Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Jamani Mwenye uwezo anisaidie Mimi niondoke hapa Tanzania nikaishi zangu ng'ambo na sitarudi tena maisha yangu yote. Huu ujinga wanaofanya akina Magufuli na wenzie siwez kuvumilia nitakuja kupiga mtoto Wa MTU.
USOME HUU UZI KUANZIAA MWANZO WAMEELEZEA KILA KITU
 
mkuu hii lotetery green ku apply kwa mwaka huu ni lin tena?
 
Kaveli,Myahudi Jr ll vipi hamjaondoka tu??

[HASHTAG]#jembelamkono[/HASHTAG] bado tulianza harakati na daby pamoja nikaishia njiani kuna mambo yalijitokeza, mwenzangu akafanikiwa, nilitaka nikucheki tuyajenge kama tulivyofanya na daby tujue tunaanzia wapi,
 
wakuu kwa mim ninayetaka kwenda ujerumani ..sijajua pa kuanzia mpk sasa. Naomba kwa anayefahamu anipe muongozo
 

Nipe ramani namimi nataka kutoka bongo niende nchi yoyote ile yenye maslai
 
wakuu kwa mim ninayetaka kwenda ujerumani ..sijajua pa kuanzia mpk sasa. Naomba kwa anayefahamu anipe muongozo
soma uzi wote kisha uliza swali usipopaelewa mkuu....


kuuliza hivi utawapa watu wakati mgumu kuanza kuelezwa kila kitu
 
I need this
 
Wakuu mim nahitaji kwenda hapo kenya tu kuishi kama miaka miwili na nusu hiv ni vitu gani natakiwa kuzingatia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…