Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Hana maana ya moja kwa moja kuwa umemtukana ila kwa maelezo yake na alivyojipanga imekuwa tofauti
Mkuu tusi lipo wapi hapo?mm naelezea baadhi ya ulaya ulivyo..basi tusameheane mkuu...mm huwa sidhamirii matusi MKUU.. Hzo inchi bila michongo maalum huwezi kukaa MKUU..mm nilikimbia hapo...hebu nieleze tusi lipo wapi mkuu
sasa mbona mkifa huko.....mpaka sisi huku sitimbi tuchangishe pesa ndio mtu aweze kuzikwa huku? hata ya kusafirisha mwili tu kuchangia huko ni shida! ni nn shida!
Hapakuhusu hapa. Nenda kwenye mada zingine
 
Kwa wale wakatisha tamaa a.k.a wapuuzi ni bora usichangie kuliko kuandika utumbo

Sent from my TECNO P5 using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu. Lengo la huu uzi si kuwatoa wanamada katika mstari ila ni kupeana moyo na maarifa kuhusiana na njia ya kutoka. Anatokea zumbukuku anataka kuharibu mambo. Walio na dhamira na hakika hawataweza kuvunjika moyo. Mungu Muumba atujalie wote
 
Mimi nimeenda USA mara 5 kihalali, hili halipo straight kama unavyofikiria. Labda ufanye kazi tu bila kibali. Kuoa ni shughuli, and a long process.
Kuoa ni kufuata sheria za maombi ya viza za mume/mke wa raia wao.

Tena hao waombaji wanapata preference zaidi kuliko mwombaji wa viza za kutalii.

Kutegemea na hali ya kifedha ya raia wao, wote wawili mnapewa interview. Majibu yote lazima yalingane. Mnakuwa kwenye vyumba tofauti.

Pia, utahitaji kuonyesha kuwa mlikuwa na uhusiano wa muda flani. Picha za harusi. Cheti cha ndoa.

Wakiridhika, unapewa viza. Pia raia wao ana haki sana juu ya maombi ya viza.

Nina rafiki, alikaa zaidi ya muda wake wa viza (overstay) Marekani. Akarudi na mke wa huko Bongo na kuondoka na viza ya kuishi hata baada ya kuvunja sheria.Alisubiri mwaka mzima. Leo ni raia wao.

It's who you know
 

Ipo hivi:

- Kuna kupata mke natural ukaoa - Labda iwe genuine kabisa, ina changamoto zake.
- Kuna kumlipa mtu ukaoa ndoa fake.
 
Ipo hivi:

- Kuna kupata mke natural ukaoa - Labda iwe genuine kabisa, ina changamoto zake.
- Kuna kumlipa mtu ukaoa ndoa fake.
Wachina na Wamexico wanaongoza kwa kununua ndoa.

Wengine wanakamatwa, wengine wanapita.

Binafsi, ziwezi kutoa hilo wazo lakini hilo zoezi linafanyika kila siku. Wanaenda miji midogo kupeleka maombi.

Hata raia wa Mexico wanapenya kila siku Marekani.

Ukipata mtu anaejua sheria, unaweza kabisa kununua ndoa.

Nothing is impossible.
 

Mi nimeenda mara 5 na kuangalia option zote hizo. Thaman ya kununua ndoa ni between: $5000 - $10.000, ukiacha gharama nyingine hapo. ambazo ni kibao.
 
Mi nimeenda mara 5 na kuangalia option zote hizo. Thaman ya kununua ndoa ni between: $5000 - $10.000, ukiacha gharama nyingine hapo. ambazo ni kibao.
Si kweli.

Rafiki yangu kafanya bure. Rafiki yake kamsaidia. Walisoma pamoja chuoni.

Kila mtu na bahati yake.

Wengine wanalipa hata $20,000, wengine hawatoi senti moja.
 

And not what you know.
 
Mi nimeenda mara 5 na kuangalia option zote hizo. Thaman ya kununua ndoa ni between: $5000 - $10.000, ukiacha gharama nyingine hapo. ambazo ni kibao.

Siku ya kuitwa uhamiaji Na Mke (fake) akaamua
Kukukamua inabidi uongeze dau au pesa yako ndio imepotea.Maana ndoa fake haina mkataba Na NI kesi ya jinai.
Kuoa kwa pesa NI sawa Na kufanya biashara haramu Huwezi kudai haki.
 
