Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Sio kwamba jamaa atakuwa ameumia huko sio Kamanda TRUMP anajenga Ukuta kuwatenga wa MEXICO
 
Sio kwamba jamaa atakuwa ameumia huko sio Kamanda TRUMP anajenga Ukuta kuwatenga wa MEXICO

Imeshathibitishwa kuwa ukuta haiTawezekana kujengwa every inch or feet along the border from Brownsville TX to San Diego CA
Hata Trump mwenyewe analijua hilo na kuvuka watu wataendelea kuvuka tu
 
Rais John Magufuli akiwa ktk ziara Mtwara amesema ni sawa tu kwa Serikali ya Msumbiji kwa kuwafukuza wahamiaji haramu.

Na amewataka watanzania warudi tu nyumbani kuna kila kitu ili tujenge nchi yetu.

Na ulivyokwenda ndivyo utakavyorudi kwasababu Serikali haikukupeleka Msumbiji na hata usafiri wanaopewa hauna sababu kwa sasa.

Amemshanga mtanzania kutoka Shinyanga kwenye dhahabu kwenda kuchimba madini Msumbiji.

Msumbiji ni marafiki wa Tanzania na wahamiaji haramu wasisababishe kuharibu mahusiano kati ya Tanzania na Msumbiji.

Source: TBC
 
Kwamba unatuaminisha kila ana enda nje ana mkimbia huyu JPM wako..serious!?

Huoni kwamba wapo wenye shauku ya kwenda kimasomo? Pia wapo wanataka kufanya exproration tu!?
 
Mkuu inategemea unataka kwenda inchi gani kujilipua...zipo inchi zipo ulaya lakini utatamani ubaki Africa..sasa wewe nidokeze unataka uende inchi gani?
Tatizo watz tuna wivu wakenya na wanaijeria huwa wanavutana
 
Kwamba unatuaminisha kila ana enda nje ana mkimbia huyu JPM wako..serious!?

Huoni kwamba wapo wenye shauku ya kwenda kimasomo? Pia wapo wanataka kufanya exproration tu!?
Nimesoma michango yote thread hii,watu wanataka kutumia masomo kama gear tu ya kujilipua.
 
Tatizo watz tuna wivu wakenya na wanaijeria huwa wanavutana
Ukienda Nairaland kuna mpaka threads zinazoelezea jinsi ya kupata Visa za UK, US, CANADA,Australia n.k na mambo mengi wanawekana wazi mpaka scholarship ambazo ni easily accessible.

Huu umimi na kuendekeza kujuana juana sana ni moja wapo ya sababu kwanini tuko nyuma kwenye mambo mengi.
 
Aisee, jamaa alikuwa fighter sana. Ila kwa sasa hali ya usalama ni mbaya especially middle east. Unless u-force kuvuka Mediterranean kama jamaa wa Libya na syria wanavyofanya. Ukiumbwa mwanaume ni kupambana...
 
Najua France n maisha magumu ila me naenda kutembea2 asante kwa ushauri ubarikiwe
 
Ukiwa tayari niambie.... Nitakupa namba ya kijana atamaliza yote ndani ya siku 2. Hiyo gharama haitofika.
Mkuu Lufungo,naomba unielimishe kwa uelewa wako ni nchi zipi za Afrika walau mbongo anaweza kuzamia akapata chochote kitu,?
 
Napata jaziba sana naposikia maneno kama haya kutoka kwa Rais wa nchi...badala ya kuwatetea watu wake yeye ndo anawachuuza...! Sasa huyu Rais wa kazi gani sasa? anakera sana ...
 
Aisee, jamaa alikuwa fighter sana. Ila kwa sasa hali ya usalama ni mbaya especially middle east. Unless u-force kuvuka Mediterranean kama jamaa wa Libya na syria wanavyofanya. Ukiumbwa mwanaume ni kupambana...
Mkuu nimeipenda sana hiyo verse yako ya mwisho "Ukiumbwa Mwanaume ni kupambana"kula tano.
 
Ufanikiwe ndugu, maisha ya bongo unanyonga tai kali mwisho wa mwezi unaondoka na hela ambayo haitoshi hata robo ya mahitaji.
Mkuu naomba unisaidie Mimi nataka nikafanye kazi flani hivi kenya next week so kama kuna uwezekano wa hata wa letter itakuwa flesh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…