Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Dah lini sijui ndg zangu
Kwa sasa ukitaka kwenda UK basi uende kama mwanafunzi.

Sasa hivi wamerudisha viza ya miaka miwili baada ya kumaliza masomo, yaani first degree.

Hiyo yaitwa graduate visa na baada ya hapo ukitaka kuendelea kuishi na kufanya kazi basi utahitaji kuomba viza ingine iitwayo Skilled Worker Visa.

Hii Skilled Worker visa ni ya miaka 5
 
Kaka nimekuelewa Kaka nimekupenda hiyo
 
This is true
 
Kijilipua kama refugee. ( unatafuta nchi inayokubalika)Ukiwasilisha maombi yako, unakuwa na one year mpaka wakujibu, hivyo mda huo unaweza tafuta mwenza
 
Jiwe moja ndege wawili mkuu naona wadau wengi walinishauri ninyooke mojakwamoja ughaibuni lakini pia njia ya kufika botswana ndo ilikuwa lengo la kuweza kufika ughaibuni kiufupi nacheza kotekote ili mradi tu njia ifunguke.
Kwahiyo mkuu ukisha fika Botswana unauhakika gani Kama pale njia unaweza kuwa simple mzee ufafanuzi kidogo kaka
 
Mkuu usiuchukie uzi mzima kwa makosa ya "wahuni wachache".

Kuna watu tumesaidiwa hapa na uzi umekua ukitoa mwangaza mwanana kwa wadau mbalimbali.

Ila pole kwa yaliyokukuta.

Umesaidiwaje kwenye siredi hii? share your story.

Hakuna lolote lilonikuta humu la kuhitaji 'pole'. Nililetaga feedback kamili ya kilichojili. Soma post #3,190.

Ni thread ambayo motive yake kuu ilikuwa ni ya kitapeli, na ilikuwa iko well organized na kagroup ka watu kadhaa humu maarufu. Tuna full evidence.

Of course wachangiaji wengine waliifanya thread kuwa informative on some issues.

Basically, ilikuwa ni siredi ya 'koneksheni' hewa za kwenda ughaibuni. Bongo nyoso!! 😎

-Kaveli-
 
"Of course wachangiaji wengine waliifanya thread kuwa informative on some issues."

Hapo ndio tuliposaidiwa wengine.
Ahsante.
 
Pole sana mkuu. Tupe story yako kama hutojali, wadau waweza saidia kumnyoosha huyo tapeli.

Cc: Mwanamaji

-Kaveli-
anaitwa Patrick Emmanuel meagie, ni mkazi wa Arusha
namba zake za simu +255758354393 na 0622596982
tulikutana ktk huu uzi alitoa wazo la kuanzisha wasup group ili tuweze kupeana fursa za kazi nje ya nchi
ilikuwa 2020 mwanzoni ktk majadiliano kupitia wasup akasema yeye ana fursa ya kazi ktk nchi ya poland inahitajika kulipia agent fees mil 2.5
nikaonana nae dar kwakuwa sikumuamini sana nilienda kwa mwanasheria tukaandikishana
2020 janga la Corona akadai mipaka imefungwa ,nikamwambia ikifika 2021 Sept sijaondoka nirudishie pesa zangu
ilipofika huo mwezi nikaanza kumdai pesa zangu alichoamua ni kuni block japo namba zake zipo hewani
nikaenda polisi kushtaki wakasema nikachukue Rb ktk mkoa niliojaza nae mkataba ambao ni dar mimi nipo mwanza.hadi sasa sijapata nafasi ya kwenda dar kuchukua Rb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…