Sweden hela yao sio ngumu.... Then kule unaweza lipwa hata usipofanya kazi.... Mradi uwe legal migrant... Mfano ukiwa unasoma unalipwa n.k
Kwenye lugha ni kweli kugumu... Na lugha yao ni ufunguo wa mambo mengi sana ikiwemo kazi... Ukijua lugha kazi unapata kirahisi mno...
Wenzetu hutumia lugha kama kigezo cha kujua mapenzi yako halisi kwa nchi yao......
ina maana wanamonitor hadi movement za mahusiano yenu..?Ni kweli Nordic kwa sasa ndiyo kuzuri.
lakini kwa angalizo ni kwamba inabidi huyo mchumba alieko kwenye nchi za Nordic awe amezoeana sana na mke/ mume mtarajiwa na huwa kwenye "initial stage" wanataka kuona mahusiano ya kweli.
Wanaweza kutaka kuona mkiwa mmetembelana kwa mfano mmoja kaenda Tanzania na mwingine Sweden lakini isiwe ni "one way ticket" hiyo inahesabiwa kuwa siyo "genuine relationship".
Utaratibu tuliuharibu wenyewe...miaka ya 2000 passport haikuwa kazi ngumu kuipata...now imekuwa ngumu sababu ya wahindi..wasomali na watu wengine ambao sio watanzania kwa faida ambazo Tanzanian passport holder tunaingia entry..wakawa wanapewa passport zetu kama NJUGU...now ni SAWA TU kuwepo na udhibiti wa passport..ni vyema passport kuwe na udhibiti...MGUMUMkuu ni kweli... Uhamiaji hawatoi passport bila reason.... Nafikiri tungebadili huu utaratibu tuwe kama wenzetu ambao passport kwao ni haki ya msingi na unaweza miliki tu.
Sana hata Denmark ndo ilivyo.... Ukifika mlangoni unakuta list ya majina na button so wewe ni kubonyeza tu jina unalotaka kengele italia kwa mhusika then utaongea nae ukiwa nje basi akikubali uingie ye atabonyeza tu huko huko juu aliko mlango utafunguka...Nimependezwa sana na mfumo wa nchi hiyo yaani kila nyumba khasa flats kuwa na majina ya wanaoishi humo na kama Mke/Mume amepewa karatasi basi jina jinaongezwa kwenye kale kaboksi ka barua.
😀😀
Australia pako poa..UK pagumu..China Unarudi na NGEO tu....mkuuMkuu, mwaka huu nimeomba scholarship kwenda kusoma Australia, China na UK
Niombeeni nifanikiwe ,nijilipue huko, nafanya kaxi ila haina maslahi na wategemezi lukuki, bora nitokomee huko kwanza
Mkuu wewe acha miaka ya mwanzo wa 90 Tanzania ilikuwa na heshima ulaya kama ilivyo Botswana kwa sasa hivi. Kila nchi unayokwenda wanakupa miezi sita unaingia ndani. Wa-Nigeria walituonea wivu sana. Ndipo wa-Nigeria, wa-Somali, wa-Nyarwanda wote wakapata passport zetu kwenda kujilipulia nazo. Thamani ilishuka tukapewa mkwara wa visa 1995.Utaratibu tuliuharibu wenyewe...miaka ya 2000 passport haikuwa kazi ngumu kuipata...now imekuwa ngumu sababu ya wahindi..wasomali na watu wengine ambao sio watanzania kwa faida ambazo Tanzanian passport holder tunaingia entry..wakawa wanapewa passport zetu kama NJUGU...now ni SAWA TU kuwepo na udhibiti wa passport..ni vyema passport kuwe na udhibiti...MGUMU
ina maana wanamonitor hadi movement za mahusiano yenu..?
Nafikiri hatujaelewana... TZ kuna masharti na hatukatai yasiwepo... Hakuna nchi isiyo na masharti mkuu... Tunachoongelea hapa sababu za umiliki... Bila kuwa na sababu ya kwenda nje bongo hupati passport tofauti na wenzetu unaweza imiliki tu kama kitambulisho.Utaratibu tuliuharibu wenyewe...miaka ya 2000 passport haikuwa kazi ngumu kuipata...now imekuwa ngumu sababu ya wahindi..wasomali na watu wengine ambao sio watanzania kwa faida ambazo Tanzanian passport holder tunaingia entry..wakawa wanapewa passport zetu kama NJUGU...now ni SAWA TU kuwepo na udhibiti wa passport..ni vyema passport kuwe na udhibiti...MGUMU
Pesa ya visa si kubwa kihivyo.... Mfano kwa schengen visa last year ilikua euro 60 tuu.... Na kwa nchi za SADC ni visa free mfano south!!
Mkuu licha ya hayo mambo ya visa yamechagizwa sana na changamoto za sasa kama Ugaidi... Mdororo wa uchumi n.kMkuu wewe acha miaka ya mwanzo wa 90 Tanzania ilikuwa na heshima ulaya kama ilivyo Botswana kwa sasa hivi. Kila nchi unayokwenda wanakupa miezi sita unaingia ndani. Wa-Nigeria walituonea wivu sana. Ndipo wa-Nigeria, wa-Somali, wa-Nyarwanda wote wakapata passport zetu kwenda kujilipulia nazo. Thamani ilishuka tukapewa mkwara wa visa 1995.
Mkuu ninakumbuka wa-Somali walikua wanaingia passport wanaflash kwenye choo cha ndege wakifika Heathrow, baada ya hapo wakifika kwenye immigration desk wanajilipua hawana passport. Mashirika ya ndege nayo yalianza kuriport vyoo kuziba. It was a big scandal na zote zinakutwa ni passport za Tanzania.Mkuu licha ya hayo mambo ya visa yamechagizwa sana na changamoto za sasa kama Ugaidi... Mdororo wa uchumi n.k
Huko nyuma haikua ngumu kwenda Ulaya sababu walihitaji sana cheap labors na changamoto za kiusalama hazikua kubwa kama za sasa!!
Kweli kabisa mkuu huko hata m-bibi akijichanganya unamvika pete!Denmark ni nchi ya scandinavia... Ni nchi yenye maisha ya raha na amani sana japo ni nchi ndogo... Njia rahisi kwenda huko unaweza kwenda as tourist then ukifika huko unapambana upate wa kumwoa hata kwa makaratasi tu ili upate kibali cha ukaazi.
Mkuu sasa hivi vigezo vya visa vinaangaliwa sana kulingana na status ya nchi kiuchumi...kiulinzi n.kMkuu ninakumbuka wa-Somali walikua wanaingia passport wanaflash kwenye choo cha ndege wakifika Heathrow, baada ya hapo wakifika kwenye immigration desk wanajilipua hawana passport. Mashirika ya ndege naya yalianza kuriport vyoo kuziba. It was a big scandal na zote zinakutwa ni passport za Tanzania.