Hongera MkuuAsante kwa taarifa mkuu...
Mkuu,mimi niko mwaka wa pili UDSM(Nachukua bachelor degree ya kilimo-biashara),namaliza mwakani...
Nataka nikimaliza tu nipae chap,bila kupoteza muda..!
Unataka kwenda wapi! Kwa kina curry au Pyongyang?Asante kwa taarifa mkuu...
Mkuu,mimi niko mwaka wa pili UDSM(Nachukua bachelor degree ya kilimo-biashara),namaliza mwakani...
Nataka nikimaliza tu nipae chap,bila kupoteza muda..!
Ahahaaaaah...Unataka kwenda wapi! Kwa kina curry au Pyongyang?
Aiseee...Huu ni utapeli, na anayejifanya anajua kutafutia watu namna ya kuruka ng'ambo naye ni tapeli!!!! Tena kuweni makini hawa ni matapeli!!! Ni type ya kina britannica tena unaweza kuta ndio huyu shenzi kabisa...... Matapeli tu hawa
Mkuu...Mkuu BAK umefanya jema kututangazia hizo patapotea(green card lottery)
Chakuongezea kuhusu US green card lottery tovuti (website) ziko nyingi za kitapeli Muhimu
Iwe .GOV (government) www.us department of states.gov.dvlottery
Hii tovuti NI bure kabisa ukiulizwa pesa [emoji125]kimbia.
Ukijaza hizo forms kwenye (smart phone) Au I pad Au kumputer lazima uandike kwenye kitabu ili ukumbuke maana maswali ya hizo forms yatarudia Tena.
Picha NI Muhimu sanaaaaa tu.Kama unaishi Dar nenda sehemu za karibu Na posta ziko studio ambazo wanapiga picha zinazo takiwa kwenye hizo form na watakuwekea kwenye flash au wataku e mail Au waambie unataka kuzituma Kwenye form za (green card lottery)
Bei sijui Lakini uwe Na sh.10k
Kama forms huzielewi leta jukwaa hili
Wako wataalamu watasaidia.
Jamani hizi ndio fursa jaribuni NI bure kabisa
Gharama ni kwenye picha tu.
USAJILI UTAANZA TAREHE 02 mwezi wa tano
MAY 02 2017
Kila la kheri
Mkuu usajili unaanza OCT 4 mpaka NOV 07 2017 Labda wabadilishe utaratibu.Mkuu...
Nimechungulia lakini nimekuta bado hawajafungua usajili..!
Nimeona kuna kucheck status tu..!
Sawa mkuu...Mkuu usajili unaanza OCT 4 mpaka NOV 07 2017 Labda wabadilishe utaratibu.
Passport NI lazima uwenayo.Kama huna ingia hapaSawa mkuu...
Je,ni lazima uwe na passport ili kushiriki katika zoezi la usajili..?
Sawa mkuu...
Je,ni lazima uwe na passport ili kushiriki katika zoezi la usajili..?
Asante sana mkuu...Passport NI lazima uwenayo.Kama huna ingia hapa
www.immigration.go.tz
Unahisi watu wakija huko watavuruga maslahi yako binafsi au..!?Bakini tu Tanzania ulaya na marekani wanaopewa priority ya kupata papers ni wa syria.Asikudanganye mtu kuishi ulaya au USA illegal ni stress tupu,labda muende Canada walau kidogo wapo open kutoa papers.
Nawapa mafacts tupu Ulaya ni kugumu sana.Unahisi watu wakija huko watavuruga maslahi yako binafsi au..!?
Maana sio kwa ukatishaji tamaa huu..!
Sawa Mama...Nawapa mafacts tupu Ulaya ni kugumu sana.
Muda wake utapita tu, vumilieniSawa Mama...
Lakini bora ulaya kuliko kwa HUYU BWANA..!
Mkuu Victoire wasomaji Na wachangiaji wanajuwa Au wamesikia Kwamba huko nje kuna Ubaguzi,Unyanywasaji,Utumwa na Unaweza kufanikiwa.Nawapa mafacts tupu Ulaya ni kugumu sana.
