Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Tz kwa sasa hali ni mbaya sana. Haijulikani kwamba uchumi wetu ulikuwa fake au kitu gani. Wengi wamekwama, wapo waliotaka kumalizia nyuma zimeshindikana, wapo waliotaka kufungua biashara mazingira hayaeleweki kabisa.
 
Pole kavel nilikuwa nimeanza kukusikitikia kwamba umeonesha nia sana then mwishoni upotee....pls ukiwa nina shida ndogo ndogo kama hizo unatucheki wadau! Next time ukihitaji pc na internet sema wadau tukusaidie! Hongera kwa kufanikisha


Though Life is a rough battle ground, still earth entails wise n' nice people. Mkuu wiseboy, your nick n' words do reflect something unique in your heart! Keep up such spirit.

Ahsante sana ndugu angu. Umeonesha kujali hadi nimefurahi.

Tupo pamoja mkuu.. a lot of blessings to you sir.

-Kaveli-
 
Mkuu kavelli a wise man once said tough times never last in life but tough people always do. Keep pushing to the limit # supported by izzo through God#


Yep Mkuu Cole, you are damn right...

When the going gets tough, only the toughs get going.

Let's not be hesitant to keep the moving when the situation gets harder.

Tuendeleze harakati. Let's keep the fire burning!

Thanks for support.

-Kaveli-
 
Pole sana I wish I could be among of people to help you.
Umeniliza mkuu umeandika kwa hisia sana
Nakuombea ufanikiwe in Jesus name.


What a touching post!

Mkuu Shyshii, let such helpful spirit be more thrived by blood of Jesus, and you get more return out of it.

Barikiwa sana mpendwa kwa kujali. Umenigusa sana mkuu.

-Kaveli-
 
Kaveli, nimefurahi mkuu. Ni maombi yangu kuwa Mungu aliyekufungulia Mlango azidi kukufanikisha nawe uje kuwa msaada kwa wengine.


Madam Prishaz, I am humbled at forefront just to read your nice words.

Nasema Ameen kwa hizo dua zako njema juu yangu. Kwa imani, Mwenyezi Mungu atatuonesha njia sote na tuwe msaada kwa wengine wenye shida na uhitaji. Maisha ni foleni, naamini sasa zamu yangu yakaribia. Been in a queue since time immemorial, Mola afungue milango sasa.

Ahsante sana mkuu Prishaz. Mungu akutangulie wewe na familia yako. Blessings mingi mingi.

-Kaveli-
 
Kila lililo jema kwako Kaveli. Amini MUUMBA ni mkuu daima. Shukrani kwako Kaka Izzo.
 
Asante ndugu angu. Umenena kweli mkuu... kwamba tuwe tunafunguka maana jambo laweza kuwa zito kwangu ila kwa mwingine ni jepesi sana.

Respect mkuu. cheers

-Kaveli-
Tuko pamoja mkuu.
 
Amen! Ameeen..!
Wacha tusubirie matokeo mema cuz our God is awesome
 

Mkuu hii ndoto ya OZ nimekomaa nayo ni zaidi ya miaka 4 mpaka sasa lakini holla!
Nilichokuwa nahitaji nikupata host wa kumtembelea hata kwa muda wa mwezi mmoja tu unanitosha. Mengine ningejiongeza huko huko.
Uzoefu wangu mimi ni Mining, Esp. Drilling (Diamond Drilling) nina uzoefu wa zaidi ya miaka 10. Training zao za kupata LICENSE zao mpaka ukiwa oz kwenyewe. Ila kibongo bongo ukiwa na magamba ya kwao huku bongo kupata kibarua kwa urahisi ni kufikia ukizingatia kuwa mpini wa Mining wameshikilia wao.
 
Ubaloz wa italy bongo upo Oster bay. Panda gari za posta---- mwenge / m/nyamala shuka kituo kinaitwa palm beach uliza hapo
Palm.beach sio Oysterbay. Ubalozi uko upanga nyuma ya Palm.Beach Hotel hatua chache toka ubalozi wa Burundi
 
Kweriiiiiiiiiii
 
Yaani mkuu kaveli nafurahi sana kusikia umefanikiwa kutimiza project uliyokuwa umepewa maana last time tukiwa tunachangia hapa kuhusu option namba mbili ya hosting wageni ulipata fursa ya kuandika hii makala inayohusu mambo ya hali ya kiuchum na kuondokana na changamoto ..sasa Jana nikiwa nasubiria mrejaa kutoka kwako nikaona kimya then baada ya muda nikaona mkuu Izzo anakuulizia. Sema kweli sikupenda wala sikutaka kuamini utaikosa hii nafasi mkuu kaveli ila Mungu ni mkuu Leo nimepitia kurasa za huu Uzi nikiwa very eagerly to know what's happening huku nafsi ikiniambia atakuwa ametokea na shukrani nikaona post yako ukielezea mambo yaliyokutokea na mwishowe umefanikiwa......Sasa mkuu Kavel dua zetu zipo na wewe.....tunaimani utapata nafasi .

Cc Mkuu Izzo dua zetu zipo na kwako pia Mungu akujalie wepesi na akutangulie kwa kila hatua ili kwa Watanganyika na sisi tuweze kutoka huku
 
Unamzungumzia kinega yupi mkuu hebu tupe historia yake ya maisha mpaka kufanikiwa?
 
wapo wengi wa hivyo... ila siku yao inakuja ya kuinama na kutazama chini...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…