kirikou1
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 4,815
- 6,517
pitia hapa twende malta mkuuBro, sasa njia za kupata nafasi ya kuvolunteer?
Workaway.info the site for cultural exchange. Gap year volunteer for food and accommodation whilst travelling abroad.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pitia hapa twende malta mkuuBro, sasa njia za kupata nafasi ya kuvolunteer?
Ngoja nipitie mkuu, tujipange mwaka huu tumalizie Malta
Sana sana mkuu hata mimi nimekua interested na Malta.Ndugu zangu jana nilitoa list ya balozi ambazo unaweza kuomba visa ya Malta kwani nchi ya Malta ina balozi chache sana kwa nchi za Africa balozi zipo Africa ya kaskazini so wanachofanya kuna balozi ambazo unaweza kuomba visa ya Malta kwa Tanzania ni balozi ya Italy ndio unaweza pata visa ya Malta njia ya kwenda Malta ni tatu kusoma,kutalii,kutembea hii inahusisha kufanya kazi kwa kujitolea ambapo yule unayefikia kwake anakutumia barua ya mwaliko
Kama unakwenda kwa ajili ya kufanya kazi ya kujitolea mara nying ni kazi za mikono ambazo unatakiwa kuwa unazijua ni
1 ufundi wa mbao au saidia fundi
2 kuchunga na kuangalia wanyama {mifugo}
3 kupika hii ni kwa wanawake
4 kutunza watoto hii ni kwa wanawake
5 kutunza bustani hii ni kwa wote
Napendekeza kama kazi ya kujitolea ukafanye kijijini au kwenye miji midogo faida yake ni
1Kwanza utajua Lugha zaid ya moja yani lugha ya wenyeji
2 unakuwa unaply low profile{kwani watu ni wachache na wengi ni wazee ambao mala nying hawana mpango na mtu}
3 Ni vyepesi kupata mdhamini wa kukuombea uraia endapo utakaa mwaka mmoja
4 Wengi kule ni wazee so mzee siku zote wanaaminika sana kwa serikali na taasisi zake so kama akikuombea uraia process zako zitakuwa fupi tofauti na akikuombea kijana
Vijiji na miji ya Valletta,Mdina, Zabbar,Cospciua na st paul"s bay
Wale wakina John kisomo kule scholarship nyingi ni kwa level ya masters na PhD ambazo nying ni za serikali BT ninazo scholarship za Sweden,Canada,Denmark , Australia ,Austria ,Germany , Finland, NZ lakini nying ni Masters na PhD lakini mission yetu ni Malta so tunajikita kwenye Malta
Note ; ni uhakika kama ukifanikiwa kukaa ndani ya MALTA mwaka mmoja kupata uraia ni vyepesi na ukifata process zote utafanikiwa lakini pia Mungu ni wa kumuomba kwa kila jambo pia
Kama utafanikiwa nchi za kwenda kwa ulaya ni za Scandinavian country na Ujerumani,Canada, USA kwa sasa hakuna free visa kwa nchi za ulaya mpaka pale watakavyobalisha Luxembourg nchi ambazo usiende kwani ni kimeo ni Italy,Spain, Ufaransa kwani kazi hakuna na maisha ni magumu UK wamejitoa EU so sidhani kama kuna free visa
kuhusu jeshi nilishazungumzia labda kama kuna swali naweza ulizwa
Kumbuka jeshi la wenzetu mafunzo si magumu sana kama huku kwetu najua wengi wanaweza ogopa kutokana na mafuzo huku ni kukomoana kule ni kufundishana majeshi ya wenzetu wamewekeza kwenye technology si katika nguvu za mwili mambo ya kuvunja matofali au kuvuta gari kwa meno hakuna labda uwe kwenye vikosi maalumu kama special force na commando wenzetu siku hizi ni kubonyeza botton tu vinatoka vitu mpaka sijui mkutane mpigane mieleka siku hz hakuna room hiyo siku hiz zinatumwa spy UAV{Unmanned aerial vehicle} inapiga picha jion pilot mmoja au wawili wanachukua chombo aidha fighter jet au bomber ambazo hazionekani kwenye rada na kwenda kudrop madude then baada ya masa 6 au 10 wamerudi huku uko walipo kwenda wakiacha vilio tu na kazi ya ambulance kwa ajili ya kubeba majeruhi au maiti na fire kwa ajili ya kuzima moto
Pia kwa wenzetu jeshi ndipo vitu bora vinapatikana kuanzia elimu bora na huduma bora za afya kwani viongozi wote wa serikali wakiumwa utaskia wamepelekwa kwenye hospital za kijeshi wanasema kitu chochote bora duniani kinapatikana jeshini kwa wale wanaotaka kuomba kazi moja kwa moja unaweza pita hapa www.maltajobport.com
mwenye swali aulize bt no pm kwani sito jibu msg ya mtu yeyote
kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
https://www.google.com/url?sa=t&rct...sg=AFQjCNH9Pvbb83aZc4r_XxpdH36SWqh9aA&cad=rja
Link nyingine hii hapa kwa wanaosaka nafasi Malta Maltapark.com - Jobs in Malta
hakika nimekunja miguu mkekani nasubiri taaifa mujarabuSana sana mkuu hata mimi nimekua interested na Malta.
