Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nmepata mchongo wa kwenda japan na mwenyeji wangu kaniambia fursa za kazi kibao na nkifika natafutiwa mwanamke tunafunga ndoa napata kikaratas maisha mengine yataendela. Kwa mwenye uzoefu na inchi hiyo ningependa kujua mengi
Japenga fursa za Kazi zipo ila Kazi zenyewe za kununua.

Kuna madalali ambao inabidi uwape Kiwango cha Pesa watakachokihitaji.

Na inategemea na Dalali, kila Dalali anatoza Kiwango chake.

Pili Karatasi sio rahisi kama unavyofikiria.

Ndio maana kuna baadhi ya Watu wameamua wasagale.

Hawana Makaratasi wala nini
 
Huu Uzi ni mrefu sana nitautafutia Muda.

Kuna kitu kimoja, kwa michango michache niliyoipitia Wadau wengi wameshauri uingie kwanza kisha ndio utafute Mwanamke wa kufunga nae Ndoa.

Sawa, Ndoa za mchongo zipo.

Ila ningependa kuwaambia kitu kimoja,

Kwa yule ambae anataka Kujipiga ni bora kukamatia Mwanamke tokea akiwa Nyumbani.

Kibongo bongo wewe kuwa Mtu wa Kujichanganya maeneo ya Watalii, hata kama itachukua Muda utakamatia tu.

Ukishakamatia inakuwa rahisi sana kuliko kwenda kutafutia Nchi husika.

Mambo yamebadilika sana
 
Vipi kwa nchi ya Italia..nataka nikachume zabibu kwa wataliano.....ila nasikia ni wabaguzi balaa
Maisha ni popote sikatai.

Ila kwa ITALY nisingekushauri.

Na tukija kwenye Ubaguzi kwa hapa Ulimwenguni bora kuondoa hiyo dhana maana kila Nchi ina Ubaguzi ila Ubaguzi unatofautiana.

Kwahiyo suala la Ubaguzi lisikutishe
 
Mkuu mimi nataka nikajilipue Botswana Au Namibia vipi mkuu kwa uelewa wako huko kumekaaje maana nimechoka kujilipua Tanzania kila unachopata Serikali wanakidaka Chwaaaa....
NAMIBIA maisha yako juu sana.

WINDHOEK ni Mji mdogo sana ila umetulia na ni msafi sana
 
Naendaje sasa mkuu mchongo namna ya kuupata..
Kiongozi.

Wapo wakali wa Donta ni wewe mwenyewe kama kweli una nia ya kuchomoka, utachomoka.

Na uwe makini kuna wale ambao ni Wasanii wanajifanya wanawatoa Watu, kumbe hawana lolote ni Matapeli.

Nashindwa namna ya kukuunganishia moja kwa moja kwa Wahusika wa uhakika.

Sababu naona itakuwa kama nawachoresha.

Na kingine Wazee wa Michongo wanabadilika kila Siku.

Jitie UFINI wewe ni Bidhaa Adimu utagombaniwa hadi basi.

Ninachokuambia ni kweli tupu
 
Kweli mkuu..inchi nzr Belgium.. Swiss... Austria... Kajilipuwe pale...miaka mitatu tu uraia..na unalipwa kama euro 800 za UKIMBIZI.. Kila mwezi kama sijakosea...Yale makaratasi yao yatakusaidia kuingia inchi nzuri zaidi kwa kigezo cha uraia....na utapata kazi...au kuishi..Nina mjomba wng yupo Greece tangia 1992..hadi Leo..hana uraia...na bado hana documents za UKIMBIZI.... kabla sijakimbia pale..nilinunuwa passport ya kufananisha ya KIFARANSA...ili niende inchi nzr zaidi..nilipofika AIRPORT..nilipoonyesha tu passport yangu nikaitiwa MTU niongee nae KIFARANSA... NIKACHEMKA....walinikamata wakaniweka ndani miezi mitatu...nilipotoka JAIL POLICE wakanambiya NENDA KANUNUWE passport NYINGINE...UJE..nikatafuta vijisent Fulani....nikakimbia bongo...ila sio ulaya yote nzr mkuu...kwanza ulaya INA lawama sana...wewe unaungaunga tu lakini kwenu VIRUNGU kila siku...na pesa huna ila unaonekana kama vile hutaki kumsaidia MTU wa Africa...NDY MAANA MTU ANAJIKALIA MIAKA YOTE...labda atapata ksho.. Arudi...
Ni kweli kwa MPIGA MATARUMBETA bado hapajaharibika, Sheria unapata.

Na hata Wengi wa Zamani waliokosa Makaratasi UHOLANZI, na wengine wameshapoteza Miaka zaidi ya Nane hadi Kumi waliokuwa wakiishi UHOLANZI wanaenda kuanza moja kwa MPIGA MATARUMBETA.

Au kuna wale ambao waliokuwa na Makaratasi, na kisha kunyang'anywa Makaratasi yao na kuwekwa LUPANGO, wakitoka wanapewa Mtaa wanaambiwa wajiandae kurudi Nchini mwao. Wengi wao wameamua kujisogeza kwa MPIGA MATARUMBETA na wamefanikiwa kupata MAKARATASI
 
Kiongozi.

Wapo wakali wa Donta ni wewe mwenyewe kama kweli una nia ya kuchomoka, utachomoka.

Na uwe makini kuna wale ambao ni Wasanii wanajifanya wanawatoa Watu, kumbe hawana lolote ni Matapeli.

Nashindwa namna ya kukuunganishia moja kwa moja kwa Wahusika wa uhakika.

Sababu naona itakuwa kama nawachoresha.

Na kingine Wazee wa Michongo wanabadilika kila Siku.

Jitie UFINI wewe ni Bidhaa Adimu utagombaniwa hadi basi.

Ninachokuambia ni kweli tupu
Mkuu ebu niko serious mkuu, mimi nataka nichomoke kweli nikapigane mbali na home sijaoa sitegemei na mtu why nihofie kusaka life popote duniani..!

Ebu nioneshe kichochoro braza..!
 
Mkuu ebu niko serious mkuu, mimi nataka nichomoke kweli nikapigane mbali na home sijaoa sitegemei na mtu why nihofie kusaka life popote duniani..!

Ebu nioneshe kichochoro braza..!
Hebu ngoja niongee na Watu wa Kazi kesho ili wanipe kipindi kamili kisha nitakutonya
 
Kiongozi.

Kujaribu kupo.

Na Africa usiidharau.

Kuna Watu ndani ya Bara letu wanatengeneza Pesa ya kufa Mtu
Siyo kwamba napadharau Africa mkuu! No I feel niende sehemu nyingine but for a
reason, ni harakati za maisha braza..! Nimejaribu sana bongo sijatoka ngoja nitest ata ulaya..!
 
Bongo adi Denmark ukiwa na sh ngapi inakufkisha Bila shida? Gharama za usafiri tu
 
Mimi niliomba scholarship sasa kimbembe passport kuanzia ofisi unayofanyia kazi ukimwambia HR niandikie barua ya kupata passport mtu anahisi unaenda Ulaya kesho
Ukienda ofisi za Uhamiaji nako mbinde ila thanks Lord nilimpata rafiki akanielekeza km unataka kuipata haraka passport.
Nimeipata tena passport kubwa ya miaka kumi kilichobaki ni ku apply scholarship mpaka usiku wa manane Halmashauri kumenichosha mwenzenu.
Kaka ulifanyaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom