Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Asante kwa taarifa mkuu...
Mkuu,mimi niko mwaka wa pili UDSM(Nachukua bachelor degree ya kilimo-biashara),namaliza mwakani...
Nataka nikimaliza tu nipae chap,bila kupoteza muda..!
Unataka kwenda wapi! Kwa kina curry au Pyongyang?
 
Unataka kwenda wapi! Kwa kina curry au Pyongyang?
Ahahaaaaah...
Ingawa ni Team Kiduku,ila Pyongyang siendi hata kwa mtutu..!
Bado naendelea kufanya research mkuu...
Kila siku najitahidi kupitia huu uzi page mojamoja,kisha na note down vitu ambavyo nahisi vitanisaidia...
Huu uzi umenifungua macho sana mkuu,kilichobaki ni UTHUBUTU tu...
Nataka mwaka huu nianze kufuatilia passport kwanza,ila bado sijajua pakuanzia na kiasi cha pesa kinachohitajika mpaka nipate passport yangu..!
 
Huu ni utapeli, na anayejifanya anajua kutafutia watu namna ya kuruka ng'ambo naye ni tapeli!!!! Tena kuweni makini hawa ni matapeli!!! Ni type ya kina britannica tena unaweza kuta ndio huyu shenzi kabisa...... Matapeli tu hawa
Aiseee...
Wewe ndiye uliyevuruga huu UZI...
Wakina izzo na lusungo wote wamekimbia kwaajili yako...
Ulishindwa kutoa angalizo kistaarabu bila kuwakwaza watu..!?
Au huu uzi uligusa maslahi yako binafsi..!?
WaTanganganyika bhana,jinga sana..!
 
Mkuu BAK umefanya jema kututangazia hizo patapotea(green card lottery)

Chakuongezea kuhusu US green card lottery tovuti (website) ziko nyingi za kitapeli Muhimu
Iwe .GOV (government) www.us department of states.gov.dvlottery
Hii tovuti NI bure kabisa ukiulizwa pesa [emoji125]kimbia.
Ukijaza hizo forms kwenye (smart phone) Au I pad Au kumputer lazima uandike kwenye kitabu ili ukumbuke maana maswali ya hizo forms yatarudia Tena.
Picha NI Muhimu sanaaaaa tu.Kama unaishi Dar nenda sehemu za karibu Na posta ziko studio ambazo wanapiga picha zinazo takiwa kwenye hizo form na watakuwekea kwenye flash au wataku e mail Au waambie unataka kuzituma Kwenye form za (green card lottery)
Bei sijui Lakini uwe Na sh.10k
Kama forms huzielewi leta jukwaa hili
Wako wataalamu watasaidia.
Jamani hizi ndio fursa jaribuni NI bure kabisa
Gharama ni kwenye picha tu.
USAJILI UTAANZA TAREHE 02 mwezi wa tano
MAY 02 2017
Kila la kheri
Mkuu...
Nimechungulia lakini nimekuta bado hawajafungua usajili..!
Nimeona kuna kucheck status tu..!
 
Passport NI lazima uwenayo.Kama huna ingia hapa
www.immigration.go.tz
Asante sana mkuu...
Nimetembelea tovuti uliyonitumia
e43f5a1a3f8f1148f7286f8ea24cc8e7.jpg

Shida yangu ni kuhusu hivyo viambatanisho vinavyohitajika ili kuweza kufanya maombi ya passport.
Vyeti vya kuzaliwa vya wazazi,vipi kama inashindikana kupata vyeti hivi..!?
Pia mimi nahitaji kuwa nayo tu passport kwaajili ya matumizi ya baadae(kujilipua),sina mpango wa kusafiri hivi karibuni(rejea Supporting Documents for Specified Trips kwenye picha). Je,nitapatiwa hivyohivyo bila Supporting Documents for Specified Trips..!?
Natanguliza shukrani mkuu..!
 
Bakini tu Tanzania ulaya na marekani wanaopewa priority ya kupata papers ni wa syria.Asikudanganye mtu kuishi ulaya au USA illegal ni stress tupu,labda muende Canada walau kidogo wapo open kutoa papers.
Unahisi watu wakija huko watavuruga maslahi yako binafsi au..!?
Maana sio kwa ukatishaji tamaa huu..!
 
Nawapa mafacts tupu Ulaya ni kugumu sana.
Mkuu Victoire wasomaji Na wachangiaji wanajuwa Au wamesikia Kwamba huko nje kuna Ubaguzi,Unyanywasaji,Utumwa na Unaweza kufanikiwa.
Kila mtu anatafuta rizki yake.Sio WaBongo wote wanasota huko.Kama NI kweli basi wewe ungekuwa umerudi kitambo.
 
