Ng'wanapagi
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 9,116
- 8,652
Mtu muoga hatakiwi hata kuwa rafiki yakoNjia rahisi zaidi ni kwenda kwa kusoma bila sponsor, ingawa waTz wengi ni waoga sana. Kutafuta 20,000,000 kama start up capital ili aingie kusoma nchiza watu anaogopa na kutoa visingizio kibao kuhsu ada na bei ya kwenda. Ukiamua unaweza tu, nimeona watu kutoka Nepal, wanauza mpk nyumba na kukopa bank...ili watimize malengo yao..na wanafanikiwa.
In short ukiwa muoga tu hufanikiwi kamwe
Ukiishi ng'ambo zaidi ya miaka miwili harafu uwe hujajipanga kupotelea huko basi amini utakuwa na mtindio wa ubongoScholarship nyingi hua zina mashart ya lazima kurudi nchini kwenyu baada ya kumaliza ili utoe mchango kwa ile elimu waliyokupa, so ukitaka kusepa majuu lazima uamue kweli kweli sio kubeep beep tu
Vumilieni tu uchaguzi ukikaribia maisha yatakuwa na ahueni
South ndiyo sehemu pekee ya kuanzia kabla ya kupotelea UlayaMwakani nina mpango wa kwenda south afrika kusaka maisha. Ngoja nisubscribe huu uzi utanifaa japo nimechelewa sana.
Plan kwanza kuingia nchi za Kusini mwa Afrika chaka lingine naloona ukitaka kuanzia maisha ni Namibia. Kuna nchi hapa Africa unaweza zitumia kama daraja tu ili kufika mamtoniBro Kama Unaye mtu wa kukutumia invitation later ya nchi kama marekani ili kuepuka kufeli kwenye visa interview ni documents gani mtu anatakiwa kua nazo, Or You If You Can Hook Me Up With Someone Who Can Help Also Will Appreciate
Kung'oa nini mkuu sijakuelewawakuu wazima kuna ambaye alifanikiwa kung'oa?kama yupo tunaomba aje atupe experince
Mtu yoyote anayetaka kuzamia kwa ajili ya kwenda kusoma mimi huwa sina ushauri naeAustralia na Belgium ni ngumu sana kwa first degree unahitaji fedha nyingi kuanzia ada, malazi na fedha za kujikimu.
India na China, nenda wizara ya sayansi na teknolojia utafute zile nafasi za kufadhiliwa hasa China kwa first degree.
kuondokaKung'oa nini mkuu sijakuelewa
Sure mkuu, nashukuruNgoja waje wajuzi,lkn kuwa makin mkuu kwan utaoeli umezagaa kila kona
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu Mimi nimepata manzi kutoka USA, Bahati nzuri katika kuchati na kuongea kaniambia anakuja Tanzania kutalii na anataka kujifunza Kiswahili pia anapenda Africa. Yeye Ni Black Amerika.Mpaka sasa tupo kwenye mahusiano.
Sasa naomba mnipe abcd na mawazo kupitia yeye niweze kuingia US.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitakuelezea kwa uelewa wangu na mwisho nitavaa uhusika wako.Wakuu Mimi nimepata manzi kutoka USA, Bahati nzuri katika kuchati na kuongea kaniambia anakuja Tanzania kutalii na anataka kujifunza Kiswahili pia anapenda Africa. Yeye Ni Black Amerika.Mpaka sasa tupo kwenye mahusiano.
Sasa naomba mnipe abcd na mawazo kupitia yeye niweze kuingia US.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, hata Mimi mwanzo nilianza pupa lakini baadae nikaona sijioneshe nipo after something.KInachoangaliwa na watu wa Homeland Security watakapokuuliza masuali ni "genuine relationship" yaani uhusiano wa kweli katika kupima kama unastahiki kupata visa ya kuingia USA.
Hivyo kama una nia kwei ya kwenda USA kuishi na huyo mwanamke, basi vuta subira na chukulia kama hauko na wala usimwonyeshe upo "desperate".
Pia itabidi yeye akirudi USA basi anakualika na wewe unaenda huko kisha baadae kijana unatoa sera zako imara.