Ningependa kujua the total cost kama tayari nishapata visa.Je natakiwa nikate go and return ticket au. ?
Pili ningependa kujua nitawezaje kuishi kwa mwaka mmoja wakati watu wa kazi za kujitolea offer zao ni miezi mitatu hadi minne maximum.
Tatu wakuu ningeomba kwa yeyote anayefahamu agents wanaoweza Ku deal na masuala ya visa mtuwekee hapa ili tupeane deal wengine ni wageni ktk hili.
Hongera sana bro Izzo kwa msaada wako since day one.
God help me reach Malta.
hahaha, karibu mkuuNgoja nipitie mkuu, tujipange mwaka huu tumalizie Malta
Shukrani mkuu.Agent 2k$, Ticket 1k$ na pocket money 1k$
Swala kujitolea ni muda wowote kinachotakiwa yule anaejitolea kwake ndio mdhamini wako kitu wasichotaka wazungu ni ww kuishi sehemu bila ya kuwa na vibari ambapo ni rahisi sana ww kufanya vitu vya ajabuSana sana mkuu hata mimi nimekua interested na Malta.
Ningependa kujua the total cost kama tayari nishapata visa.Je natakiwa nikate go and return ticket au. ?
Pili ningependa kujua nitawezaje kuishi kwa mwaka mmoja wakati watu wa kazi za kujitolea offer zao ni miezi mitatu hadi minne maximum.
Tatu wakuu ningeomba kwa yeyote anayefahamu agents wanaoweza Ku deal na masuala ya visa mtuwekee hapa ili tupeane deal wengine ni wageni ktk hili.
Hongera sana bro Izzo kwa msaada wako since day one.
God help me reach Malta.
Naomba niwasiliane nae takujuza vizuri mkuu.Shukrani mkuu.
Ningependa kujua hii $4000 ina aply kwa nchi zote za jumuia ya Ulaya ama nchi moja tu.
Interest yangu ni Malta na kama una contact za agents atakayeweza kuprocess visa naomba utuwekee mkuu.
Nawasilisha.
Mkuu admission letter hawawez kukutumia had ulipe application fees na unawez kuta app fees ni $100 umeliona hilo ?Hii itasaidia kwa wale ambao wanahangaikia pass, hata kama huna nia ya kwenda kusoma, unaweza kutumia hiyo admission letter kwenda kuombea passport pale kurasini
Dah! kwahiyo kila scholarship lazma baraza waipitieWizara ni agent wa scholarahip za nchi nyingi na baadhi ya mashirika. Ukimaliza kufanya online application wanakutaka uprint form zako na baadhi ya docs uzipeleke wizarani. Pale wanafanya nomination. Jamaa wakimaliza mchujo wao huko wanakujulisha kuwa umepita awamu hiyo au umekwama. Kama umepita wanakutaarifu hatua inayofuata. Mara nyingi watu wanakwama hapo hatua ya nomination kutoka waizara yetu pendwa inayolea vilaza
Poa nakaribisha maswali yote si ya Malta tu nchi zote kasoro Africa na Middle East lakini kwa Israel unaweza uliza tu coz naijua vizuri sana nchi hiiShukrani kk pls usisite kutupa more info esp abt Malta.
Kuna shost mjini hapa alifanikiwa kupata kitu kama $4,000, alaiamua kwenda Namibia kudanga, amefika kule kwenye holiday resort asikutane na engineer wa ki-Namibia. Jamaa amefika mazima kutangaza ndoa sasa hivi ametulia Namibia. Hata wa dada wa mjini ni kheri walikujue hili, ku danga si bongo tu, wengine wananyoosha masafa.