Asante sana mkuu...
Nimetembelea tovuti uliyonitumia
e43f5a1a3f8f1148f7286f8ea24cc8e7.jpg

Shida yangu ni kuhusu hivyo viambatanisho vinavyohitajika ili kuweza kufanya maombi ya passport.
Vyeti vya kuzaliwa vya wazazi,vipi kama inashindikana kupata vyeti hivi..!?
Pia mimi nahitaji kuwa nayo tu passport kwaajili ya matumizi ya baadae(kujilipua),sina mpango wa kusafiri hivi karibuni(rejea Supporting Documents for Specified Trips kwenye picha). Je,nitapatiwa hivyohivyo bila Supporting Documents for Specified Trips..!?
Natanguliza shukrani mkuu..!
Mkuu ukigoogle " nahitaji passport " utakupeleka Tovuti ya JF.humo ndani kunamaelezo yote kupata vitambulisho,Vyeti vya kuzaliwa chako Na wazazi wako,
Kuapishwa mahakamani Au kwa wanasheria.
Wala hauhitaji kutoa hongo kihalali kabisa.
Kuhusu "supporting documents" UNATAFUTA SCHOLARSHIP AU UNAJIANDIKISHA KWENYE GREEN CARD LOTTERY ambazo passport NI kitambulisho pekee kinacho julikana..
Vilevile unajibu maswali ulio ulizwa tu usiongeze maneno mengine (kama utahojiwa Na uhamiaji)
 
Mkuu ukigoogle " nahitaji passport " utakupeleka Tovuti ya JF.humo ndani kunamaelezo yote kupata vitambulisho,Vyeti vya kuzaliwa chako Na wazazi wako,
Kuapishwa mahakamani Au kwa wanasheria.
Wala hauhitaji kutoa hongo kihalali kabisa.
Kuhusu "supporting documents" UNATAFUTA SCHOLARSHIP AU UNAJIANDIKISHA KWENYE GREEN CARD LOTTERY ambazo passport NI kitambulisho pekee kinacho julikana..
Vilevile unajibu maswali ulio ulizwa tu usiongeze maneno mengine (kama utahojiwa Na uhamiaji)
Shukrani mkuu...
Ubarikiwe..!
 
Sweden hela yao sio ngumu.... Then kule unaweza lipwa hata usipofanya kazi.... Mradi uwe legal migrant... Mfano ukiwa unasoma unalipwa n.k

Kwenye lugha ni kweli kugumu... Na lugha yao ni ufunguo wa mambo mengi sana ikiwemo kazi... Ukijua lugha kazi unapata kirahisi mno...

Wenzetu hutumia lugha kama kigezo cha kujua mapenzi yako halisi kwa nchi yao......
Hiyo lugha nitajifunza tuuu, Stockholm, Amsterdam, Berlin, London, Brussels, Oslo, Denmark lazima nikichafue huko.
 
naomba kwa anaejua ishu ya ukimbiz atupe mawili matatu.nataka wengine wajilipue new zealand au australia.kwa aliepo nyarugusu naomba mrejesho tafadhali.process ikoje?yani ramani kamili.kuna wadada walienda huko mwaka jana gafla nawaona arizona wengine new zealand.
Segito najaribu kukutumia pm zinagoma
 
Miaka hiyo ya zamani jirani yetu mmoja alifanya hii daring and most adventurous journey to Denmark kama ifuatavyo:
Jamaa alipanda basi from Dar to Nairobi miaka hiyo stendi ya mabasi ya Arusha ilikuwa Kisutu. Alibeba mfuko wa rambo akiwa na nguo chache na mswaki.
Alipofika Nairobi akachukua basi hadi Uganda. From Uganda akapata lifti ya lori la mizigo hadi Juba.
Kutoka Juba akaungaunga Safari hadi Khartoum na hatimae akaingia Cairo, Egypt. After a few days akaenda Port Said. Baada ya wiki kadhaa akapata jahazi from Port Said hadi Syria.
Akaishi Syria for several months akipiga dei waka na finally akapata mchongo wa kuingia Turkey.
Alikaa Turkey for 3 years akapata mchongo wa kuingia Denmark ambako alioa huko na ana Danish wife na familia ya watoto 3. Alijiendeleza kielimu na ana kazi nzuri tu na maisha mazuri
Hutembelea bongo once in 2 years na alisema atafia huko

Pengine kwa wale wapiganaji mnaweza kujifunza kitu hapa
Asanteni
Huyu jamaa apewe nishani...Dar -Nairobi -Kampala -Juba-Khatourm-Port Al saed -Syria -Turkey hadi Denmark si mchezo.
 
Back
Top Bottom