Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Heshima kwako izzo. Nakupa hongera kwa huo moyo na pia kwa kuonyesha amani yako iliko. Wale ambao watabahatika kuwapokea hao wageni mnatakiwa kuwa makini sana. Anachokisema izzo kinamaana kwa upande Wale na wetu. Kumpokea mgeni ni tofauti na kumpokea nduguyo. Tuko hapa kwa kujenga na si kubomoa. Wao wanadhamini sana usalama wao kuliko kitu kingine. Ni vizuri ukaelewa mazingira yako yalivyo, hali ya usalama kila mmoja anaelewa enero lake lilivyo. Hakikisha unaomuda mzuri wa kuwa karibu na mgeni wako la sivyo usijeukashangaa amekaa wiki akaomba aende kwa mtu mwingine. Chunga sana marafiki pamoja na jamaa zako kwani wanaweza kuwa chachu au sumu katika mafanikio yako. Anza kujifunza maisha ambayo hayataweza kujitofautisha sana na jamii yako pindi utakapopokea mgeni kwani yataweza kuanza manejo kuwa umebadilika baada ya kupokea mgeni na hivyo chuki na fitna zikawa juu yako. Watanganyika tujifunze kusoma mambo ya saikolojia kidogo ili kujua mapema kama kuna kwazo kwa mgeni kwani anaweza asikwambie moja kwa moja ila wakawa wanawasiliana wao kwa wao na hivyo italeta picha mbaya baina ya mahost. Ni vizuri wale host wote wakajua nini hasa wanachohitaji kutoka kwa hao wageni na wakaanza kujifunza mambo madogo madogo. Wazungu wachache watakwambia umekosea ila wengi wana fake smile akirudi kwao ndiyo madudu yote anayaandika. Handling, care, security, humanity. Wewe uko badala ya izzo hivyo usitake kumfanya izzo apate picha mbaya. Hata kama kuna kasoro unayoiona kwa mgeni mwelekeze vizuri maana kila mmoja amekulia katika mstari tofauti na malezi tofauti. Ukikorofishana na mgeni taffaadhali naomba usiseme ngoja nifanye hivi ili na wengine waharibikiwe. Huwezi jua huyo mwingine atakuja kukunyanyua vipi. Wote tu wamoja na lengo ni kubadili mfumo wetu wa maisha.

C. C wale wote wenye imani na wenye mapenzi mema kwa wanajamii
 
Mkono wa Muumba uwe juu yako. Utafanikiwa ndugu hiyo ndiyo imani yangu kwako
 
Wapendwa, salaam. Naomba mtu yeyote anayeweza kunisaidia kupata scholarship kwenye nchi hizi, DK, Sweden, Australia, Belgium, Germany, USA, ajitojeze uchakavu upo akifanikisha hilo. Nshachoka na hadithi zenu za kina bashite.
acha kukurupuka. Anza kusoma nada kuanzia mwanzo utaelewa. Unasema umechoka na stori zetu za bashite kwani umeona anajadiliwa mtu hapa? Kuwa na busara. Wengine wanapitia uzi mzima ndiyo wanajielezea shida zao kistaarabu
 


Izzo naimani Mungu atakuonyesha sehemu sahihi. Sintapenda kusukia kuwa umepata matatizo. Najua wengine wanataka kuwa host bila kujichanganua kwamba wapo tayari au la. Wengine baada ya kusoma huku ndiyo kama vichwa vimefunguka. Jamani kuwa host yahitaji utayari. Tuwe makini
 
Asante kaka, tuko pamoja
 
acha kukurupuka. Anza kusoma nada kuanzia mwanzo utaelewa. Unasema umechoka na stori zetu za bashite kwani umeona anajadiliwa mtu hapa? Kuwa na busara. Wengine wanapitia uzi mzima ndiyo wanajielezea shida zao kistaarabu
Asante sana Mkuu Marveljt. Wengi hufikiri kila mahali ni mizaha.
 
Kiukweli hapa no zaidi ya umakini napia cyo fom tuu ya maelezo iwe nisehemu ya sheria na usalama zaidi kwa mgeni kwa yeyote atakae mpokea kwani akiharibu huyu mwenyeji ni mpaka ninyi huko mnapakwa matope kwa kosa la huyu wa huku hivyo hili jambo lichukuliwe kwa umakini wa hali ya juu ukizingatia bado safari ni ndefu na huu ndio mwanzo tuu mmeanza hivyo ni vyema kuwe na umakini wa hali ya juu na sifa za kijinga zisiwepo watu wawe siriouz katika hili maana haya ni maisha ya watu.
 
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 


Vigezo /masharti mengine kaka!
 
Mkuu tupe full story, hasa sisi vijana ambao tunataka kujilipua kwenda nje ya nchi inatakiwa tujifunze mengi sana kutoka kwenu.
kwanza ni lazima ujue kua wazungu wanapigania furaha kuliko pesa na ndio maana akimpata mwanaume asie na pesa kama atamfurahisha hataweza mfananisha na mwenye pesa ambae hayupo nae

Pia unapoanza kumtumia ujumbe wa maandishi usimtumie ujumbe wa "Hi" hi haivutii sana na haitampa hamasa ya kukujibu ujumbe wako kwa wakati au anaweza asijibu kabisa kwasababu wengi wanaomtumia au wengi hutumia ujumbe huo usio na mvuto au anaweza akaupuuza ila unachotakiwa kutuma ni "Hello" kabla hajajibu mtumie ujumbe wa kumsifia kidgo kama "You look so beautiful/ attractive/ stunning na so cool" kwa kumsifia hivyo kidgo kutampa hamasa ya yeye kutaka kukujua zaidi anaweza akajibu ujumbe wako wa bashasha akitegemea anatumiana ujumbe na mtu atakae mfurahisha na kumpa tabasamu muda wote

vitu vya kwanza ambavyo utatakiwa kujua na hata yeye atapenda kujua ni hali ya hewa au unamuuliza " what time is it there" huu ujumbe nilazima atajibu au "what are you doing for living" vitu anavyopenda lakini haina ulazima wa kujua vitu anavyochukia

mkishazoeana MPE ratiba yako ya kirasiku kwamba kama unafanya kazi basi ajue majira ya Tanzania na wewe uyajue majira ya kwao kwamba muda unaoenda kazini ajue kua upo kazini na muda utakaokua home ajue upo home na kama hauna kazi mwambie kua sina kazi hatakukimbia
usiweke papara ya kutaka kumtongoza kwa siku ya kwanza na kama atakwambia ana mchumba tulia endelea kuchati nae isla kwa mambo ya kawaida things change baadae utashangaa anakupenda na kuhitaji kua na wewe pia kua mtu wa kumshauri mambo mazuri


Do not go with the long face just play it cool
 
Naona darsa linaendelea.
 
Asante sana. Tunaruhusiwa hata kuwashirikisha marafiki juu ya hili mkuu Izzo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…