Khan tae joh
New Member
- Dec 20, 2018
- 3
- 2
Yaani hizo hela zote unashindwa kufanya kitu bongo ..Kupata visa ya shengen kama ww ni muajiriwa wa serikalin au shirika binafs Inatakiwa muajiri wako akuandikie barua ya kukutambulisha ubalozini na aeleze ofisi imekupa ruhusa ya kwenda kwa muda falni matembezi au mapunziko na Inatakiwa viwepo vielelezo vinavyoonyesha mshahara wako na mkataba wa ajira. Baada ya hapo inabidi ufanye bookin ya hotel na flight na utafute mawakala wa bima za wasafiri ufanye malipo na lazima uwe na bank statement iliyo Shiba . Ukimaliza ambatanisha doc zako zote ubalozini na uombe apointment ya visa.kama unampango wa kuzamia sweeden pitia embassy ya Italy Lakin kwa sasa tobo lipo France kwa wazamiaji nenda France embassy ukikosa visa una gundu.ukifika Paris pale kuna treni au ndege hadi sweeden ukifika sweeden kama Kuna washikaj watakubeba kwa siku chache.
Ila ukiwa sio mwajiriwa wa sehemu yeyote Kuna MA agent wanakutengenezea doc zinazokuwezesha kuingia ubalozini lazima uwe na passport, card ya bank active, gharama ya mwanzo si chini ya laki 8 ili michakato ianze ya visa, ukifanikiwa kuingia embassy na kupata visa lazima ulipie si chini ya 3m ~3.5m. Nauli ya kukufikisha France si chini ya 1.8m kwa sababu ni go and return kutoka France hadi sweeden si chin ya laki 2. Na mwisho kabisa uwe na pesa ya dharura kama dola 500 au zaidi..
Sent using Jamii Forums mobile app
Anaona ni ndogo labda. Kwenda nje nayo ni passion ukiacha vingine kando.
kaka msaada vpe kuhusu fursa za kimichezo inchi ya uturukiHapa bongo unafanya biashara gani?
mkuu naelewa sana mchango wako kwenye huh uzi nimeku pm plz ukipata wasaa pitia pitiaHaha mkuu rekebisha wakati sema “hakujua” ukisema hajui means yu hai bado
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuwa makini..!mkuu naelewa sana mchango wako kwenye huh uzi nimeku pm plz ukipata wasaa pitia pitia
tusaidiane kupeana muongozo sahihi mkuu ukisema niwe makn ni kweri lzm tuwe mkn lkn mhm tupate muongozoKuwa makini..!
Utaibiwa..!
mkuu pitia page za nyuma vzr kwenye uzi huu wameshaeleza kuhusu sehem unayotaka kwenda na fursa zakeHabar wakuu nina mil 9 natak kwenda kuish canada .upatikanaje wa visa ukoje na maisha yak yakoj huko canada kazi zip au.
broo awa ndio ambao awana nia wanasikia to fuln yupo mahari fuln ila anaona kila kitu ni uongo so muhm kuchukua maamuzi sahihi siku zote kwenye mafnikio kuna kupata na kukosa uwende ikawa yes mipango ikatick hata ikiwa no usichoke kujarbu wala kukataa tamaa uzii ushasaidia watu wengi kupata njia sahihi za kufanikiwa bila kutoa pesa yoyote ilePole sana, woga wako ndo umaskini wako. Wengi wamefanikiwa kupitia uzi huu na hawakuwahi toa hata senti kwangu achilia mbali kunijua.
Wewe endelea kupiga mbeta wenzako wakisonga mbele.
Ahahaaaah...Pole sana, woga wako ndo umaskini wako. Wengi wamefanikiwa kupitia uzi huu na hawakuwahi toa hata senti kwangu achilia mbali kunijua.
Wewe endelea kupiga mbeta wenzako wakisonga mbele.
hahahaah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wangefanya hivyo.siku nyingi ningekuwa sauzi.walinipa form zao zile.zina maswali hatari.zikazichoma moto.
mayyote ndio wap kakaMuongozo wa kufika na kuishi Mayotte.
Hawa jamaa ZETU warundi wanakimbilia huko je kuna uwezekano wa kutoboa France kiurahisi kupitia mayyote.
Ni visiwa vipo JIRANI na comoro, Mayotte inamilikiwa na serikali ya ufaransa na watu wake in RAIA wa ufaransa.mayyote ndio wap kaka
kwaiyo taratibu zake ziko vpeNi visiwa vipo JIRANI na comoro, Mayotte inamilikiwa na serikali ya ufaransa na watu wake in RAIA wa ufaransa.