Mkuu ukigoogle " nahitaji passport " utakupeleka Tovuti ya JF.humo ndani kunamaelezo yote kupata vitambulisho,Vyeti vya kuzaliwa chako Na wazazi wako,Asante sana mkuu...
Nimetembelea tovuti uliyonitumia
Shida yangu ni kuhusu hivyo viambatanisho vinavyohitajika ili kuweza kufanya maombi ya passport.
Vyeti vya kuzaliwa vya wazazi,vipi kama inashindikana kupata vyeti hivi..!?
Pia mimi nahitaji kuwa nayo tu passport kwaajili ya matumizi ya baadae(kujilipua),sina mpango wa kusafiri hivi karibuni(rejea Supporting Documents for Specified Trips kwenye picha). Je,nitapatiwa hivyohivyo bila Supporting Documents for Specified Trips..!?
Natanguliza shukrani mkuu..!
Shukrani mkuu...Mkuu ukigoogle " nahitaji passport " utakupeleka Tovuti ya JF.humo ndani kunamaelezo yote kupata vitambulisho,Vyeti vya kuzaliwa chako Na wazazi wako,
Kuapishwa mahakamani Au kwa wanasheria.
Wala hauhitaji kutoa hongo kihalali kabisa.
Kuhusu "supporting documents" UNATAFUTA SCHOLARSHIP AU UNAJIANDIKISHA KWENYE GREEN CARD LOTTERY ambazo passport NI kitambulisho pekee kinacho julikana..
Vilevile unajibu maswali ulio ulizwa tu usiongeze maneno mengine (kama utahojiwa Na uhamiaji)
Hiyo lugha nitajifunza tuuu, Stockholm, Amsterdam, Berlin, London, Brussels, Oslo, Denmark lazima nikichafue huko.Sweden hela yao sio ngumu.... Then kule unaweza lipwa hata usipofanya kazi.... Mradi uwe legal migrant... Mfano ukiwa unasoma unalipwa n.k
Kwenye lugha ni kweli kugumu... Na lugha yao ni ufunguo wa mambo mengi sana ikiwemo kazi... Ukijua lugha kazi unapata kirahisi mno...
Wenzetu hutumia lugha kama kigezo cha kujua mapenzi yako halisi kwa nchi yao......
Karibu mkuuShukrani mkuu...
Ubarikiwe..!
Segito najaribu kukutumia pm zinagomanaomba kwa anaejua ishu ya ukimbiz atupe mawili matatu.nataka wengine wajilipue new zealand au australia.kwa aliepo nyarugusu naomba mrejesho tafadhali.process ikoje?yani ramani kamili.kuna wadada walienda huko mwaka jana gafla nawaona arizona wengine new zealand.
Huyu jamaa apewe nishani...Dar -Nairobi -Kampala -Juba-Khatourm-Port Al saed -Syria -Turkey hadi Denmark si mchezo.Miaka hiyo ya zamani jirani yetu mmoja alifanya hii daring and most adventurous journey to Denmark kama ifuatavyo:
Jamaa alipanda basi from Dar to Nairobi miaka hiyo stendi ya mabasi ya Arusha ilikuwa Kisutu. Alibeba mfuko wa rambo akiwa na nguo chache na mswaki.
Alipofika Nairobi akachukua basi hadi Uganda. From Uganda akapata lifti ya lori la mizigo hadi Juba.
Kutoka Juba akaungaunga Safari hadi Khartoum na hatimae akaingia Cairo, Egypt. After a few days akaenda Port Said. Baada ya wiki kadhaa akapata jahazi from Port Said hadi Syria.
Akaishi Syria for several months akipiga dei waka na finally akapata mchongo wa kuingia Turkey.
Alikaa Turkey for 3 years akapata mchongo wa kuingia Denmark ambako alioa huko na ana Danish wife na familia ya watoto 3. Alijiendeleza kielimu na ana kazi nzuri tu na maisha mazuri
Hutembelea bongo once in 2 years na alisema atafia huko
Pengine kwa wale wapiganaji mnaweza kujifunza kitu hapa
Asanteni