Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Sweden hela yao sio ngumu.... Then kule unaweza lipwa hata usipofanya kazi.... Mradi uwe legal migrant... Mfano ukiwa unasoma unalipwa n.k
Kwenye lugha ni kweli kugumu... Na lugha yao ni ufunguo wa mambo mengi sana ikiwemo kazi... Ukijua lugha kazi unapata kirahisi mno...
Wenzetu hutumia lugha kama kigezo cha kujua mapenzi yako halisi kwa nchi yao......
Nimependezwa sana na mfumo wa nchi hiyo yaani kila nyumba khasa flats kuwa na majina ya wanaoishi humo na kama Mke/Mume amepewa karatasi basi jina linaongezwa kwenye kale kaboksi ka barua.
😀😀