Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nahitaji address ya huyo agent... Japo nina njia niliyopewa ya kufika Canada bila ya visa ndio nataka niitumie...
Hapa ndipo unapochoka na wabongo. Yeye anahitaji msaada wa address ya agent ambaye anatoza ila anayo njia nyingine ambayo ni bure, cha ajabu hataki kusaidia wenzake waijaribu hiyo njia ila yeye anataka kusaidiwa
 
Mkuu somo umelielewa la kuafiri bila visa au arudie tena?
Nimelielewa ila nimejaribu ku calculate hiyo risk baba inakataa ni kubwa saana.

Je ukijitambulisha kama mkimbizi watakubali kukupokea bila makaratasi yanayoonyesha wewe ni mkimbizi?

Passport ya Tz utaificha wapi?
 
Nimelielewa ila nimejaribu ku calculate hiyo risk baba inakataa ni kubwa saana.
Unaificha chini ya kiatu mkuu.
Ila kuna uwezekano mkubwa wakurudishwa... hii njia utegemee mawili

Unapozungumzia suala la kuchoshwa na wabongo unakosea... Research ni muhimu kabla ya jambo. So think before you act samahani lakini! Njia ya kufika bila visa kwanza inabidi utafute route ya ndege from DAR-NAS (BAHAMAS) Hiki kisiwa unaenda bila visa na hiyo route ya ni ndege ni lazima ipitie YYZ (TORONTO) ambayo itakua na LONG LAYOVER ya siku kumbuka utakua upo TORONTO ambapo upo kwenye Boarder ya Transit haujamaliza safari. That means ukipoteza passport hauwezi vuka kwenda sehemu yeyote. Next step unaonana na uongozi then unaandika barua ya kuomba ASYLUM and they will grant you stay. Ukizingatia nchi imo katika mataifa huzuni duniani. Hope nimeeleweka
jiandae kuwa deported!!
 
Nimelielewa ila nimejaribu ku calculate hiyo risk baba inakataa ni kubwa saana.

Je ukijitambulisha kama mkimbizi watakubali kukupokea bila makaratasi yanayoonyesha wewe ni mkimbizi?

Passport ya Tz utaificha wapi?
Procedure ndio inaanzia hapo... Hakuna uwezekano wa kurudishwa kama hauna passport. Utavuka vipi hizo boarder?
 
Msikatishwe tamaa na watu wajinga,Mimi nilikuwa na hamu ya kufika USA mungu akanijalia kufika mwaka huu mwanzoni,kwa kweli ile ni duniani nyingine Huduma za Afya ni Bora, nimezunguka kuanzia New York, Indianapolis, Dallas kule ukijituma unafanikiwa kikubwa uwe na malengo,nimekutana na wakenya,wanaigeria, wamexico,wanapiga kazi balaa,tatizo wa watanzania waoga wakujaribu maisha,
Mkuu tusaidie kutuonyesha njia ulotumia kufika huko, tunapatamani sana
 
  • Thanks
Reactions: Qj_
mmh hii ya kubaki kisa huna pasi hii??Ilikua zamani.now adays ukijifanya umepoteza pasi ubalozi wako wanaitwa unapewa warranty of removal of unauthorized persons in the country.Pili utakua detained kwa muda usiojulikana.Watakuchukua fingerprints na ndio mwisho wa ndoto zako zoooote.Kuna very big chances za kuwa blacklisted due to sintofahamu ulioisababisha.unafichaje pasi kwenye kiatu wakati ukiwa chini ya ulinzi unapekuliwa mpaka chini ya mapum*u kuitafuta pasi yako.pia watatrace ndege uliokuja nayo uliondoka na pasi ya nchi gani ???mpaka namba na tarehe iliotolewa na nchi ulozotembelea na ukidanganya tu ndio mwisho wako.Hebu tembelea ubalozi wao uone lile bango lao linalosema Canada is a great country.but careful,dont be obssesed kufika huko to the extent ya kucheat coz once caught,you will be shut out in both USA and Canada itself FOR GOOD!!!
 
Back
Top Bottom