Hivi watu hua mnatufanya sisi ni watoto nini?safari mwezi wa tano na haujui A to Z ya safari yako?wabongo bhanawakuu samahanini kwanza sijawahi fika USA ila ni moja kati ya nchi ambazo nimemua kuelekea huko ifikapo mwezi wa 5 yani kuishi kabisa sasa maswali yangu ni kama ifuatavyo
1.Je kiasi gani kitatumika kama nauri kutoka Tanzania hadi marekani
2.Hotel za beyi nafuu ni kiasi gani huko pindi nitakapokuwa natafuta sehemu ya kujishikiza.
3.Je ni vitu gani vya muhimu vya kuwa navyo wakati wa kuomba viza.
Kidogo nishangae mkuu!Mkuu why Germany?
Au kwasababu ya job?
Sasa hivi wako very complicated mkuu.
Lengo ni education au maisha?
Nakushauri jaribu Australia au New Zealand.Huko Kuna kazi nyingi Sana hasa New Zealand,tatizo New Zealand baridi ni kali sijapata ona maishani.Unaweza iona "K" hiyo hapo lakini "Boloyang" anakua kalala doro tu hana shida,ukibanwa aja ndogo bila kupiga tizi ata la mita mia kwa kasi ya jet basi kojo halitoki.yani ni kama ile ya kwenye "mafriza" ya kuhifadhia Samaki Dar,ahahahaaa.....JOKING.Ila msosi ni mwingi bala hasa nyama na maziwa.
Mkuu visa ya New Zealand sina hakika sana but sidhani kama inasumbua.Maana mie nilienda Australia 2012 mwz sept kwenye kampuni moja ya kilimo cha ndizi na strawberry mji mmoja unaitwa Queenland,so nikawa nimewahi msimu ambao huanza Dec to may.Kisha mwezi June Kuna jamaa zangu wagana wakasema twende New Zealand tukapige kazi huku tukisubiri msimu mwingine,Kule tukaenda kwenye kampuni moja ya kufunga maziwa IPO Wellington,but tamaa ya pesa ikatuharibia maisha.Kuna jamaa mmoja hivi alikua Ni Malaysia akatupa deal la kumtafutia vitoto vya Kobe fulani hivi nimesahau jina,kobe hao walikua wanapatika sehemu1 inaitwa Tongariro kuna national park.Jamaa alitoa offer ya $75ea title na alitaka 4000hds na tulikua 4.Nikasema kwa deal hili nikirudi bongo kwanza naanza na Wema "Sepenga" Kisha namaliza na na Jack Wopper.Wanaume tukapiga kazi kwa siku2 tukapata kama 90 hv.Wakati huo tulikua hatujaingia kwenye hifadhi,tulikua pembezoni,tamaa ilipozidi tukasema why tusiingie hifadhini ili kieleweke mapema?ule tunaingia Tu haikupita Ata dk10 tukaona helkopta kama 6 hivi angani.Muda mfupi tayari tukawa tumedakwa na kupelekwa lokapu,kesho yake mapema tu mahakamani kwa kuingia hifadhini bila kibali,mvua za miezi3 zikatuhusu baada ya hapo ni patriation ya kutoweka na kurudi Australia because tulikua na visa za kule,but kumbe hawa wasengerema walishatoa na taarifa kwenye ile kampuni so na wao hawakua na namna zaidi ya kututimua.Since then sijaenda tena huko.New Zealand ni mbali sana aisee.... But life lao zuri... Hivi na wao viza zao zinasumbua?
Nashangaa why Europe apt Ni cheap dhan TZ?mkuu kule apt ni cheap kutegemea na unapoishi.Kidogo nishangae mkuu!
Vipi swala la mishahara limekaaje?
Gharama za apertment zikoje?
Yeah, nilikuaga na demu huko tukapotezana ila alikua na maendeleo sana huku nyumbani...Mkuu visa ya New Zealand sina hakika sana but sidhani kama inasumbua.Maana mie nilienda Australia 2012 mwz sept kwenye kampuni moja ya kilimo cha ndizi na strawberry mji mmoja unaitwa Queenland,so nikawa nimewahi msimu ambao huanza Dec to may.Kisha mwezi June Kuna jamaa zangu wagana wakasema twende New Zealand tukapige kazi huku tukisubiri msimu mwingine,Kyle tukaenda kwenye kampuni moja ya kufunga maziwa IPO Wellington,but tamaa ya pesa ikatuharibia maisha.Kuna jamaa mmoja hivi alikua Ni Malaysia akatupa deal la kumtafutia vitoto vya Kobe fulani hivi nimesahau jina,kobe hao walikua wanapatika sehemu1 inaitwa Tongariro kuna national park.Jamaa alitoa offer ya $75ea title na alitaka 4000hds na tulikua 4.Nikasema kwa deal hili nikirudi bongo kwanza na Wema "Sepenga" Kisha namaliza na na Jack Wopper.Wanaume tukapiga kazi kwa siku2 tukapata kama 90 hv.Wakati huo tulikua hatujaingia kwenye hifadhi,tulikua pembezoni,tamaa ilipozidi tukasema why tusiingie hifadhini ili kieleweke mapema?ule tunaingia Tu haikupita Ata dk10 tukaona helkopta kama 6 hivi angani.Muda mfupi tayari tukawa tumedakwa na kupelekwa lokapu,kesho yake mapema tu mahakamani kwa kuingia hifadhini bila kibali,mvua za miezi3 zikatuhusu baada ya hapo ni patriation ya kutoweka na kurudi Australia because tulikua na visa za kule,but kumbe hawa wasengerema walishatoa na taarifa kwenye ile kampuni so na wao hawakua na namna zaidi ya kututimua.Since then sijaenda tena huko.
