Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Sana sana mkuu hata mimi nimekua interested na Malta.

Ningependa kujua the total cost kama tayari nishapata visa.Je natakiwa nikate go and return ticket au. ?

Pili ningependa kujua nitawezaje kuishi kwa mwaka mmoja wakati watu wa kazi za kujitolea offer zao ni miezi mitatu hadi minne maximum.

Tatu wakuu ningeomba kwa yeyote anayefahamu agents wanaoweza Ku deal na masuala ya visa mtuwekee hapa ili tupeane deal wengine ni wageni ktk hili.

Hongera sana bro Izzo kwa msaada wako since day one.

God help me reach Malta.
 
hakika nimekunja miguu mkekani nasubiri taaifa mujarabu
ila nimepitia fly emirates naona wako fair kwenye nauli compared na British Airways
https://fly4.emirates.com/CAB/IBE/S...gi53jR_O3Wtfw8pyaqu_QRoCD4vw_wcB&gclsrc=aw.ds
 
Reactions: Qj_
Agent 2k$, Ticket 1k$ na pocket money 1k$
Shukrani mkuu.

Ningependa kujua hii $4000 ina aply kwa nchi zote za jumuia ya Ulaya ama nchi moja tu.

Interest yangu ni Malta na kama una contact za agents atakayeweza kuprocess visa naomba utuwekee mkuu.

Nawasilisha.
 
Swala kujitolea ni muda wowote kinachotakiwa yule anaejitolea kwake ndio mdhamini wako kitu wasichotaka wazungu ni ww kuishi sehemu bila ya kuwa na vibari ambapo ni rahisi sana ww kufanya vitu vya ajabu
 
Shukrani mkuu.

Ningependa kujua hii $4000 ina aply kwa nchi zote za jumuia ya Ulaya ama nchi moja tu.

Interest yangu ni Malta na kama una contact za agents atakayeweza kuprocess visa naomba utuwekee mkuu.

Nawasilisha.
Naomba niwasiliane nae takujuza vizuri mkuu.
 
Hii itasaidia kwa wale ambao wanahangaikia pass, hata kama huna nia ya kwenda kusoma, unaweza kutumia hiyo admission letter kwenda kuombea passport pale kurasini
Mkuu admission letter hawawez kukutumia had ulipe application fees na unawez kuta app fees ni $100 umeliona hilo ?
 
Dah! kwahiyo kila scholarship lazma baraza waipitie
 
Hawa Diaspora wana msaada gani kwa wenzao wa makwao? Nasikia wengine ni roho mbaya mpaka wanakata mawasiliano yote simu mpaka sosho netweks
 
Shukrani kk pls usisite kutupa more info esp abt Malta.
 

Mkuu,

Hili ni zali la mentali!

Kaka ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…