boniphace ratego
Member
- Jun 20, 2019
- 73
- 78
Sasa hv ninazo mbili ngoja nijikusanye nifikishe hata tano.
Alafu kwahiyo ukpata hiyo ya utalii after that ndio unajilipua kitaa/kuzamia, haurudi kwa mida uliopangwa au?
Mkuu lusungo tuweke telegram groupMkuu lusungo kwa nini usiunde group ili tuweze kusaidia na kupeana update mambo ni mengi sna ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu lusungo tuweke telegram group
Tengeneza telegram group ndio safi mimi hadi december nitakuwa denmarkTuma namba nako niende group la WhatsApp ili tufanye mambo ili mwaka huu watu tuondoke
Sent using Jamii Forums mobile app
Tengeneza telegram group ndio safi mimi hadi december nitakuwa denmark
Katika maisha kila mtu ana definition yake ya mafanikio mkuu.
150k mkuu..Sema kwa sasa tumepigwa ban cjui itakuwaje..sh.ngapi??
Ongezea na Tanzania apo..Zifuatazo ni nchi ambazo wamepigwa ban kushiriki Dv lottery 2021 inayofanyiia mwaka huu
1.Bangladesh
2.Brazil
3.Canada
4.China
5.Colombia
6.Dominican Republic
7.El Salvador
8.Guatemala
9.Haiti
10.India
11.Jamaica
12.Mexico
13.Nigeria
14.Pakistani
15.philipines
16.South Korea
17.UK
18Vietnam
Sababu ya kupigwa ban ni kuwa na watu wengi waliohamia marekani zaidi ya 50000
So hii fursa kwetu wa bongo kuapply
Nilipata man Sema trump dah! Kaua dream zangu ...maana Tz imetupiwa kweny ban na itakuwa kwenye effect kwanzia tarehe 21/02/2020 adi sasa sina kumi ya nauli ..apa nahisi nimeloose Kila kitu .....dah go to hell trump[emoji22][emoji22][emoji22]Vipi mkuu ulipata Dv
0622022543 please ni addJamni wekeni namba group lishaundwa tayari..ili group la uzi maoni ushauri na mambo mengine ili tufanye mambo kwa wakati naata kupeana document za hpa na pale..tufanye hvyo jmni muda wa maneno akuna jmni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamni wekeni namba group lishaundwa tayari..ili group la uzi maoni ushauri na mambo mengine ili tufanye mambo kwa wakati naata kupeana document za hpa na pale..tufanye hvyo jmni muda wa maneno akuna jmni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu msaada wako ninauhitaji sana.Yeah hicho ndo cha umuhimu... Niliona wakenya huko Sweden wanauza ndoa... Yaani milion tano ya bongo ukimlipa anakubali kufunga ndoa ya kimkakati nawewe then baada ya hapo unapita hivi.... Wengi sana wanaingia huko kwa njia hii na visa za nordic ni rahisi mno kupata.
uko vizuriBritanica alikutenda nini? Mimi sihitaji pesa yoyote nakupa ramani tu...
Kuhusu cheti cha kuzaliwa cha mzazi kisikutishe... Pale uhamiaji hutoa hati za kiapo cha baba au mama, ukienda kuna wanasheria wanakusainia kwa elfu 10 tu ambapo utapatiwa affidavit then utaambatanisha. (muhimu uwe na taarifa kamili za baba au mama)
Mkuu msaada wako ninauhitaji sana.
ngoja next week nimalize mchakato wa cheti cha kuzaliwa then nitaomba niku PM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ndoto ya kwenda nje bado unayo ama ndo hivyo tena? [emoji23] [emoji23]Huyo britanicca.ni kirusi.