Japenga fursa za Kazi zipo ila Kazi zenyewe za kununua.Nmepata mchongo wa kwenda japan na mwenyeji wangu kaniambia fursa za kazi kibao na nkifika natafutiwa mwanamke tunafunga ndoa napata kikaratas maisha mengine yataendela. Kwa mwenye uzoefu na inchi hiyo ningependa kujua mengi
Maisha ni popote sikatai.Vipi kwa nchi ya Italia..nataka nikachume zabibu kwa wataliano.....ila nasikia ni wabaguzi balaa
FINLAND kutakufaa.Mimi nataka kwenda uswiss, news land, Denmark na Australia pia Finland.
NAMIBIA maisha yako juu sana.Mkuu mimi nataka nikajilipue Botswana Au Namibia vipi mkuu kwa uelewa wako huko kumekaaje maana nimechoka kujilipua Tanzania kila unachopata Serikali wanakidaka Chwaaaa....
Naendaje sasa mkuu mchongo namna ya kuupata..FINLAND kutakufaa.
Ndoa nje nje
Kiongozi.Naendaje sasa mkuu mchongo namna ya kuupata..
Ni kweli kwa MPIGA MATARUMBETA bado hapajaharibika, Sheria unapata.Kweli mkuu..inchi nzr Belgium.. Swiss... Austria... Kajilipuwe pale...miaka mitatu tu uraia..na unalipwa kama euro 800 za UKIMBIZI.. Kila mwezi kama sijakosea...Yale makaratasi yao yatakusaidia kuingia inchi nzuri zaidi kwa kigezo cha uraia....na utapata kazi...au kuishi..Nina mjomba wng yupo Greece tangia 1992..hadi Leo..hana uraia...na bado hana documents za UKIMBIZI.... kabla sijakimbia pale..nilinunuwa passport ya kufananisha ya KIFARANSA...ili niende inchi nzr zaidi..nilipofika AIRPORT..nilipoonyesha tu passport yangu nikaitiwa MTU niongee nae KIFARANSA... NIKACHEMKA....walinikamata wakaniweka ndani miezi mitatu...nilipotoka JAIL POLICE wakanambiya NENDA KANUNUWE passport NYINGINE...UJE..nikatafuta vijisent Fulani....nikakimbia bongo...ila sio ulaya yote nzr mkuu...kwanza ulaya INA lawama sana...wewe unaungaunga tu lakini kwenu VIRUNGU kila siku...na pesa huna ila unaonekana kama vile hutaki kumsaidia MTU wa Africa...NDY MAANA MTU ANAJIKALIA MIAKA YOTE...labda atapata ksho.. Arudi...
Mkuu ebu niko serious mkuu, mimi nataka nichomoke kweli nikapigane mbali na home sijaoa sitegemei na mtu why nihofie kusaka life popote duniani..!Kiongozi.
Wapo wakali wa Donta ni wewe mwenyewe kama kweli una nia ya kuchomoka, utachomoka.
Na uwe makini kuna wale ambao ni Wasanii wanajifanya wanawatoa Watu, kumbe hawana lolote ni Matapeli.
Nashindwa namna ya kukuunganishia moja kwa moja kwa Wahusika wa uhakika.
Sababu naona itakuwa kama nawachoresha.
Na kingine Wazee wa Michongo wanabadilika kila Siku.
Jitie UFINI wewe ni Bidhaa Adimu utagombaniwa hadi basi.
Ninachokuambia ni kweli tupu
Hebu ngoja niongee na Watu wa Kazi kesho ili wanipe kipindi kamili kisha nitakutonyaMkuu ebu niko serious mkuu, mimi nataka nichomoke kweli nikapigane mbali na home sijaoa sitegemei na mtu why nihofie kusaka life popote duniani..!
Ebu nioneshe kichochoro braza..!
Mkuu fanyia kazi braza am tired with this continent(africa)..! Nikachange upepo huko Scandinavia..!Hebu ngoja niongee na Watu wa Kazi kesho ili wanipe kipindi kamili kisha nitakutonya
Kiongozi.Mkuu fanyia kazi braza am tired with this continent(africa)..! Nikachange upepo huko Scandinavia..!
Siyo kwamba napadharau Africa mkuu! No I feel niende sehemu nyingine but for aKiongozi.
Kujaribu kupo.
Na Africa usiidharau.
Kuna Watu ndani ya Bara letu wanatengeneza Pesa ya kufa Mtu
Maisha ndio yako hivyo.Siyo kwamba napadharau Africa mkuu! No I feel niende sehemu nyingine but for a
reason, ni harakati za maisha braza..! Nimejaribu sana bongo sijatoka ngoja nitest ata ulaya..!
Kweli life ni kupambana tuuh..!Maisha ndio yako hivyo.
Huwezi jua Zali zako ziko wapi.
Kusafiri ni Ibada.
Testi Zali huwezi jua Mavumba yapo wapi
Ongezea na Portugalmsiende ugiriki .Italy wala Spain hakuna kazi utaishia kuuza unga😳😳
Msijali ipo siku.[emoji123] [emoji123] [emoji123]Tumeomba lakini tumekosa ndugu...
Tukajifunze tamaduni za watu.na jinsi wanavyoishi.Siyo kwamba napadharau Africa mkuu! No I feel niende sehemu nyingine but for a
reason, ni harakati za maisha braza..! Nimejaribu sana bongo sijatoka ngoja nitest ata ulaya..!
Kaka ulifanyajeMimi niliomba scholarship sasa kimbembe passport kuanzia ofisi unayofanyia kazi ukimwambia HR niandikie barua ya kupata passport mtu anahisi unaenda Ulaya kesho
Ukienda ofisi za Uhamiaji nako mbinde ila thanks Lord nilimpata rafiki akanielekeza km unataka kuipata haraka passport.
Nimeipata tena passport kubwa ya miaka kumi kilichobaki ni ku apply scholarship mpaka usiku wa manane Halmashauri kumenichosha mwenzenu.