boniphace ratego
Member
- Jun 20, 2019
- 73
- 78
Mkuu lusungo kwa nini usiunde group ili tuweze kusaidia na kupeana update mambo ni mengi sna ..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hv ninazo mbili ngoja nijikusanye nifikishe hata tano.
Alafu kwahiyo ukpata hiyo ya utalii after that ndio unajilipua kitaa/kuzamia, haurudi kwa mida uliopangwa au?
Sent using Jamii Forums mobile app