Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Pole sana I wish I could be among of people to help you.
Umeniliza mkuu umeandika kwa hisia sana
Nakuombea ufanikiwe in Jesus name.
 
Wakuu,

Wachangiaji wote wa uzi huu, binafsi nazidi kujifunza siku hadi siku. Naona kaisa bado kuna Watanzania (Watanganyika kwa mwandiko wa izzo) wana moyo, nia na mapenzi ya dhati katika kuhakikisha mafanikio ya wenzao. Nashauri wakuu ndani ya JamiiForums wauwekee "sticky" huu uzi ili iwe rahisi kufikika na kutambulika na wadau wengi zaidi na zaidi.

Vilevile, kwa wale mlio-share uzoefu wenu kuhusu ughaibuni, nawashukuru sana, kuna wakati nikisoma baadhi ya maoni nakumbuka mbali sana. Msiache jamani, hizo nondo ni muhimu mno.

Kaka ...
 
Safi sana moyo wa kipekee jmn kiukweli kuishi nje maisha tofauti na bongo opportunity nyingi uwe tu mjanja mi nimeishi bara la asia miaka 3 ila for now am looking forward kwenda kujilipua nchi zenye maendeleo makubwa
Tuunganishe basi njia za kufika huko.kila mtu anatamani kufika kama si kupitia njia ya masomo basi kazi ,km si kwa njia kazi basi mwaliko kutoka kwa watu km nyinyi wenye uelewa na mioyo ya kusaidia watanzania wenzenu.
Kiukweli I wish hata kesho nipate scholarship au mwaliko wa kuondoka Bongoland life gumu unafanya kazi lakini bado havisomeki.
 
Pole kavel nilikuwa nimeanza kukusikitikia kwamba umeonesha nia sana then mwishoni upotee....pls ukiwa nina shida ndogo ndogo kama hizo unatucheki wadau! Next time ukihitaji pc na internet sema wadau tukusaidie! Hongera kwa kufanikisha
Exactly mkuu, tusioneane aibu kwa vitu ambavyo sisi kwa sisi tunaweza kusaidiana. Ila labda kwasababu huwezi kujua location ya mtu kwa hapa.
 


Mkuu, am in
Uwezo wa kuwahost ni asilimia 100, just check with me any time
 

mkuu nakufatilia vizuri sana
Hujui tu Mungu atakubariki kwa kazi kubwa unaifanya. in this information age, the kind of information youprovide for us, no one can do that, information is for sale. GOD BLESS YOU

i am in kwa kuhost hao wageni
nina Masters ya project, so uandishi wa project na proposal hapa ndio nyumbani, so count on me.

Hivi ubalozi wa Italy hapa Dar upo wapi?
 

MKUU
sijafika ulaya, lakini Tanzania kuna changamoto nyingi sana za kiuchumi. fulsa zipo lakini inaweza kukuchukua mpaka miaka kumi adi kumi na tano kufikia mafanikio ya ndoto zako. napo kwa mbinde pamoja na kua na connections za kutosha selikalini. ninachoamini ukienda ulaya unakua na malengo, unawekeza tz. kuna watu nawazi elimu mbali sana, walienda ulaya miaka mingi, kiuchumi siwagusi hata kwa chembe, hizi odd jobs, tz hazilipi, utazeeka jumla, ulaya odds jobs ndio mtaji
 
Kamwe usije kuthubutu kusafiri nje ya nchi kama wewe mwenyewe hauna nia, usishawishiwe na watu, kuna wengine mawazo yao hayapo nchini kabisa wanawaza mbele tu, ni vizuri ukafuata moyo wako, kila mtu anaweza kusafiri nchi yeyote anayoitaka na kuishi huko, kitu ambacho unatakiwa usikisahau kokote huendapo ni Mungu tu, ukijisikia kusafiri nenda, wacha kusikiliza maneno ya watu
 
Please tell me where is a good place in SA to raise children's?although I prefer Johannesburg,but I'm not sure if it is safety?I know at least Cape town and Port Elizabeth is good place for foreigners,but need to stay Johannesburg because it is a business city and I would like to make some business there ili kusukuma maisha.Some one say that there are good place in Gauteng,especially Sandton,Morningside na kwingineko.But it is expensive to get apartment ingawa no problem to me.Jee kama unakaa maeneo hayo and watoto wanasoma let say Kwazulu Natal jee Kuna shida ya usalama?I know mtu anaweza kuuliza why SA?Ni kwamba it is cheaper country to live in.Ikiwa wafungwa wao mboga inayo wakera ni kuku unategemea nini???Kuna jamaa anaitwa Kinega aliendaga akiwa hajui Ata kuendesha mkokoteni,but jamaa mpaka akaweza kuendesha BMW na akawa anaingia mpaka kwenye show za Snopy na Jay Z,wakati Mie sijawahi Ata kuingia kwenye show ya Kingwendu bhana!
Yani Kinega mpaka akamla mtoto WA kamanda "San-Siro" WA Johannesburg bhana,no I'm going to SA.
Nipeni mwongozo,maana europe wanabana sana now days.
Plz fungukeni.
 
