Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Zifuatazo ni nchi ambazo wamepigwa ban kushiriki Dv lottery 2021 inayofanyiia mwaka huu

1.Bangladesh

2.Brazil

3.Canada

4.China

5.Colombia

6.Dominican Republic

7.El Salvador

8.Guatemala

9.Haiti

10.India

11.Jamaica

12.Mexico

13.Nigeria

14.Pakistani

15.philipines

16.South Korea

17.UK

18Vietnam

Sababu ya kupigwa ban ni kuwa na watu wengi waliohamia marekani zaidi ya 50000

So hii fursa kwetu wa bongo kuapply
Ongezea na Tanzania apo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah hicho ndo cha umuhimu... Niliona wakenya huko Sweden wanauza ndoa... Yaani milion tano ya bongo ukimlipa anakubali kufunga ndoa ya kimkakati nawewe then baada ya hapo unapita hivi.... Wengi sana wanaingia huko kwa njia hii na visa za nordic ni rahisi mno kupata.
Mkuu msaada wako ninauhitaji sana.
ngoja next week nimalize mchakato wa cheti cha kuzaliwa then nitaomba niku PM.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Britanica alikutenda nini? Mimi sihitaji pesa yoyote nakupa ramani tu...

Kuhusu cheti cha kuzaliwa cha mzazi kisikutishe... Pale uhamiaji hutoa hati za kiapo cha baba au mama, ukienda kuna wanasheria wanakusainia kwa elfu 10 tu ambapo utapatiwa affidavit then utaambatanisha. (muhimu uwe na taarifa kamili za baba au mama)
uko vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi bado upogo na unasonga?!!!

Hahahaaa The JF. This thread taught me a lot about jf gamers.

I am of the opinion that this thread was 'strategically' initiated. Uzi wa kimkakati.

I get around, and still balling. Life goz'on.

Bongo nyoso!

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom