Chillah
JF-Expert Member
- Oct 12, 2016
- 8,870
- 10,066
nakumbuka ulitaka kuwa mfano...Ulinusurika mkuu.
Huu uzi ulikuwa wa matapeli tupu! na yanateteana sana.
-Kaveli-
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nakumbuka ulitaka kuwa mfano...Ulinusurika mkuu.
Huu uzi ulikuwa wa matapeli tupu! na yanateteana sana.
-Kaveli-
ukifanakiwa kwenda kwenda canada, utakuwa mwenyeji wangu.. mimi nitaenda huko kimasomo nikipata chanceNataka kwenda Canada kimatembezi ila nikifika huko nataka kujilipua.
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kujilipua Canada naomba muongo tafadhali!
Safi saana mkuuWazamiaji waliofanikiwa kufanya IELTS General Training waje watupe mbinu.
Niko nafuatilia ila wanasema Listening na Speaking ndio utata kwa wabongo ila Writing na Reading sio tabu sana.
Mm nimeanza kuprocess ECA ( Educational Credential Assessment) report kupitia WES (World Education Service) na nimepata Reference Number. Kwa wale ambao hamjaanza ni kwamba mm nataka vyeti vyangu nilivyopata hapa TZ vitambulike na pia niweze kuvitumia kupata kazi hivyo nimemtumia WES anifanyie assesment na alinganishe na elimu ya CANADA hapa anacharge $240 kisha atanitumia lakini pia atatuma kwenye Ofisi za Uhamiaji CANADA
Baada ya hapo wanahitaji Language Test na nimechagua International English Language Testing System (IELTS) ambayo iko chini ya British Council na malipo ya mtihani ni TZS 689,000 na form ya maombi inapatikana kupitia www.britishcouncil.or.tz
Kwa mliotumia ya Express Entry CANADA mtujuze
Ila nilichobaini inabidi jitihada binafsi za kusoma na kujifunza kupitia watu mbali mbali youtubeView attachment 2339776
Mbona mi nilipataga passport ndogo (ya dharura) kwa urahisi, ambayo iliniruhusu kuingia nchi yoyote ya Africa masharikiMkuu ni kweli. Uhamiaji hawatoi passport bila reason. Nafikiri tungebadili huu utaratibu tuwe kama wenzetu ambao passport kwao ni haki ya msingi na unaweza miliki tu.
Vipi maandalizi ya kwenda Russia?Urusi wamefungua mipaka yake kwa watanzania kuingia nchini humo bila VISA tuchangamkie fursa vijana.
Binafsi naandaa zangu 7M ya kuingia Urusi mwezi Octoba.
mimi pia kwa anaefahamu njia rahis atusaidie plzzNataka kwenda Canada kimatembezi ila nikifika huko nataka kujilipua.
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kujilipua Canada naomba muongo tafadhali!
Mimi nimehangaika mpaka mwisho.no luck.ukipata mchongo nikumbukeNataka kwenda Canada kimatembezi ila nikifika huko nataka kujilipua.
Kama kuna mtu anajua jinsi ya kujilipua Canada naomba muongo tafadhali!
Kuna nn mkuu?Norway
Hii siredi bado ipogo?
Humu kumejaa 'Connections' za kibabaishaji na ukanjanja tupu!
Buyer Be Aware!!!
-Kaveli-
Mkuu naelewa harakati zakoEewe jamaa kingereza unakijua hiyo ni silaha tosha, ingia hapo British council chukua ielts mambo yaende mswano
Hongera mkuuHabari wana jamvi huu uzi umenisaidia sana na kunipa hamasa ya kutafuta maisha nje ya nchi.Kiufupi nimeanza mchakato rasmi wa kwenda Canada
Tutapeana mrejesho mambo yakienda sawa.Ee Mungu nisaidie
Changamoto zipi ulizokutana nazo ,zikakukwamisha..?Mimi nimehangaika mpaka mwisho.no luck.ukipata mchongo nikumbuke
Unafuatilia visa ya aina gani..?Habari wana jamvi huu uzi umenisaidia sana na kunipa hamasa ya kutafuta maisha nje ya nchi.Kiufupi nimeanza mchakato rasmi wa kwenda Canada
Tutapeana mrejesho mambo yakienda sawa.Ee Mungu nisaidie