But life zuri maana unskilled tulikua tunavuta around Aud$18/hr.
Yes but Scandinavian countries maisha hapo juu hasa kwenye misosi ingawa apt Hazina tabu.Kikombe cha chai ya maziwa around β¬2 while new Zealand Ni kama 0.75.Yeah, nilikuaga na demu huko tukapotezana ila alikua na maendeleo sana huku nyumbani...
Kwa miaka ya leo naona kwenye nafuu ni scandinavia ila USA ilikua miaka ile sie tukitafuta but now kumekaza kimtindo.
Mkuu naandaa mfumo mzuri wa kufanya swala hili kwani project ni mwezi wa 6 namba nilisema nianze kutumiwa mwezi wa 4 bt mpaka sasa nimepata namba kama saba tu bt ktk watu 7 niliopata namba zao watu watatu hawafai kutokana na sababu za usalama wa wageni bt kwenye project ya mwezi wa 6 tutaitaji host kama 20 hvCalm down mkuu, hata mimi pia nasubiri izzo atoe muongozo ili tujue pa kuanzia, usi-mind vitu vidogo
Yes but Scandinavian countries maisha hapo juu hasa kwenye misosi ingawa apt Hazina tabu.Kikombe cha chai ya maziwa around β¬2 while new Zealand Ni kama 0.75.
But chai Yao inakiwango cha kimataifa.unakunywa chai na mkate unajisikia kama upo peponi.Kwakweli mpaka leo sijajua viungo wanavyotumia mpaka chai iwe tamu vile alohhh
Mkuu DK na Sweden maisha hayako juu ila kwa Norway sawa.Yes but Scandinavian countries maisha hapo juu hasa kwenye misosi ingawa apt Hazina tabu.Kikombe cha chai ya maziwa around β¬2 while new Zealand Ni kama 0.75.
But chai Yao inakiwango cha kimataifa.unakunywa chai na mkate unajisikia kama upo peponi.Kwakweli mpaka leo sijajua viungo wanavyotumia mpaka chai iwe tamu vile alohhh
Finland ni more cheap mkuu.Tatizo ni wapi utaupata unga wa kupikia ugali???na sisi wabongo hasa sisi akina "Mura" bila ugali is nothing.Halafu nchi kama DK apartment bei rahisi sana!!
Hapana mkuu,ni radha fulani hivi yani inakushawishi unywe anytime.Labda hiyo chai wananyunyizia asali kiduchu mkuu.
πππ
Mkuu yule kijana yuko wapi ??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ukinyunyiza asali ndo inavyokua?
Mkuu unga siku hizi sio ishu kuna supermarkets zinauza hio kitu...Finland ni more cheap mkuu.Tatizo ni wapi utaupata unga wa kupikia ugali???na sisi wabongo hasa sisi akina "Mura" bila ugali is nothing.
Alafu ukiwa unasuka rasta basi utaopoa mademu wa kizungu mpaka basi.
Yule kavel niliyempa mtihani wa kuandika maneno 400 coz mpaka leo naona kimyaYuko kibaha mkuu.
Hiyo msosi tulikua tunaiita stuff!!Mkuu DK na Sweden maisha hayako juu ila kwa Norway sawa.
Mtu akibahatika kwenda huko ana uwezo wa kutoboa ndani ya mwaka tu!!
Mfano DK unaweza lipa krona 35 kwa hotel ukala siku saba aisee we unapewa chakula kilichobaki kwa hiyo siku choote then unaweka kwa fridge wewe ni kupasha tu na kula hata wiki mbili kwa krona 35 tuuu....
Ukiwa na malengo ya maisha Scandinavia unatoboa chaaap... Ila ukiwa na tabia za showoff uendeshe Audi sijui bentley utakufa na madeni.
Dah kavel mbona unazingua mkuu dah Tanganyika watu tupo slow sana duh haya poa mkuu nitakuchekiBasi tumpe dogo mkuu.... Yeye anasoma bado na ni Yatima mi ndo namfadhili.