Hivi ni sweeden au Canada, ndio wanauhitaji wa watu nguvu kazi ktk nchi yaoKuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa
Ndio hasa canada mkuu unaweza kwenda kupitia skilled labour immigrant programHivi ni sweeden au Canada, ndio wanauhitaji wa watu nguvu kazi ktk nchi yao
Nikitata kwenda huko naanzia wapi?
Ndio ikoje hiyo mkuu hebu tufungue macho.Ndio hasa canada mkuu unaweza kwenda kupitia skilled labour immigrant program
Ni kuna mji kule ina upungufu wa wafanyakazi na kuna professional zinahitajika sna hasa health and engineering japo hata kwa nyingne unaweza kuomba kwa skilled labour uwe kuanzia na bachelor degreeNdio ikoje hiyo mkuu hebu tufungue macho.
Kuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa
Den mark ukiwa umesomea agriculture na hot culture kuna fursa nyingi sanaMimi nataka kwenda Denmark. Naomba jinsi ya kuingia na fursa zilizopo huko zisizohitaji elimu.yaani nguvu kazi.
Habari zenu wapendwa?Bado natafuta mtu wa kunivuta Canada.najilipia kila kitu ntaka makaratasi tu basi.Natanguliza shukrani
Wahindi na warabu Wanenda canada kwa Lengo moja kumiliki nyumba na kufungua biashara wewe mtz kumiliki karatasi ndio umeona mafanikio,Mambo vpi mad jaluo nichek nikupe connection kuna jamaa takupa kila kitu 0685922524
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika maisha kila mtu ana definition yake ya mafanikio mkuu.Wahindi na warabu Wanenda canada kwa Lengo moja kumiliki nyumba na kufungua biashara wewe mtz kumiliki karatasi ndio umeona mafanikio,
Mtaji/pesa kiasi gani itanikocost kuingia kama tourist?Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.
Mkuu kupata visa sweden au denmark msaadaKuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa
Mtaji/pesa kiasi gani itanikocost kuingia kama tourist?
Ooh kumbe, hope changamoto ni namna ya ufikaji huko ...Den mark ukiwa umesomea agriculture na hot culture kuna fursa nyingi sana
sent from toyota Allex
Mkuu iyo pesa ni ya kawaida kupatikana
Sasa hv ninazo mbili ngoja nijikusanye nifikishe hata tano.