Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Dah kavel mbona unazingua mkuu dah Tanganyika watu tupo slow sana duh haya poa mkuu nitakucheki
Mkuu Kaveli huwa anaingia mara moja moja,ila anaonesha anapitia changamoto sana kulingana na nyuzi(thread) zake,ana diploma ila hajawahi kupata kazi,na anataka akasome degree,usimpe mwingine hiyo nafasi,huyu ni mwenzetu utakuwa umemsaidia sana
 
Ukimaliza tuma kwa huyu sammycheong2@gmail.com then atakufahamisha na kukutumia mawasiliano ya hao watu na form ujaze ok

Note : Uruhusiwi kutoa hata sh 10 huduma yote ni free of charge


Alright mkuu, noted with thanks. Ila naomba kuuliza:

1. Nakumbuka ulisema kwamba unasaidia watu watano tu, na tayari wameshatosha (me inclusive). Then Why email yake umeiweka public hapa, what if na wengine wakatuma?

-Kaveli-
 
Alright mkuu, noted with thanks. Ila naomba kuuliza:

1. Nakumbuka ulisema kwamba unasaidia watu watano tu, na tayari wameshatosha (me inclusive). Then Why email yake umeiweka public hapa, what if na wengine wakatuma?

-Kaveli-
Nitakutumia codes so ukituma hyo mail andika na hizo Codes nilizokutumia so atajua ni ww na zitafanyiwa kazi kama Mungu atakavyopenda

Fungua PM yako naona kama imefungwa
 
Mkuu Kaveli huwa anaingia mara moja moja,ila anaonesha anapitia changamoto sana kulingana na nyuzi(thread) zake,ana diploma ila hajawahi kupata kazi,na anataka akasome degree,usimpe mwingine hiyo nafasi,huyu ni mwenzetu utakuwa umemsaidia sana


Mkuu cognition , you are kind hearted. Nimeguswa sana na comment yako ndugu. Ahsante sana kwa kutupia neno lako lenye upendo na kujali. Tupo pamoja kiongozi. Naamini hizi changamoto za kimaisha ni mapito tu!

Kwakweli siku nitapotia mguu darasani kuanza kusoma Bachelor degree, nitachukua moment of silence ya kama dakika 3 hivi kupiga goti chini kumshukuru Mola. I have come from far away, the hard way!

-Kaveli-
 
Nautabiria huu uzi kuja kufika mwezi wa tano utakuwa na page 1000.
Nachofurahia kila leo wadau wanaleta vitu vizuri hii inaonesha jinsi gai tumezamilia japo kila mmoja anachangamoto zake naamini kila mmoja atakuwa na nafasi yake na muda wake kwa sasa Kaveli ameanza kupata sapoti hivyo tumuuombee afanikishe maana kufanikisha kwake ni kufanikisha kwetu sote.
Kila lakheri mkuu....
 
God bless him,
Nimefurahi sana kuona Kaveli amekamilisha,
manake alivyokuwa anachelewa na izzo analalamika basi roho ilikuwa inanidunda kwa kuhofia kuipoteza nafasi,
Mungu mkubwa amekamilisha,
and now nina amani
 
Kwa mipango uliyonayo kwakweli Mungu akuongeze muda wa kuishi, gharama za wema huu pia utalipwa na Mungu mwenyewe. Naamini hawa watu wanaotegemea kuvutwa kwa hii kamba unaoturushia ni wengi na hii kazi unayoifanya imewashinda ndugu zetu wengi wa damu wenye uwezo mkubwa. Hata nisipofanikiwa mimi lakini nawaombea wengine wafanikiwe maana mvua ikinyesha kwa mkulima mfanyakazi atapunguziwa bei ya mazao. Mkuu [HASHTAG]#izzo[/HASHTAG] go on pave the way na Mungu akutangulie.
 
Mkuu Daby, ahsante kwa kujali ndugu. Ndo nimepata compyuta leo usiku huu na tayari nimeshaandika.

-Kaveli-
Pole kavel nilikuwa nimeanza kukusikitikia kwamba umeonesha nia sana then mwishoni upotee....pls ukiwa nina shida ndogo ndogo kama hizo unatucheki wadau! Next time ukihitaji pc na internet sema wadau tukusaidie! Hongera kwa kufanikisha
 
Watu walioko botswana miaka yote huwa hawatoi updates za huko sijui kwa nn! Japo nasikia panawalipa vzr hasa wataalam wa taaluma mbalimbali ikiwemo kilimo, IT, engineeing, mifugo, biashara nk! Mwenye undani wa hiyo sehem tutashukuru kama nae akawa na moyo wa kumwaga ukweli hapa
 
Mkuu naomba sana niwepo hata ikishindikana round hii basi hiyo ya mwez wa sita nafikiri wengi tutapata.


Ombi langu naomba kufahamu sababu za usalama kwa wageni kitu gani kinazingatiwa zaidi ...ni mkoa na sehemu ambayo host wanareside au ni personal detail za hosts xinasababisha akakosa uaminifu moja kwa moja akawa hatarishi kwa mgeni
 
Mkuu kavelli a wise man once said tough times never last in life but tough people always do. Keep pushing to the limit # supported by izzo through God#
 

Mkuu huu uzi unaonyesha kwamba WaTanzania tunapendana pamoja kuwa Na itikadi za kidini Na kisiasa tofauti.Haya mapenzi yakusaidiana yana ambukiza kila mtu anachangia anacho kijuwa Ila mmoja wetu Au wengi wetu wafanikiwe.
Mkuu Lusungo kapanda mbegu Na Izzo kapalilia Na wadau wengi wanamwagilia tunaanza kuona mimea inachipuwa.Duh JF idumu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…