Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Huko unakokwenda pia kuna matumizi, tena kama ni hizi kazi za unskilled labour utajikuta wewe ni mtu wa hand to mouth. Kinachoumiza sana ni kodi ya nyumba, watu wengi inabidi wafanye kazi mbili ili kupata pesa ya ziada.
Yeah mkuu kuna matumizi but huwezi linganisha na bongo... Kikubwa kujipanga na kujua nini unafanya... Mfano kazi nyingi za kijungujiko kule US zinaweza kukufanya u save mpaka $2000 after bills.... Na hii ni kwa miaka hii... Nakumbuka nyakati zile ulikua na uwezo wa kusave zaidi coz kulikua na favor nyingi tofauti na sasa!

Ila kwa wataobahatika kwenda Scandinavian countries kule maisha ndiyo simple sana na kutoboa ni rahisi zaidi shauri ya ubure ktk huduma nyingi tu....
 
Kuna wakuu Copenhagen na Tokyo 40 wanaweza kuja kusaidia hapa, kwa wale watakao kwenda Denmark na Japan kutafuta maisha.

Marekani na Uingereza kwa sasa ni vigumu mno labda kama wewe ni mtaalam yaani "expert".

Zipo nchi nyingine kama Australia na Canada ambako bado wanatafuta watu wenye utaalam khasa kwenye maeneo ya afya na teknolojia.

Ila tusidanganyane kuzamia Ulaya na kwenda kujilipua inategemea na nchi unayotokea, ukiwa mweusi tii wawezatumia Sudan kama "reference" lakini maji ya kunde basi ujue itakula kwako.

Nchi zingine kama Eritrea wao wana bahati kutokana na hitoria ya nchi yao kuwa na rekodi mbovu ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
 
Nmepata mchongo wa kwenda japan na mwenyeji wangu kaniambia fursa za kazi kibao na nkifika natafutiwa mwanamke tunafunga ndoa napata kikaratas maisha mengine yataendela. Kwa mwenye uzoefu na inchi hiyo ningependa kujua mengi
Pole sana mkuu ni katika kupambana, unakwenda kuishi na mtu ambae hamfahamiani lakini yote maisha.
 
Nmepata mchongo wa kwenda japan na mwenyeji wangu kaniambia fursa za kazi kibao na nkifika natafutiwa mwanamke tunafunga ndoa napata kikaratas maisha mengine yataendela. Kwa mwenye uzoefu na inchi hiyo ningependa kujua mengi
Japan kuzuri mkuu kwa mujibu wa waliotueleza.... Njia ya kuoa ni rahisi zaidi kwani hukupa karatasi mapema... Wengi huoana tu ili wapate kibali.
 
Cha muhimu uingie ndani, ukifika huko hao wenyeji wako watakupa mchongo wa kuendelea.
Yeah hicho ndo cha umuhimu... Niliona wakenya huko Sweden wanauza ndoa... Yaani milion tano ya bongo ukimlipa anakubali kufunga ndoa ya kimkakati nawewe then baada ya hapo unapita hivi.... Wengi sana wanaingia huko kwa njia hii na visa za nordic ni rahisi mno kupata.
 
Kuna wakuu Copenhagen na Tokyo 40 wanaweza kuja kusaidia hapa, kwa wale watakao kwenda Denmark na Japan kutafuta maisha.

Marekani na Uingereza kwa sasa ni vigumu mno labda kama wewe ni mtaalam yaani "expert".

Zipo nchi nyingine kama Australia na Canada ambako bado wanatafuta watu wenye utaalam khasa kwenye maeneo ya afya na teknolojia.

Ila tusidanganyane kuzamia Ulaya na kwenda kujilipua inategemea na nchi unayotokea, ukiwa mweusi tii wawezatumia Sudan kama "reference" lakini maji ya kunde basi ujue itakula kwako.

Nchi zingine kama Eritrea wao wana bahati kutokana na hitoria ya nchi yao kuwa na rekodi mbovu ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
Mkuu Richard asante kwa kuja...

Ni kweli UK na USA ni kugumu ila ni kwa baadhi ya maeneo...

Lakini nchi nzuri zaidi ni za Nordic pamoja na Germany... Ujerumani tangu ianze kupokea wakimbizi raia wake wamebadilika sana juu ya ubaguzi.... Siku hizi wako poa tofauti na zamani...

Ila nashauri zaidi watu waende Nordic

Karibu mkuu kwa mawazo
 
Mie nina ndoto ya kwenda UK kimasomo, then najilipua to Scandinavia country.

Bongo mufilis. Bongo nyoso.

-Kaveli-
Ni heri ukaenda kabisa huko scandinavia... Kule hata fursa ya kusoma ni bure kama una kibali cha ukaazi... Sweden na Denmark unasoma na kulipwa juu.... Ni nchi zina raha sana kuliko US na UK!!
 
Mkuu Richard asante kwa kuja...

Ni kweli UK na USA ni kugumu ila ni kwa baadhi ya maeneo...

Lakini nchi nzuri zaidi ni za Nordic pamoja na Germany... Ujerumani tangu ianze kupokea wakimbizi raia wake wamebadilika sana juu ya ubaguzi.... Siku hizi wako poa tofauti na zamani...

Ila nashauri zaidi watu waende Nordic

Karibu mkuu kwa mawazo

Ni kweli Nordic kwa sasa ndiyo kuzuri.

lakini kwa angalizo ni kwamba inabidi huyo mchumba alieko kwenye nchi za Nordic awe amezoeana sana na mke/ mume mtarajiwa na huwa kwenye "initial stage" wanataka kuona mahusiano ya kweli.

Wanaweza kutaka kuona mkiwa mmetembelana kwa mfano mmoja kaenda Tanzania na mwingine Sweden lakini isiwe ni "one way ticket" hiyo inahesabiwa kuwa siyo "genuine relationship".
 
Mkuu kwa njia ya Bus sijui.... Ila kwa ndege wanahitaji return ticket, hotel booking na kiasi cha fedha kitachokuwezesha kuishi kule.
Alaf passport. Nilipoona masuala ya cheti cha kuzaliwa cha mzazi.hapo ndo nilichoka.sasa tunafanyaje kuipata.ya 50,000.ila naomba usiwe kama britanicca tu. 😀 😀 😀 😀 😀 😀
 
Mimi nipo Stockholm kwa zaidi ya half decade ntaeleza badae Ni kwa njia gani waweza tumia but briefly Kuna timu ya mpira huku inaitwa Kilimanjaro ipo under Athuman Machupa Na Shekhan Rashid and co wanaweza kusaidia pia kuwaleta wabongo huku. lusungo
 
Back
Top Bottom