marveljt
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,503
- 1,479
Hapa ndipo unapochoka na wabongo. Yeye anahitaji msaada wa address ya agent ambaye anatoza ila anayo njia nyingine ambayo ni bure, cha ajabu hataki kusaidia wenzake waijaribu hiyo njia ila yeye anataka kusaidiwaNahitaji address ya huyo agent... Japo nina njia niliyopewa ya kufika Canada bila ya visa ndio nataka niitumie...