Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Njia rahisi zaidi ni kwenda kwa kusoma bila sponsor, ingawa waTz wengi ni waoga sana. Kutafuta 20,000,000 kama start up capital ili aingie kusoma nchiza watu anaogopa na kutoa visingizio kibao kuhsu ada na bei ya kwenda. Ukiamua unaweza tu, nimeona watu kutoka Nepal, wanauza mpk nyumba na kukopa bank...ili watimize malengo yao..na wanafanikiwa.
In short ukiwa muoga tu hufanikiwi kamwe
Yes bro, kama ni kwa level unazosema wewe labda upitie kwenye TRADES. Yani ufundi wa kupitita VETA hasa ufundi kama wa umeme, grazier, plumbing, mechanics............za kusomea lakini, sio zile za fundi saidia hadi unakua fundidah, haya mkuu
Watz waoga Sana auze Nyumba yakeNjia rahisi zaidi ni kwenda kwa kusoma bila sponsor, ingawa waTz wengi ni waoga sana. Kutafuta 20,000,000 kama start up capital ili aingie kusoma nchiza watu anaogopa na kutoa visingizio kibao kuhsu ada na bei ya kwenda. Ukiamua unaweza tu, nimeona watu kutoka Nepal, wanauza mpk nyumba na kukopa bank...ili watimize malengo yao..na wanafanikiwa.
In short ukiwa muoga tu hufanikiwi kamwe
Mtu anayeogopa hajataka kukamilisha malengo yake tu.Watz waoga Sana auze Nyumba yake
connection huwa haiji unaitafuta unakutana nayo mbele...n'gan'ganiza
Wangapi wapo bongo wanaishi maisha ya Mbwa ? wangapi wanaishi ulaya wanaishi maisha ya mbwa?Hii mbinu ya kuoana kisanii nasikia inawatokea puani sana vijana, wa kiume wanaliwa sana pesa na wa kike mizungu inawat.ia ukweli ukweli na hata kuwageuza, ujinga sana, hapa tz ndo fursa kibao huko ni kujidanganya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaaah Daby nikutafute lin tuongee ndugu yanguconnection huwa haiji unaitafuta unakutana nayo mbele...n'gan'ganiza
@Daby msamehe bhana jamaa ana akili za mgando wa maziwaWangapi wapo bongo wanaishi maisha ya Mbwa ? wangapi wanaishi ulaya wanaishi maisha ya mbwa?
Ukishayajibu haya maswali unashika adabu.
mkuu nakupa hongera kwa hiloWangapi wapo bongo wanaishi maisha ya Mbwa ? wangapi wanaishi ulaya wanaishi maisha ya mbwa?
Ukishayajibu haya maswali unashika adabu.
Muwe mnamaliza kusoma uzi wote Kisha ndo mnacommentMkuu inategemea unataka kwenda inchi gani kujilipua...zipo inchi zipo ulaya lakini utatamani ubaki Africa..sasa wewe nidokeze unataka uende inchi gani?
Ngoja nianze kutafuta sponsorship labda naweza kimbia bongo aiseeNdugu wana JF
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.
Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi nimeona nifungue uzi huu ili kuweka mambo yote wazi kwa kadiri itakavyowezekana na kualika wengine pia waweze kutoka maoni yao.
Ndugu zangu nchi yetu ya Tanzania ki uwezo bado ni changa, fursa za kutoka ni chache na hata changamoto ni nyingi. Huko kwa wenzetu fursa ni nyingi ndio maana imekuwa chanzo cha kuvuta wahamiaji wengi sana toka mataifa masikini.
Nchi masikini wenzetu huko mbele raia wao wamejaa haswa kutokana na moyo wa kusaidiana na kuvutana.