Haya mambo haitaji haraka yanakwenda kwa mtindo twaite "chronological order" mpaka kufikia lengo lako.
Kila la kheri.
Mkuu Daby umeongea point Muhimu sana, kwa Sasa yeye Ni Lecturer chuo flani huko na yupo 30s age. Kwa kweli process za ndoa naona zitachukua mda mrefu, la msingi namsubiri aje kwanza niweze kumjua impression yake ipo vipi. Nashukuru Sana Mkuu.Nitakuelezea kwa uelewa wangu na mwisho nitavaa uhusika wako.
Kwanza, Tu-assume sio tapeli ni mdada mwema kabisa. Lengo lake yeye ni kuja kutembea Afrika ajifunze kiswahili na kukuona wewe boyfriend wake.
Ila wewe lengo lako ni kumtumia kuingia USA.
Nitajitoa ufahamu hapa.
Sio wewe wa kwanza kuwatumia hawa watu kuingia nchi zao ni watu wengi tu wamefanikiwa kwa hili.
Kikubwa akupende wewe na asiwe choka mbaya, hapa utafanikiwa. Kupendwa naye ni pagumu kueleza...maana kila mmoja anapenda kivyake. Ila kikubwa hawa watu mwonekano na uwazi.
Black sio wazungu ni waafrika wanaoishi ulaya hivyo uzungu kwao sio kivile. Kwa hiyo usitarajie mengi kutoka kwake...ila kama angekuwa mzungu ungetarajia mengi.
ok...
Utamtumia kuingia hasa hasa kwa kutembea. hapa kuna mawili utapewa visa au usipewe.
Bahati nzuri Ukipewa.
Utaenda kumtembelea kama alivyokuja kukutembelea. Kama una roho ngumu Utamtoroka unakuwa umeshachora ramani huku. Hapa lazima uwe na mtu huko uendako maana huwezi ukamtoroka demu ukaingia mtaani pasipo na sehemu ya kwenda. [Sishauri ufanye au usifanye]
Upande wa pili
Mahusiano yenu yanaweza kuwa mazuri mkapanga kuoana. Hapa uwanja ni mpana maana utafuata sheria na utaishi kwa kujitawanja. Tatizo la hapa patachukua muda mrefu na mnaweza kuachana hata kabla ya kuprocess chochote.
-Njia zingine ni ndogo ndogo kama kumtumia akutafutie scholarship. n.k
100 Mzee baba.Mkuu Daby umeongea point Muhimu sana, kwa Sasa yeye Ni Lecturer chuo flani huko na yupo 30s age. Kwa kweli process za ndoa naona zitachukua mda mrefu, la msingi namsubiri aje kwanza niweze kumjua impression yake ipo vipi. Nashukuru Sana Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawià ufike, hiyo njia ya ndoa ndio ya uhakika 100% percent, American woman hawezi kukubali kutenganishwa na spouse wake.Mkuu Daby umeongea point Muhimu sana, kwa Sasa yeye Ni Lecturer chuo flani huko na yupo 30s age. Kwa kweli process za ndoa naona zitachukua mda mrefu, la msingi namsubiri aje kwanza niweze kumjua impression yake ipo vipi. Nashukuru Sana Mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nazidi kupokea maarifa nashukuru kwa hilo, una experience na hizi process kidogo.Kawià ufike, hiyo njia ya ndoa ndio ya uhakika 100% percent, American woman hawezi kukubali kutenganishwa na spouse wake.
Achana na issue zote fuata process za ndoa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njia zingine ziko rafiki kwa waajiliwa wa serikali, safari za kidini lakini lazima uwe na strong ties Tanzania na MTU yeyote anayefanyakazi kampuni kubwa kubwa hapa Tanzania zenye majina hata wale wazungu pale ubalozini wanazijuwa hawana shida wanakupa viza bila shida yoyote.Mkuu nazidi kupokea maarifa nashukuru kwa hilo, una experience na hizi process kidogo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu, hata Mimi mwanzo nilianza pupa lakini baadae nikaona sijioneshe nipo after something.
Je issue Ni kwenda kwa mwaliko tuu au mpaka tufunge ndoa ndio naweza kukaa USA nakusaka life.
Sent using Jamii Forums mobile app