Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Nauli ya go n return ya Sweden ni sh ngap??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je umejipangaje kuwashawishi ubalozi wa Sweden ili waweze kukupa viza.

Pesa pekee haikuwezeshi kwenda Sweden mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je umejipangaje kuwashawishi ubalozi wa Sweden ili waweze kukupa viza.

Pesa pekee haikuwezeshi kwenda Sweden mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sababu yangu nimetaja kwamba naenda kutalii, lakn kama kuna sbabu nyingine nzuri zaid waweza kunijuza....ni kweli visa ya sweeden nimefatilia ni ngumu kinyama lakn kwenye ugumu ndo kuna neema...nitajarbu kupitia hata nchi nyingine kama spain ili niweze fika sweden..karbu kwa msaada ndug
 
Mkuu wewe umekata passport lini??na je ulikata bila kua na uthibitisho wa safari??

Sent using Jamii Forums mobile app
Passport nime pata mwez wa kumi na mbili mwaka jana kuhus barua ya mwaliko tafua ndug au rafiki anae ishi hata kenya aku email barua ya mwaliko na akutumie photocopy ya ID yke. Ila pale nje migration kuna stationary wanawez kukusaidia ukiwapoza kidogo. Kama una ndoto zaku safiri fight upate passport ukiwa na full documents huongi hata mia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nauli ya go n return ya Sweden ni sh ngap??

Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na kwamba lengo la uzi huu ni kushare exposure lakini hupaswi kuwa shallow kiasi hiki halafu unataka safari, una internet unashindwa vipi kuitumia google? Matumizi ya internet siyo tu Facebook Twitter, Wasap na JF, tumia muda mwingi kusoma information mbalimbali zipo kwenye internet, sasa hivi zipo kazi Afghanistan kampuni za kimarekani mshahara kima cha chini ni milluoni 7 kwa mwezi kula bure kulala bure camp, unaaply online kama zali lako unakula maisha, kuna wabongo kadhaa wanepata hizu kazi online

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Emu Nitajie ndugu yangu Iyo website niapply na mm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupata visa ya shengen kama ww ni muajiriwa wa serikalin au shirika binafs Inatakiwa muajiri wako akuandikie barua ya kukutambulisha ubalozini na aeleze ofisi imekupa ruhusa ya kwenda kwa muda falni matembezi au mapunziko na Inatakiwa viwepo vielelezo vinavyoonyesha mshahara wako na mkataba wa ajira. Baada ya hapo inabidi ufanye bookin ya hotel na flight na utafute mawakala wa bima za wasafiri ufanye malipo na lazima uwe na bank statement iliyo Shiba . Ukimaliza ambatanisha doc zako zote ubalozini na uombe apointment ya visa.kama unampango wa kuzamia sweeden pitia embassy ya Italy Lakin kwa sasa tobo lipo France kwa wazamiaji nenda France embassy ukikosa visa una gundu.ukifika Paris pale kuna treni au ndege hadi sweeden ukifika sweeden kama Kuna washikaj watakubeba kwa siku chache.

Ila ukiwa sio mwajiriwa wa sehemu yeyote Kuna MA agent wanakutengenezea doc zinazokuwezesha kuingia ubalozini lazima uwe na passport, card ya bank active, gharama ya mwanzo si chini ya laki 8 ili michakato ianze ya visa, ukifanikiwa kuingia embassy na kupata visa lazima ulipie si chini ya 3m ~3.5m. Nauli ya kukufikisha France si chini ya 1.8m kwa sababu ni go and return kutoka France hadi sweeden si chin ya laki 2. Na mwisho kabisa uwe na pesa ya dharura kama dola 500 au zaidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ulinipa hamasa nimefight apa nasubiri pass itoke tu nia ze sasa harakat za kuangalia nitimke wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi kama Iceland Mkuu unataka nijilipue huko
Mkuu inategemea unataka kwenda inchi gani kujilipua...zipo inchi zipo ulaya lakini utatamani ubaki Africa..sasa wewe nidokeze unataka uende inchi gani?
 
Mkuu umefwata utaratib gan adi umefanikiwa mzee emb npe mwanganza ase n mm nianze huo mchakato mkuu nahiitaji kinoma

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikua na document zingine zote isipokua UTHIBITISHO WA SAFARI hivyo nikaanza kuapply online kwenye website yao na sababu ya safari nikaandika kusoma,kwakua nina vyeti vya chuo nikapiga copy na nikajifanya kama naapply chuo ujerumani hivi,kuna sehemu wanadai passport mi nikaprint ile sehemu nikaambatanisha,kisha nikaandika barua ya ombi la passport na nikaeleza kua shida yangu ni kuappy chuo na siwezi apply kama sina passport hivyo wanipe passport ili niapply chuo.. nilipokwenda uhamiaji nikawakabidhi wakaangalia wakanipiga maswali nikajitilisha huruma na nikawaeleza bila passport siwezi apply wakakubali bhas kazi ikawa kwisha nikaruhusiwa kulipia ile 130k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…