Mkuu visa ya New Zealand sina hakika sana but sidhani kama inasumbua.Maana mie nilienda Australia 2012 mwz sept kwenye kampuni moja ya kilimo cha ndizi na strawberry mji mmoja unaitwa Queenland,so nikawa nimewahi msimu ambao huanza Dec to may.Kisha mwezi June Kuna jamaa zangu wagana wakasema twende New Zealand tukapige kazi huku tukisubiri msimu mwingine,Kyle tukaenda kwenye kampuni moja ya kufunga maziwa IPO Wellington,but tamaa ya pesa ikatuharibia maisha.Kuna jamaa mmoja hivi alikua Ni Malaysia akatupa deal la kumtafutia vitoto vya Kobe fulani hivi nimesahau jina,kobe hao walikua wanapatika sehemu1 inaitwa Tongariro kuna national park.Jamaa alitoa offer ya $75ea title na alitaka 4000hds na tulikua 4.Nikasema kwa deal hili nikirudi bongo kwanza na Wema "Sepenga" Kisha namaliza na na Jack Wopper.Wanaume tukapiga kazi kwa siku2 tukapata kama 90 hv.Wakati huo tulikua hatujaingia kwenye hifadhi,tulikua pembezoni,tamaa ilipozidi tukasema why tusiingie hifadhini ili kieleweke mapema?ule tunaingia Tu haikupita Ata dk10 tukaona helkopta kama 6 hivi angani.Muda mfupi tayari tukawa tumedakwa na kupelekwa lokapu,kesho yake mapema tu mahakamani kwa kuingia hifadhini bila kibali,mvua za miezi3 zikatuhusu baada ya hapo ni patriation ya kutoweka na kurudi Australia because tulikua na visa za kule,but kumbe hawa wasengerema walishatoa na taarifa kwenye ile kampuni so na wao hawakua na namna zaidi ya kututimua.Since then sijaenda tena huko.
But life zuri maana unskilled tulikua tunavuta around Aud$18/hr.