Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Kwenda sehemu kwa mihemuko haifai mkuu, lazima ujipange uangalie unaenda kufanya nn na ww kama utapamudu huko
Tulisha pambana Sana hapa Juz Tu nilikuwa na kanpun moja IV mjn apa nimeachishwa nssf nayo haijulikani Ni muda gn under carpet mwaka mama then unasema mihemuko !!!
 
Fact mkuu chillah , ila nadhani polepole tutafika mahali itaisha.
Nina testimony.
Nilikutana na Nigerian(lady ) lilongwe kaibiwa dollars pamoja na iPhone yake. Hapo anatakiwa alipe transit visa ya boda ya Mozambique plus visa ya SA plus nauli ya kufika Joz na mfukoni hana kitu. Ikabidi tuanze kuwacheki Nigerians. Babati nzuri tukapata duka moja la mtz akatuelekeza duka la Nigerian, yule sister akamuelezea jamaa ikabidi jamaa awapigie wenzake pale town wakaanza kuchanga pesa ikapatikana ya visas plus transport dem akasepa. Nikajifunza kuhusu hawa watu jinsi wanasaidiana asee.
 
Impressive
 
Mmh yaan inamaana njia rahisi zaidi ya kuhamisha maisha majuu ni mpaka.uwe ba ndoa?

What if tayar mtu ana family huku lkn. Anataka kwenda kuharibu life huko hawez kwenda kwa njia nyingine mfano ajira, ama.biashara hata kama ni ndogo?
 

Aisee hakuna watu wana umoja kama Nigerians. Nilijionea mwenyewe
 
Mm naomba kuuliza hivi kwa mtu ambaye ana family yaan mke na watt jr inawezekana ukahama nao kwenda huko nje?

Yaan ni rahisi sana mtu na familia kuweza kuhamia toka.tz kwenda nje kutafuta maisha? Kama ulivyodekeza kuhusu Malta?
 

Hahahaha, upo kama mimi
 
[HASHTAG]#Daby[/HASHTAG] uko wapi? ulifikia wapi zile harakati?? umekaa kimya kijana

nataka nianze ile michakato NI MIMI Tombstone
 
Kwan ww mkuu upo wap sasa.....? Kama umelijua wanachofanya kwa Wanaigeria na wakenya. Ww umewaalika watanzania wangap hko....?
 

Mi mwenyewe nataka nijilipue mwakani
 
Nielekeze namimi maana nishaamua kujilipua
 
UZI MZUR SANA SHUKRAN KWA MWANZILISHI WA UZI NA MEMBERS WOTE WALIOSHIRKI KUCHANGIA KWA NAMNA MOJA AMNA NYINGINE NIWE MUAZII HUU UZI UMENIFUNGUA MAMBO MENGI IF GOD WISHES NTAKUJA KUTOA MREJESHO BAADA YA MWAKA ..CUZ NTAKUWA ULAYA KWA MAPENZI YA MOLA ....UZII UMEJAA NONDO ZA KUFA MTU NAOMBA KILA MEMBERS MWENYE NIA YA KWENDA NG'AMBO ASUBUTU CUZ KILA KITU KIMEELEZEWA . KAZ NI KWETU TATIZO LETU WABONGO WENGI TUNATAKA SPOON FEED KITU AMBACHO SIO POAH SANA TUNATAKIWA TUWE KAMA WANAFUNZI WA SHULE ZA KATA AMBAO WENYE NIA HUWA WANAFAULU THROUGH HUSTLING ,,..MUNGU ATUBADIRIKI KTK HARAKAT ZENU ZA KUJENGA TAIFA NA INDIVIDUAL DEVELOPMENT,,KAULI MBIU TUKUTANE UGHAIBUNI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…