Reactions: Qj_
Ndugu zangu. Naomba tuwe makini na pamoja kwenye mambo haya muhimu. Kumbukeni ugeni ni zaidi ya undugu, kama kasoro zinaanza mapema hivi, si sawa. Ukipata nafasi muhimu kama hii, ni vyema kutulia na kumthamini kila mmoja.
Watanzania tuna mambo ya hovyo hovyo
 
 
South ukiwa na passport inatosha.
Ukienda kwa bus huulizwi return ticket.

Nilienda mwaka juzi kwa bus sikupata usumbufu wowote.

Kama vipi ni PM
Ulitumia siku ngapi mpaka unafika SA?
Vipi changamoto zipi ulikutana nazo njiani kwa usafiri wa basi?
Nauli kiwango cha juu mtu aandae kiasi gani kwenda na kurudi?
Hoteli zinasimamia rand ngapi kwa jiji ulilokuwa umeenda?
 
Mkuu stunter unachofanya sio fair kabisa.. Unaandikiwa meseji hujibu na ukijibu unajibu shortcut tu..

Please hebu jitahidi kumuelewa kila MTU anaekufuata inbox kwa wazo alilolitoa mdau Izzo...


Au mkuu izzo naomba inipatie namba zako inbox kwangu
Calm down mkuu, hata mimi pia nasubiri izzo atoe muongozo ili tujue pa kuanzia, usi-mind vitu vidogo
 
Ugumu wake uko vip mkuu ...natamani sana nifike kwenye hio inchi. Nipe maujanja kidogo ili nijue namna ya kufika aisee..
Mkuu why Germany?
Au kwasababu ya job?
Sasa hivi wako very complicated mkuu.
Lengo ni education au maisha?
Nakushauri jaribu Australia au New Zealand.Huko Kuna kazi nyingi Sana hasa New Zealand,tatizo New Zealand baridi ni kali sijapata ona maishani.Unaweza iona "K" hiyo hapo lakini "Boloyang" anakua kalala doro tu hana shida,ukibanwa aja ndogo bila kupiga tizi ata la mita mia kwa kasi ya jet basi kojo halitoki.yani ni kama ile ya kwenye "mafriza" ya kuhifadhia Samaki Dar,ahahahaaa.....JOKING.Ila msosi ni mwingi bala hasa nyama na maziwa.
 
New Zealand ni mbali sana aisee.... But life lao zuri... Hivi na wao viza zao zinasumbua?
 
Ulitumia siku ngapi mpaka unafika SA?
Vipi changamoto zipi ulikutana nazo njiani kwa usafiri wa basi?
Nauli kiwango cha juu mtu aandae kiasi gani kwenda na kurudi?
Hoteli zinasimamia rand ngapi kwa jiji ulilokuwa umeenda?

Changamoto kubwa ni kukaguliwa mipakani maana mkifika mpakani mizigo yote iliyoko kwenye gari inashushwa yote kukaguliwa. Hapo ndo muda mwingi hupotea.

Ukiandaa laki 5 mpaka laki 6 ya kitanzania utafika na kurudi.

Nilikwenda pretoria, Gharama za Hotel na Guest zinategemea eneo na eneo maana kuna maeneo kama Osytabay na kuna maeneo kama Ubungo, Kimala na yanayofanana na hayo.

Gharama inategemea utakapokuwa. Kwa kule, kwa mfano unaweza fikia Ubungo lakini ukawa unafanya mambo yako Chalinze au hata Morogoro maana usafiri upo masaa yote, si usiku wala mchana-non stop.
 

Mkuu hiyo imekaaje yale makaratasi nayapaje kwa maana naona kama hiyo nayo ni idea nzuri sana.
Nifanyie mchakato niyapate...wewe ulipataje?

Haha...ila shida ni mbaya saana mkuu. Unaweza pewa mtoto wa watu ukawa na mahisia naye kisa shida za kupata kibali cha kuishi.

Baada ya kukipata ukapanda jeuri kubwa. It's bad sometimes kumwangusha mtu aliyekusaidia kwenye shida
 
wakuu samahanini kwanza sijawahi fika USA ila ni moja kati ya nchi ambazo nimemua kuelekea huko ifikapo mwezi wa 5 yani kuishi kabisa sasa maswali yangu ni kama ifuatavyo

1.Je kiasi gani kitatumika kama nauri kutoka Tanzania hadi marekani

2.Hotel za beyi nafuu ni kiasi gani huko pindi nitakapokuwa natafuta sehemu ya kujishikiza.

3.Je ni vitu gani vya muhimu vya kuwa navyo wakati wa kuomba viza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…