dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,958
- 9,516
Sio kwamba jamaa atakuwa ameumia huko sio Kamanda TRUMP anajenga Ukuta kuwatenga wa MEXICOMshkaji mwingine hadi naandika haya yupo Nogales, Mexico akisubiri mvushaji ama maarufu kwa jina la COYOTE amvushe boda kumwingiza USA
Kwa kifupi alipanda ndege from Dar to Adis then from Adis to Rio de Janeiro. From Rio alienda Mexico City na sasa yupo Nogales mji ambao upo kwenye border ya Mexico na US akisubiri kuwa-smuggled into US
Anasema hapo transit Nogales kuna mafuriko ya watu toka Latin America, west Africans na Asians wakisubiri kuvuka boda kuingia US
Mungu ambariki atimize ndoto yake