Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Poa nakaribisha maswali yote si ya Malta tu nchi zote kasoro Africa na Middle East lakini kwa Israel unaweza uliza tu coz naijua vizuri sana nchi hii
Agent mkuu tunawapata vipi, maana issue ni kwenda process zinahitaji mtu anayejua vizuri issue hizo
 
Agent mkuu tunawapata vipi, maana issue ni kwenda process zinahitaji mtu anayejua vizuri issue hizo
Unajua mkuu watu hatutaki kujihushisha sana na haya mambo kwa undani sana japo tunajua vizuri hatutaki kuja kuambiwa tunataka kuwatapeli ndio maana nimekataa maswala ya PM au mawasaliano sana so nitakacho wasaidia Google maajenti then weka hapo jukwaani mm nitakwambia huyu ni wakweli au huyu famba coz ninawajua wa ukweli na uongo pia wengine tuna heshima zetu kwani ni ngumu kujua mwenye nia nzuri au mbaya mwenye kuhitaji msaada au ambae anataka kuzingua tu
 
Kweli mkuu, ila kusaidiana bila kujali hisia za watu ni vyema. Huwezi jua hisia za kila mtu kwa maana tupo tofauti sana mkuu
 
Reactions: Qj_
Kweli mkuu, ila kusaidiana bila kujali hisia za watu ni vyema. Huwezi jua hisia za kila mtu kwa maana tupo tofauti sana mkuu
Agent ni kama nilivyosema wanaweb zao ukimpata weka detals zake hapa mm nitakwambia kama ni waukweli au ni wanaigeria ilo kwangu linawezekana pia kwani ww unataka kwenda nchi gani na kama umesoma nikusaidie upate Scholarship full bt as i told you no PM wala kujuana niambie wapi nikutumie link uendelee mwenyewe from there
 
Vizuri sana mkuu izzo.
 
Nimesoma ila mimi nataka enda kuwa asylum seeker
 
Wadau mimi nipo Uganda, kuna jamaa yangu alienda Turkey 2013. Nimeongea nae kanipa no za Agent aliyempeleka. Nimeongea na Agent anadai Malta ni 8m Ugandan money. Visa na nauli kwa asylum seekers. Mwezi mmoja issue ni uaminifu km mjuavyo
 
Weka mawasiliano yake hapa then nitakwambia kama anaweza au lah bt kama unamwamini na umeridhika Good luck ukifika Malta toa mrejesho tukuelekeze vizuri na kama unataka jeshi nitakuelekeza umfate nani bt mpaka utape uraia wa Malta kwnza
 
Nimeweka nawasiliano yake ongea nae km mtu unayetaka mleta mtu toka Uganda. Kifupi alimsaidia jamaa yangu sometime back
 
Mkuu mimi naomba uniwekee link za Scholarship nchi za Scandinavia ama Ocenia. Nitashukuru sana.
 
Omba chuo kimoja kinaitwa University of Reading, walinitumia admission letter(UK hawana application fee) na ndo niliitumia kufanya maombi ya Pass.
Sawa mkuu , nitawachek ingawa pass mm ninayo ila nijuavyo ni kwamba ukipata admission letter unaweza kuombea student visa ya sehemu husiku let me do it nitakupa mrejesho
 
Mkuu nataka niende european union, nna bachelor ya public health, nataka nikafanye master nchi yoyote nizamie, ajira zimekua na zengwe kubwa, nipo kwenye hatua za mwisho kupata pasi ya kusafiria
 
Mkuu nataka niende european union, nna bachelor ya public health, nataka nikafanye master nchi yoyote nizamie, ajira zimekua na zengwe kubwa, nipo kwenye hatua za mwisho kupata pasi ya kusafiria
kumbe public health ina degree!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…