Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nataman sana kwenda nje kusoma wadau vp kuhusu gharama za kusoma computer science kwa nchi kama australia,belgium,uk nina diploma wadau na pia nchi kama china na india sio mbaya!
 
Nataman sana kwenda nje kusoma wadau vp kuhusu gharama za kusoma computer science kwa nchi kama australia,belgium,uk nina diploma wadau na pia nchi kama china na india sio mbaya!

Australia na Belgium ni ngumu sana kwa first degree unahitaji fedha nyingi kuanzia ada, malazi na fedha za kujikimu.

India na China, nenda wizara ya sayansi na teknolojia utafute zile nafasi za kufadhiliwa hasa China kwa first degree.
 
Bro Kama Unaye mtu wa kukutumia invitation later ya nchi kama marekani ili kuepuka kufeli kwenye visa interview ni documents gani mtu anatakiwa kua nazo, Or You If You Can Hook Me Up With Someone Who Can Help Also Will Appreciate
 
Mkuu ni kweli... Uhamiaji hawatoi passport bila reason.... Nafikiri tungebadili huu utaratibu tuwe kama wenzetu ambao passport kwao ni haki ya msingi na unaweza miliki tu.
Sababu za wao kubana ni nzuri ili kuzuia watu wasijekutumikishwa ovyo kwa kazi za ndani na unyanyasaji mwingine.
Ila tatizo linakuja pale wanapobana hizo process kupita kiasi yaani mtu anakukazia mradi usifanikiwe.
Unaweza kwenda na nyaraka zote ila unaambulia kuzungushwa na matusi juu.
Zitto aliwahi kusema tatizo ni ushamba wa baadhi ya viongozi hasa wa uhamiaji.
 
Mkuu niliona umeandika unatafuta Scholarship je umepata ? kama bado unataka ya nchi gani? na kiwango gani cha elimu unataka kusomea?

mkuu izzo na mm pia natafuta full scholarship, level yangu ya education ni certificate na kwa nchi za scandinavian mkuu
na pia ata na kazi ikitokea sawa mkuu
 
I wish 1 day nije niishi katika ardhi uliyopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njia rahisi zaidi ni kwenda kwa kusoma bila sponsor, ingawa waTz wengi ni waoga sana. Kutafuta 20,000,000 kama start up capital ili aingie kusoma nchiza watu anaogopa na kutoa visingizio kibao kuhsu ada na bei ya kwenda. Ukiamua unaweza tu, nimeona watu kutoka Nepal, wanauza mpk nyumba na kukopa bank...ili watimize malengo yao..na wanafanikiwa.

In short ukiwa muoga tu hufanikiwi kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…