Nikweli mkuu ila wewe unafanya kazi nje na class mate niki kuuliza ulipataje fursa ya kazi au kuna fursa gani huko unasema oooh nahangaika tu na maisha wakati money rate ya bongo na huko tofaouti zaidi ya tsh 1 kwa 5000, na ktk profile picture za whatsap una post magariMababu zetu ndiyo wametuharibia nchi, kujaza mizindiko isiyo na kichwa wala miguu.
visa ina expire muda gani kabla hujasafiri ?Mkuu vipi, mimi nmefanikiwa kupata visa ya mwaka mmoja, toka mwezi wa Tatu nko hapa, naomba nkutafute PM, nkuulize kitu.
Usilalamike sana sio kila mtu yupo open kuelezea mambo yake/mishe zake mkuu binadamu wanatofautiana ..Mkuu leo ndio nime thibitisha hili baada ya kupiga story na class mate Wangu, yupo uarabuni ana certificate tu ya biashara ya bongo ila ana fanya kazi huko , nilipo muuliza fursa za huko jibu alonipa , ata hamu ya mazungumzo ikaisha hapo hapo, ni bora mtu akae na information zake kuliko kukupa wewe
Mkuu,fafanua kidogo hapa please!Mkuu leo ndio nime thibitisha hili baada ya kupiga story na class mate Wangu, yupo uarabuni ana certificate tu ya biashara ya bongo ila ana fanya kazi huko , nilipo muuliza fursa za huko jibu alonipa , ata hamu ya mazungumzo ikaisha hapo hapo, ni bora mtu akae na information zake kuliko kukupa wewe
Ndio maana mkuu nikasema "Aliyeturoga kafa " wewe upo nje ya Tanzania una fanya kazi na maisha yako yame badilika permanent sasa unawasaidiaje wenzako ?, au unataka urafiki wa kunionesha na kunipostia magari mtandaoni, hatuwezi kufika na tukifika basi ni more than too late, ishu hii imenitokea jana kwa mwana wa class mateUsilalamike sana sio kila mtu yupo open kuelezea mambo yake/mishe zake mkuu binadamu wanatofautiana ..
Nia na madhumuni yako kuapata hizo infos haswa ni nini?
Alafu walizindika vibaya, yaani walizindika nchi na vilivyomo km watu, wanyama, ndege etcNikweli mkuu ila wewe unafanya kazi nje na class mate niki kuuliza ulipataje fursa ya kazi au kuna fursa gani huko unasema oooh nahangaika tu na maisha wakati money rate ya bongo na huko tofaouti zaidi ya tsh 1 kwa 5000, na ktk profile picture za whatsap una post magari
Aalikujibu vipi?Ndio maana mkuu nikasema "Aliyeturoga kafa " wewe upo nje ya Tanzania una fanya kazi na maisha yako yame badilika permanent sasa unawasaidiaje wenzako ?, au unataka urafiki wa kunionesha na kunipostia magari mtandaoni, hatuwezi kufika na tukifika basi ni more than too late, ishu hii imenitokea jana kwa mwana wa class mate
Mkuu hiyo usiwaze si binadamu wote wako fair kumpa njia mwenzake afanikiwe ni wachache sana wenye hiyo sacrifice.Ndio maana mkuu nikasema "Aliyeturoga kafa " wewe upo nje ya Tanzania una fanya kazi na maisha yako yame badilika permanent sasa unawasaidiaje wenzako ?, au unataka urafiki wa kunionesha na kunipostia magari mtandaoni, hatuwezi kufika na tukifika basi ni more than too late, ishu hii imenitokea jana kwa mwana wa class mate
tukuchek kiaje?anayetaka fursa ya kwenda south korea via study visa kuanzia diploma, degree au phd anichek
Weka mchoro tuone inakuwaje ...anayetaka fursa ya kwenda south korea via study visa kuanzia diploma, degree au phd anichek
Tuition Fee $ 2,500Weka mchoro tuone inakuwaje ...
Tuition Fee $ 2,500
Application Fee $ 100
Flight $ 800 (one way)
Poket Money $ 1,000
Visa application fee $ 80
Certificate Verificatio )Foreign Affairs Tsh.20,000 @
Korea Embassy $ 4 @ Certificate
Agency Cost $ 700
Other cost $ 200
cost for degree and masters
Ndugu wana JF,
Kwa muda mrefu kumekuwa na masuala mbalimbali yahusuyo kujilipua (kwenda nje ya nchi) ambayo watu wanauliza mmoja mmoja kwa lemgo la kutaka msaada na ushauri namna ya kufika na jinsi ya kuanza maisha huko nje.
Kutokana na kutoa msaada kwa wengi (binafsi) kwa kutumia njia binafsi nimeona nifungue uzi huu ili kuweka mambo yote wazi kwa kadiri itakavyowezekana na kualika wengine pia waweze kutoka maoni yao.
Ndugu zangu nchi yetu ya Tanzania ki uwezo bado ni changa, fursa za kutoka ni chache na hata changamoto ni nyingi. Huko kwa wenzetu fursa ni nyingi ndio maana imekuwa chanzo cha kuvuta wahamiaji wengi sana toka mataifa masikini.
