauna passport. Utavuka vipi hizo boarder?
 
Mkuu tusaidie kutuonyesha njia ulotumia kufika huko, tunapatamani sana
 
Reactions: Qj_
mmh hii ya kubaki kisa huna pasi hii??Ilikua zamani.now adays ukijifanya umepoteza pasi ubalozi wako wanaitwa unapewa warranty of removal of unauthorized persons in the country.Pili utakua detained kwa muda usiojulikana.Watakuchukua fingerprints na ndio mwisho wa ndoto zako zoooote.Kuna very big chances za kuwa blacklisted due to sintofahamu ulioisababisha.unafichaje pasi kwenye kiatu wakati ukiwa chini ya ulinzi unapekuliwa mpaka chini ya mapum*u kuitafuta pasi yako.pia watatrace ndege uliokuja nayo uliondoka na pasi ya nchi gani ???mpaka namba na tarehe iliotolewa na nchi ulozotembelea na ukidanganya tu ndio mwisho wako.Hebu tembelea ubalozi wao uone lile bango lao linalosema Canada is a great country.but careful,dont be obssesed kufika huko to the extent ya kucheat coz once caught,you will be shut out in both USA and Canada itself FOR GOOD!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…