Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Kuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa
 
Hivi ni sweeden au Canada, ndio wanauhitaji wa watu nguvu kazi ktk nchi yao
Nikitata kwenda huko naanzia wapi?
 
Ndio ikoje hiyo mkuu hebu tufungue macho.
Ni kuna mji kule ina upungufu wa wafanyakazi na kuna professional zinahitajika sna hasa health and engineering japo hata kwa nyingne unaweza kuomba kwa skilled labour uwe kuanzia na bachelor degree
Kupata offer letter ya kampuni yyte kule kwenda kufanya kazi lazma kwnza waitangaze hyo kazi akaosekane mcanada wa kufit hyo position then wapeleke ombi lako serikalini kweny kitengo cha kazi na ajira kule canada wapate kitu kinaitwa LMIA(labour Market Impact Assessment) Ikiwa positive ndio inaweza kuomba work permit
Japo kuna taratibu nyingne kutokana na kila mji una program mbali mbali za kuchukua watu..inahitaji kufuata maelekezo na kuweka mda wa kutosha + uvumilivu
 
Habari yako mkuu mimi nataka kwenda Canada nipe maelekezo au uzoefu wako au ushauri wako pia nataka kwenda kutafuta maisha huko Canada..pia ikiwezekana kusoma kabisa naomba niambie nn nifanye
Kuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usinikumbushe nilivyokuwa bavaria , nasoma chuo
Nilipata mahali kazi baada ya kutoka chuo nilikuwa naenda kufanya kazi kwa masaa 6 ,nachukua changu

Kuna dada mmoja alinielewa sana akataka nifunge naye ndoa ili nipate uraia wa Germany ..ilikuwa ni shida iasee

Ubaguzi niliokutana nao ...sio wa nchiii ..kila muda kuoekuliwa vibali ,,hasa stetion za treni

Sikupenda kabisa nikaona ni bora nirudi tu nyumbani!! Nije niendelee kubanan na waswahili wenzangu

sent from toyota Allex
 
Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.
Mtaji/pesa kiasi gani itanikocost kuingia kama tourist?
 
Kuhusu visa
Wanaotaka visa ya USA, Canada, UK, Australia na SCHENGEN countries (France, Germany, Italy, Sweden, Denmark e.t.c) kuanzia kusaidiwa kupata invitation letter mpka maandaliz ya interview na document zote hitajika na kwa wanafunz pia wanaotaka kwend a kusoma nje ya nchi
Ni PM au uliza swali lolote ntakujib hpa
Mkuu kupata visa sweden au denmark msaada
 
Back
Top Bottom