Nchi masikini wenzetu huko mbele raia wao wamejaa haswa kutokana na moyo wa kusaidiana na kuvutana.
Nimeamua nilete hoja hii kama ambavyo wenzetu hufanya huko Nairaland ya Nigeria ili kila mtu mwenye ujuzi au ufahamu juu ya namna ya kutoka (kujilipua) atoe msaada kwa wengine kwenda huko... si lazima wewe binafsi usaidie mtu binafsi NO, hata mbinu tu za jinsi ya kufika huko.
Kabla sijaingia kwenye kiini cha mada naomba nitoe faida na changamoto za kujilipua.
FAIDA
1. Fursa nzuri za kiuchumi na kujiinua hasa ukiwa na malengo.. Wakuu binafsi nimeishi Marekani kwa miaka nane. moja ya faida nilizopata huko ni kujiinua kiuchumi.... binafsi wakati naenda kusoma huko nilijiwekea malengo ya kujenga ghorofa nyumbani, kufungua mashine za kusaga na kukoboa nafaka pamoja na kumiliki fuso za mizigo.
Kipato cha mfanyakazi wa kule ni kikubwa mno kushinda hata cha baadhi ya maboss wetu hapa... hivyo nilijitahidi nilipokuwa kule malengo yangu yaimie... ni kweli baada ya muda huo nilifanikiwa kutimiza yote.
2. Huduma nzuri za afya, Elimu, Sheria, miundombinu.
CHANGAMOTO
1. Changamoto kubwa kwa kuwa kule ni upweke (ku feel home mara kwa mara japo wakati mwingine ukizoea hutoweka)
2. Xenophobia hii ni kwa baadhi ya nchi tu, sio zote.
USHAURI WA WAPI UENDE NA NAMNA GANI UENDE
Kwa wale wahitaji wa masuala ya maisha kujijenga na kuchuma nashauri nchi hizi, USA, UK, NORDIC COUNTRIES, NA WESTERN EUROPE COUNTRIES. kwa Afrika nashauri SA.
Jinsi gani utaenda namna ni nyingi. Naorodhesha baadhi hapo chini.
1. Kwenda kimasomo ambapo unaweza tafuta sponsors then ukapata scolarship itayokuwezesha kupata visa na kujilipua huko baada ya masomo.
2. Kutafuta mwenzi wa nje ambaye atakualika huko kisha mtaoana na kukuwezesha kupata resident permit na baadae uraia.
3. Kuhamisha mataji na biashara njia hii unakubaliwa popote alimradi uwe na biashara halali.
4. kwenda kwa shughuli za utamaduni
Wenzetu wakenya na wanigeria wameunda mfumo wa kualikana wao kwa wao, kwamba mtu anakutumia barua ya mwaliko, then unakwenda ukifika huko anakutafutia mtu mnaoana kisheria tu ili upate karatasi kisha kila mtu anasika hamsini zake.
Wapendwa mambo ni mengi siwezi andika yote ndio maana nimeanziasha uzi huu tutaendelea kujuzana kwa kairi michango ya watu itakavyokuwa na maswali yatayojitokeza.
Nawakaribisha nyote. Na wote wenye maujuazi au mauzoefu ya huko mbele. Karibuni tusaidiane tujenge taifa letu. Tuwasaidie vijana wakasake fursa.
Mkuu usiwaze Sana hayo Mambo yapogo Sana ..Kama wewe unataka kuja nnje basi pambana tu kwa namna yako unavyojua wewe ..sisi wengine tulitapeliwa lakini hatukukata tamaa tulipambana Hadi Sasa tupo hapa tulipo, ivyo wewe pigania maisha yako ..huku arabuni pesa ipo Tena Kama siyo mvivu na mtu wa Bata basi utajenga nyumba hapo bongo hata tatu kwa mwaka.Ndio maana mkuu nikasema "Aliyeturoga kafa " wewe upo nje ya Tanzania una fanya kazi na maisha yako yame badilika permanent sasa unawasaidiaje wenzako ?, au unataka urafiki wa kunionesha na kunipostia magari mtandaoni, hatuwezi kufika na tukifika basi ni more than too late, ishu hii imenitokea jana kwa mwana wa class mate
Mkuu naparangana hapa mwakani nije Canada.Canada
Application fee $75
Tuition fee $12,000 per year
Visa Application fee $150
Biometric fee $85
Medical check up Tshs 400,000
Tuition deposit $1,000 Non Refundable
Ticket cost $1,800
Insuarance $1,000
Msc or Diploma
Mkuu sorry,kwa sasa uko wapiMkuu naparangana hapa mwakani nije Canada.
Kila la kheri mkuu.
Safi mkuuMkuu usiwaze Sana hayo Mambo yapogo Sana ..Kama wewe unataka kuja nnje basi pambana tu kwa namna yako unavyojua wewe ..sisi wengine tulitapeliwa lakini hatukukata tamaa tulipambana Hadi Sasa tupo hapa tulipo, ivyo wewe pigania maisha yako ..huku arabuni pesa ipo Tena Kama siyo mvivu na mtu wa Bata basi utajenga nyumba hapo bongo hata tatu kwa mwaka.
Mkuu shusha vitu hapa tupate muongozo wote.anayetaka fursa ya kwenda south korea via study visa kuanzia diploma, degree au phd anichek