Dr.adams faida
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 1,888
- 3,352
Mkuu kama nakuona vile unavyopakata kiuno cha mswedish 😛😛😛😛Ni kweli mkuu wakati naingia Sweden niliingia kwa lengo la kusoma via scholarship ya shirika fulani lengo lilikuwa Ni after three years nitarudi Bongo kuendelea na mambo mengine according to their principles kumbuka by then nilikuwa nimefukuzwa Chuo na sikuwa na hili wala lile but uncle wangu alinichomeka katika hiyo chance wakati naendelea na masomo nilimpata rafiki wa kike Swedish ambaye tulijaliwa kupata mtoto then ikawa nimepewa uraia wa Sweden ila uraia wa Bongo sijaukana bado but nilichofurahi Ni kwamba Sweden Kuna watanzania wengi Sana I'm feeling like I am in Tabata.
Duuh..niliona juzi wamexico wanarudishwa..asije akakutwa na huo mkumboMshkaji mwingine hadi naandika haya yupo Nogales, Mexico akisubiri mvushaji ama maarufu kwa jina la COYOTE amvushe boda kumwingiza USA
Kwa kifupi alipanda ndege from Dar to Adis then from Adis to Rio de Janeiro. From Rio alienda Mexico City na sasa yupo Nogales mji ambao upo kwenye border ya Mexico na US
Mkuu acha tu mi siku system ikichange naweza Rudi uzuri huku kuna wabongo wengi mpaka wana timu ya mpira wa miguu akina Athuman Machupa na Shekhan Rashid na wenzao nadhani Kama Wangekuwa members humu wangeleta mautundu walivyofanya mpaka kufikia pale walipo . Sweden is the best place.Mkuu kama nakuona vile unavyopakata kuona cha mswedish 😛😛😛😛
Mkuu mbona hujaitumia mali hiyo.... Maana ukiwa na passport South Africa unakwenda kama tandika tuuu... Ni nauli yako
Ok Mkuu mimi nimetoa angalizo kwa kile ninachokijua kwa hakika, kwa ajili ya wengine ambao wanapenda kwenda Ulaya kama mada uliyoiweka. Najua kuwa raia wa Denmark wanaijua hiyo sheria inayowataka wao wajihadhari na ndoa za kiujanja ujanja ambazo zinalenga kufanikisha zoezi la uhamaji usiofuata sheria nchini kwao. Sasa wewe kama hutaki na labda wewe unajua mengi zaidi basi hakuna ugomvi kati yetu,Maisha yaendelee tu bila kufanya suala dogo kama hili kuwa mashindano ya nani zaidi.Niwasiliane na ubalozi wakati naenda huko kama kariakoo? Ndugu ongea kwa experience usilete nadharia.... Hayo uloyasema hayapo.
Mkuu acha tu mi siku system ikichange naweza Rudi uzuri huku kuna wabongo wengi mpaka wana timu ya mpira wa miguu akina Athuman Machupa na Shekhan Rashid na wenzao nadhani Kama Wangekuwa members humu wangeleta mautundu walivyofanya mpaka kufikia pale walipo . Sweden is the best place.
Tena kina machupa wangeweza kutusaidia kupata barua nasi tuje tuweke nanga huko mkuu.Mkuu acha tu mi siku system ikichange naweza Rudi uzuri huku kuna wabongo wengi mpaka wana timu ya mpira wa miguu akina Athuman Machupa na Shekhan Rashid na wenzao nadhani Kama Wangekuwa members humu wangeleta mautundu walivyofanya mpaka kufikia pale walipo . Sweden is the best place.
Ok Mkuu mimi nimetoa angalizo kwa kile ninachokijua kwa hakika, kwa ajili ya wengine ambao wanapenda kwenda Ulaya kama mada uliyoiweka. Najua kuwa raia wa Denmark wanaijua hiyo sheria inayowataka wao wajihadhari na ndoa za kiujanja ujanja ambazo zinalenga kufanikisha zoezi la uhamaji usiofuata sheria nchini kwao. Sasa wewe kama hutaki na labda wewe unajua mengi zaidi basi hakuna ugomvi kati yetu,Maisha yaendelee tu bila kufanya suala dogo kama hili kuwa mashindano ya nani zaidi.Niwasiliane na ubalozi wakati naenda huko kama kariakoo? Ndugu ongea kwa experience usilete nadharia.... Hayo uloyasema hayapo.
Mkuu kwani ujui ? Political system.System gani ikichange mkuu?
Kazi mbaya,ukiwa nayoAfrica nipazuri mimi nimeoa sweden sina ata mwaka ila napenda kuishi tz natuinue nchi yetu kule nikama utumwani mkuu
Tanzania yetu ndio inakimbiwa hivyo! Kweli watu wamechoka
Afu ujerumani kusoma ni bure kabisa.Wakuu njia nyingine hii hapo juu kupitia shule,
Jaribuni ku google huenda ukapata inayokufaa,
Nitajaribu kuitafuta nyingine niwawekee.