Ubaloz wa italy bongo upo Oster bay. Panda gari za posta---- mwenge / m/nyamala shuka kituo kinaitwa palm beach uliza hapo
 
MAXCENCE MELLO/INVISIBLE

NGOJA NIKURAHISISHIE KAZI KUHUSU JUKWAA LA DIASPORA (WENGINE MNAWEZA KUMTUMIA PM NA HII POST ILI ATUWEKEE SUBFORUM YETU)


Ndani yake kutakuwa na subforums 3 hivi

1. LIVING/MOVING ABROAD (sasa hiumu ndio kila mtu ataangalia wapi anaishi au anataka kwenda kujilipua etc then ataanzisha thread yake) at later stage tutakuwa na sticky ili maswali yasijirudie rudie

AUSTRALIA & NEW ZELAND

CANADA

EUROPE

FAR EAST & ASIA

MIDDLE EAST

USA

LATIN AMERICA

2. WORKING ABROAD
Hii itakuwa ni self explanatory na kutakuwa na sticky threads mbali mbali za profession hivyo hakutokuwa na haja ya kuchanganya maswali ya kazi sticky zitakuwepo za kazi za Accountants, Electricians, Information Technology, Nurses, Doctors, and other Medical/Healthcare occupations, Plumbers, Police, Teaching, Trucking Electrician

Pia kutakuwa na threads za Job offers

na thread maalum kwa watafutaji kazi yaani jobs wanted

3. THE LOUNGE GENERAL DISCUSSIONS
Hapa kutakuwa na threads za kinachoendelea ulipo kuanzia issue za kuoa ili kupata makaratasi, kesi za kuacha mke, kuficha pesa,meet up, connections za wana diaspora na bila kusahau kutakuwa na special thread ya KURUDI NYUMBANI NA CHALLENGES, diaspora wanauza bidhaa zao, nk
 
Wakuu, habari za mchana huu.

Just to share some update:

As I made you aware of the challenge I faced tangu juzi, hatimae nilifanikiwa kuituma kazi husika as per mkuu izzo's directive. I am now therefore waiting to hear from his/their end for further undertakings if God gives it 'green light'.

So nimesha-press ball to mkuu Izzo. I have done my best, God will do the rest.

That's the latest ground so far regarding my case. I will timely keep you posted on any progress.

Up to this stage, I am sincerely thankful to all of you for being ideal and cooperative in this useful discussion. Let's carry-on being supportive to each other. Despite all the life downsides that we are going through, tutatoboa tu. Penye Nia pana njia.

Barikiwa wote ndugu zangu watanganyika. Special thanks be extended to mkuu Izzo for his bright heart... he really sounds willful to brighten our upstairs toward success.

-Kaveli-
 


Mkuu Dr.adams faida, shukrani kwa kunitakia heri katika hilo.

Kwakweli naamini kabisa uzi huu ni very inspiring kwa walio wengi.

I strongly believe uzi huu utawa-impact positively wadau wengi humu.

Tuzidi kuhabarishana ndugu zangu. Pia nakutakia kila jema ktk mchakato huu... We are all like-minded: kusepa ng'ambo, now or in near future.

-Kaveli-
 
All da best mkuu. Mungu abariki juhudi zako na za wanajukwaa wote, izzo na lussungo kwa harakati hizi.
 
God bless him,
Nimefurahi sana kuona Kaveli amekamilisha,
manake alivyokuwa anachelewa na izzo analalamika basi roho ilikuwa inanidunda kwa kuhofia kuipoteza nafasi,
Mungu mkubwa amekamilisha,
and now nina amani


Kiongozi STUNTER, daaah nafurahi to read your lines. I am really humbled!

Kwakweli mie pia nilikuwa under pressure kutoikamilisha hiyo kazi, yaani nafsi ilikuwa inanisukuma nonstop! Pamoja na changamoto nilizonazo, niliweza kuituma kazi na ndipo roho ikacool. Sasa nasubiri Mwenyezi Mungu afanye wepesi. Zangu dua.

Mkuu Stunter, much thanks for your kind words. Barikiwa.

Nakuombea sana when the Hosting episode is On, uwe ni miongoni mwa key task force players.

-Kaveli-
 
Pamoja mkuu.
 
Reactions: Qj_
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…