marveljt
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 1,503
- 1,479
Hana maana ya moja kwa moja kuwa umemtukana ila kwa maelezo yake na alivyojipanga imekuwa tofauti
Mkuu tusi lipo wapi hapo?mm naelezea baadhi ya ulaya ulivyo..basi tusameheane mkuu...mm huwa sidhamirii matusi MKUU.. Hzo inchi bila michongo maalum huwezi kukaa MKUU..mm nilikimbia hapo...hebu nieleze tusi lipo wapi mkuu
Hapakuhusu hapa. Nenda kwenye mada zinginesasa mbona mkifa huko.....mpaka sisi huku sitimbi tuchangishe pesa ndio mtu aweze kuzikwa huku? hata ya kusafirisha mwili tu kuchangia huko ni shida! ni nn shida!