Nimeamua nilete hoja hii kama ambavyo wenzetu hufanya huko Nairaland ya Nigeria ili kila mtu mwenye ujuzi au ufahamu juu ya namna ya kutoka (kujilipua) atoe msaada kwa wengine kwenda huko... si lazima wewe binafsi usaidie mtu binafsi NO, hata mbinu tu za jinsi ya kufika huko.
Kabla sijaingia kwenye kiini cha mada naomba nitoe faida na changamoto za kujilipua.
FAIDA
1. Fursa nzuri za kiuchumi na kujiinua hasa ukiwa na malengo.. Wakuu binafsi nimeishi Marekani kwa miaka nane. moja ya faida nilizopata huko ni kujiinua kiuchumi.... binafsi wakati naenda kusoma huko nilijiwekea malengo ya kujenga ghorofa nyumbani, kufungua mashine za kusaga na kukoboa nafaka pamoja na kumiliki fuso za mizigo...
kipato cha mfanyakazi wa kule ni kikubwa mno kushinda hata cha baadhi ya maboss wetu hapa... hivyo nilijitahidi nilipokuwa kule malengo yangu yaimie... ni kweli baada ya muda huo nilifanikiwa kutimiza yote.
2. Huduma nzuri za afya, Elimu, Sheria, miundombinu.
CHANGAMOTO
1. changamoto kubwa kwa kuwa kule ni upweke (ku feel home mara kwa mara japo wakati mwingine ukizoea hutoweka)
2. Xenophobia hii ni kwa baadhi ya nchi tu sio zote.
USHAURI WA WAPI UENDE NA NAMNA GANI UENDE
Kwa wale wahitaji wa masuala ya maisha kujijenga na kuchuma nashauri nchi hizi, USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES. kwa Afrika nashauri SA.
Jinsi gani utaenda namna ni nyingi.... naorodhesha baadhi hapo chini...
1. kwenda kimasomo ambapo unaweza tafuta sponsors then ukapata scolarship itayokuwezesha kupata visa na kujilipua huko baada ya masomo...
2. Kutafuta mwenzi wa nje ambaye atakualika huko kisha mtaoana na kukuwezesha kupata resident permit na baadae uraia.
3. Kuhamisha mataji na biashara njia hii unakubaliwa popote alimradi uwe na biashara halali,
4. kwenda kwa shughuli za utamaduni
Wenzetu wakenya na wanigeria wameunda mfumo wa kualikana wao kwa wao, kwamba mtu anakutumia barua ya mwaliko, then unakwenda ukifika huko anakutafutia mtu mnaoana kisheria tu ili upate karatasi kisha kila mtu anasika hamsini zake....
Wapendwa mambo ni mengi siwezi andika yote ndio maana nimeanziasha uzi huu tutaendelea kujuzana kwa kairi michango ya watu itakavyokuwa na maswali yatayojitokeza.
Nawakaribisha nyote. Na wote wenye maujuazi au mauzoefu ya huko mbele... karibuni tusaidiane tujenge taifa letu... Tuwasaidie vijana wakasake fursa.
Mkuu mipango yako inaendaje
Ok we karibia tu. Mimi naishi Copenhagen Denmark.
Wadaganye hao hao. Usione waethiopia wanafungiwa kwenye malori ili mradi tu wazamie na kufika kwenye ndoto zao ukafikili ni wajinga. Maisha ya Tanzania kuna sehemu ukifika hadi unaweza ukamkufuru mungu kwa kudhania huko watu wanaishi kwenye vichuguu. Elewa kwamba unaweza ukaishi maisha magumu ughaibuni lkn infrastructure zilizoko huko zikawa msaada kwako hata kiafya tu. Endeleeni tu kuhubiri amani maana ndiyo ishakuwa kauli mbiuHii mbinu ya kuoana kisanii nasikia inawatokea puani sana vijana, wa kiume wanaliwa sana pesa na wa kike mizungu inawat.ia ukweli ukweli na hata kuwageuza, ujinga sana, hapa tz ndo fursa kibao huko ni kujidanganya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app