Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu hebu niambie process zake na mimi nijaribu hiyo nafasi.
 
Mzee huko hakuna kazi kabisa,labda kama unataka kuuza drugs.

Sijawahi kufika Italy na nilidhani ni kiwanja poa kazi na fursa Za kumwaga
Umenitisha sana mkuu kuwa huko ni drugs mbele kwa mbele
 
Mkuu inasikitisha na kukasirisha unampo msaidia mtu halafu akakulipa ubaya.. Nisaidie hizo mbinu mkuu za kufika huko..
 
Si kweli nchi zote zina ubalozi bongo isipokua visa handling ndo hufanywa na ubalozi mmoja... Ila Sweden... Norway.. Denmark wote wana ubalozi mkuu...

Ok ndio maana yangu kuwa visa handling inafanya na ubolozi mmoja,na ndio maana ukuinvite mtu huku Europe wanapa shengen visa.
 
dah, ngoja nikusanye air fare niibuke malta, hivi kinywaji cha malta asili yake ni malta mkuu?
 
Lithuania uchumi wao ni mbaya saana,hata wao wanapambana kukimbilia nchi nyingine,chuo utapata lkn kazi hazipo,nisawa na Spain choka mbaya huko .au Italy,romania bora ya Tanzania

Ni njia mkuu, kabla hujafika Botswana unapitia Zambia kwanza.
 
Njia rahisi ni kupitia Nairobi Kenya coz Dar hawana embacy Ila visa yao ni very easy kuipata.
Nipo tayali nitoke inje ya Africa maana nimeenda Inchi zote za east Africa na Central Africa na baadhi katika inchi za kusini mwa Africa sioni jipya,
 
Dah mkuu embu nielekeze hayo maujanja yako ili kesho morning tu nitie maguu migration coz nasafari ya kenya halafu migration wanizingua tu.
Kama ni kenya si wakupe ndogo ile karatasi na picha juu. Ila ndo hivyo kaka tafuta namna ujianfikie hiyo invitation letter mwenyewe, ingia net sample kibao,
 
Aisee hakuna kitu kinasumbua Kama reference letter hapa kwetu. Yaani lecturers hawana muda kabisa wa kukuandikia barua. Akikuonea huruma sana anakwambia umpelekee draft then yeye arekebishe na kusaini
Mm niliamua kuchonga muhuri pale congo street sipati tena shida, zipo permanent nikurekebisha title tu
 


Kwenye nyekundu hapo, ushapata admission tayari sasa wizarani ulifuata nini mkuu? Fafanua kidogo hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…