Ndata
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 226
- 329
Swala ni kupata schengen visa, ndio kitu unachopatiwa mkuuShukrani kk pls usisite kutupa more info esp abt Malta.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swala ni kupata schengen visa, ndio kitu unachopatiwa mkuuShukrani kk pls usisite kutupa more info esp abt Malta.
Agent mkuu tunawapata vipi, maana issue ni kwenda process zinahitaji mtu anayejua vizuri issue hizoPoa nakaribisha maswali yote si ya Malta tu nchi zote kasoro Africa na Middle East lakini kwa Israel unaweza uliza tu coz naijua vizuri sana nchi hii
Omba chuo kimoja kinaitwa University of Reading, walinitumia admission letter(UK hawana application fee) na ndo niliitumia kufanya maombi ya Pass.Mkuu admission letter hawawez kukutumia had ulipe application fees na unawez kuta app fees ni $100 umeliona hilo ?
Unajua mkuu watu hatutaki kujihushisha sana na haya mambo kwa undani sana japo tunajua vizuri hatutaki kuja kuambiwa tunataka kuwatapeli ndio maana nimekataa maswala ya PM au mawasaliano sana so nitakacho wasaidia Google maajenti then weka hapo jukwaani mm nitakwambia huyu ni wakweli au huyu famba coz ninawajua wa ukweli na uongo pia wengine tuna heshima zetu kwani ni ngumu kujua mwenye nia nzuri au mbaya mwenye kuhitaji msaada au ambae anataka kuzingua tuAgent mkuu tunawapata vipi, maana issue ni kwenda process zinahitaji mtu anayejua vizuri issue hizo
Mkuu jaribu kuomba vyuo vingi wamatoa admission letter. Jaribu hata hivi vya ndani kama south africa ili mradi upate admission uzame nayo kurasiniMkuu admission letter hawawez kukutumia had ulipe application fees na unawez kuta app fees ni $100 umeliona hilo ?
Sio zote, kuna hii ya chevening lazima upite wizarani, hii nikwa uk. Zipo nyingine hupitii hapo kwa mama ndaliDah! kwahiyo kila scholarship lazma baraza waipitie
Kweli mkuu, ila kusaidiana bila kujali hisia za watu ni vyema. Huwezi jua hisia za kila mtu kwa maana tupo tofauti sana mkuuUnajua mkuu watu hatutaki kujihushisha sana na haya mambo kwa undani sana japo tunajua vizuri hatutaki kuja kuambiwa tunataka kuwatapeli ndio maana nimekataa maswala ya PM au mawasaliano sana so nitakacho wasaidia Google maajenti then weka hapo jukwaani mm nitakwambia huyu ni wakweli au huyu famba coz ninawajua wa ukweli na uongo pia wengine tuna heshima zetu kwani ni ngumu kujua mwenye nia nzuri au mbaya mwenye kuhitaji msaada au ambae anataka kuzingua tu
Agent ni kama nilivyosema wanaweb zao ukimpata weka detals zake hapa mm nitakwambia kama ni waukweli au ni wanaigeria ilo kwangu linawezekana pia kwani ww unataka kwenda nchi gani na kama umesoma nikusaidie upate Scholarship full bt as i told you no PM wala kujuana niambie wapi nikutumie link uendelee mwenyewe from thereKweli mkuu, ila kusaidiana bila kujali hisia za watu ni vyema. Huwezi jua hisia za kila mtu kwa maana tupo tofauti sana mkuu
Vizuri sana mkuu izzo.Agent ni kama nilivyosema wanaweb zao ukimpata weka detals zake hapa mm nitakwambia kama ni waukweli au ni wanaigeria ilo kwangu linawezekana pia kwani ww unataka kwenda nchi gani na kama umesoma nikusaidie upate Scholarship full bt as i told you no PM wala kujuana niambie wapi nikutumie link uendelee mwenyewe from there
Nimesoma ila mimi nataka enda kuwa asylum seekerAgent ni kama nilivyosema wanaweb zao ukimpata weka detals zake hapa mm nitakwambia kama ni waukweli au ni wanaigeria ilo kwangu linawezekana pia kwani ww unataka kwenda nchi gani na kama umesoma nikusaidie upate Scholarship full bt as i told you no PM wala kujuana niambie wapi nikutumie link uendelee mwenyewe from there
Weka mawasiliano yake hapa then nitakwambia kama anaweza au lah bt kama unamwamini na umeridhika Good luck ukifika Malta toa mrejesho tukuelekeze vizuri na kama unataka jeshi nitakuelekeza umfate nani bt mpaka utape uraia wa Malta kwnzaWadau mimi nipo Uganda, kuna jamaa yangu alienda Turkey 2013. Nimeongea nae kanipa no za Agent aliyempeleka. Nimeongea na Agent anadai Malta ni 8m Ugandan money. Visa na nauli kwa asylum seekers. Mwezi mmoja issue ni uaminifu km mjuavyo
+12136666803 that's his wasupWeka mawasiliano yake hapa then nitakwambia kama anaweza au lah bt kama unamwamini na umeridhika Good luck ukifika Malta toa mrejesho tukuelekeze vizuri na kama unataka jeshi nitakuelekeza umfate nani bt mpaka utape uraia wa Malta kwnza
Mkuu mimi naomba uniwekee link za Scholarship nchi za Scandinavia ama Ocenia. Nitashukuru sana.Agent ni kama nilivyosema wanaweb zao ukimpata weka detals zake hapa mm nitakwambia kama ni waukweli au ni wanaigeria ilo kwangu linawezekana pia kwani ww unataka kwenda nchi gani na kama umesoma nikusaidie upate Scholarship full bt as i told you no PM wala kujuana niambie wapi nikutumie link uendelee mwenyewe from there
Nitakupa mrejesho kesho asubuhi+12136666803 that's his wasup
Una level gani ya elimu ?Mkuu mimi naomba uniwekee link za Scholarship nchi za Scandinavia ama Ocenia. Nitashukuru sana.
Sawa mkuu , nitawachek ingawa pass mm ninayo ila nijuavyo ni kwamba ukipata admission letter unaweza kuombea student visa ya sehemu husiku let me do it nitakupa mrejeshoOmba chuo kimoja kinaitwa University of Reading, walinitumia admission letter(UK hawana application fee) na ndo niliitumia kufanya maombi ya Pass.
Mkuu nataka niende european union, nna bachelor ya public health, nataka nikafanye master nchi yoyote nizamie, ajira zimekua na zengwe kubwa, nipo kwenye hatua za mwisho kupata pasi ya kusafiriaAgent ni kama nilivyosema wanaweb zao ukimpata weka detals zake hapa mm nitakwambia kama ni waukweli au ni wanaigeria ilo kwangu linawezekana pia kwani ww unataka kwenda nchi gani na kama umesoma nikusaidie upate Scholarship full bt as i told you no PM wala kujuana niambie wapi nikutumie link uendelee mwenyewe from there
kumbe public health ina degree!!!!!!Mkuu nataka niende european union, nna bachelor ya public health, nataka nikafanye master nchi yoyote nizamie, ajira zimekua na zengwe kubwa, nipo kwenye hatua za mwisho kupata pasi ya kusafiria