Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Mkuu,

Wakati nasoma sekondari nilikutana na jamaa mmoja Mswidi, alikuwa akifundisha IST (mimi sikusoma shule hiyo). Siku moja alikuja shuleni kwetu (akiwa katika matembezi ya kawaida na alipenda sana kupiga picha) mimi nikampokea (nilikuwa mwenyekiti wa mwanzilishi wa English club shuleni). Baada ya kumaliza ziara yake, urafiki wetu uliendelea. Uzoefu wangu ulianzia kwake. Hakuishi Tanzania kwa muda mrefu na aliporudi kwao, aliwaelekeza wageni wengi (waliotaka "reference") kwangu na niliwapokea na kuishi nao kwanza ilikuwa nyumbani kwetu na baadae kwangu kwa kipindi kirefu. Wakati fulani nikasafiri na nikapoteza mawasiliano mengi (wajanja waliingilia email yangu) na zoezi lile sikuilifanya tena. Hicho kilikuwa ni kipindi "internet cafe" ipo chuo kikuu UDSM na ilikuw unalipa Tzs. 3000 nusu saa na Kariakoo, Mussa telecommunication unalipa Tzs. 4000/- nusu saa, simu tunapiga kwenye vibanda dk.1 Tzs. 500/-

Kaka ...
Mkuu umesema upo tayari kuwa host if I'm not mistaken!
 
Canada kupata kazi ni rahisi mno mno... Sasa sijajua requirements za hiyo form ni nini but kikubwa kuliko vyote ni valid passport tuuu yenye uhai....
ubarikiwe aisee...unajua mi.mwenyewe wakati natafuta schengen visa ya.uholanzi nilikua natishwa sana sijui lazima bank ststement ishibe...huwezi amini booking nilifanya booking.com zile za kucancel baada ya wiki na statement ilikua na laki 2 mbili tu ila kuna jamaa kama wewe alinifariji...thanks boss ubarikiwe
 
Du mkuu kumbe ni muda sana nafikiri ilikuwa kipindi hayati mwalimu nyerere yu hai.
Je wewe ulipataje fursa ya kufika ughaibuni na ninafikiri mpaka sasa upo huko njia ipi ulitumia kuta viza mpaka kupata PR huko uliko?

Mkuu,

Mimi niko hapa hapa nyumbani Tanzania, nina familia na nafanya shughuli zangu hapa hapa. Nimewahi kutembelea nje lakini ni kwa mwaliko/kikazi na kwa kufuata utaratibu ambao wenzangu wameuelezea vizuri tu humu. Umri haujanitupa mkono kutoka kwa sasa lakini ninahitaji kujipanga haswa. Ila ukiwa na dhamira ya kweli kabisa utafanikiwa na nawashukuru sana wote wanaochangia hoja/mawazo/maoni elekezi (constructive ideas) kwa wanaohitaji kusafiri nje ya mchi kutafuta maisha.

Shukrani tena wote. Msiache moyo huu!

Kaka ...
 
Mkuu mtandao huko vizuri ila ningependa na huu ni ushauri so kila mtu anaweza kuchangia hoja au kushauri host wa nje mara nying atakuhost kwa muda fulani so unajua siku zote unapokwenda kwa mtu unakosa uhuru wa kumwambia au kufanya kile unachojisikia ni kama umepewa lift na mtu husiye mjua mara nyng unakuwa umetulia na aliyekupa lift ndio anakuwa mwanzisha mazungumzo ww unakuwa mchangiaji tu je ikitokea aliyekupa lift amekaa kimya na ww utakaa kimya tofauti na mtu akija kwako

So mtu anapokuja kwako unakuwa na uhuru wa kuongea chochote so kupitia fulsa hiyo ndio kitu kinaitwa conection na bond zinapojengwa so utapanga na yule aliyekuja kwako siku ukienda kwao atakuwa anajua kila kitu kwani utakuwa umeshamwabia toka huku so kama ikitokea ukabahatika akawa mpenzi wako au rafiki yako juhudi ni zako mwenyewe

Note :Mara nying host wa nje wanajua umekwenda kutembea tu then unarudi kwenu so utakapo mwambia unataka kuzamia au kuendelea kukaa itakuwa ni mshituko kwake kwani atakuwa ajajiandaa na tukio hilo lakini huyu ambae utamuhost ww nadhani utamwambia so wakati anaondoka anajua mission yako siku ukienda atakuwa anajua mbivu na mbichi

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Asante kwa kutuwekea fulsa hii
Tena km mimi nipo pande za kaskazini mwa Tanzania kuwatembeza tuu it will be so simple,tuunganishe mkuu kwa upande wangu sitakuangusha mkuu.
 
Mkuu mtandao huko vizuri ila ningependa na huu ni ushauri so kila mtu anaweza kuchangia hoja au kushauri host wa nje mara nying atakuhost kwa muda fulani so unajua siku zote unapokwenda kwa mtu unakosa uhuru wa kumwambia au kufanya kile unachojisikia ni kama umepewa lift na mtu husiye mjua mara nyng unakuwa umetulia na aliyekupa lift ndio anakuwa mwanzisha mazungumzo ww unakuwa mchangiaji tu je ikitokea aliyekupa lift amekaa kimya na ww utakaa kimya tofauti na mtu akija kwako

So mtu anapokuja kwako unakuwa na uhuru wa kuongea chochote so kupitia fulsa hiyo ndio kitu kinaitwa conection na bond zinapojengwa so utapanga na yule aliyekuja kwako siku ukienda kwao atakuwa anajua kila kitu kwani utakuwa umeshamwabia toka huku so kama ikitokea ukabahatika akawa mpenzi wako au rafiki yako juhudi ni zako mwenyewe

Note :Mara nying host wa nje wanajua umekwenda kutembea tu then unarudi kwenu so utakapo mwambia unataka kuzamia au kuendelea kukaa itakuwa ni mshituko kwake kwani atakuwa ajajiandaa na tukio hilo lakini huyu ambae utamuhost ww nadhani utamwambia so wakati anaondoka anajua mission yako siku ukienda atakuwa anajua mbivu na mbichi

safi sana, muhimu kufunguka kabla hajaondoka
Mkuu izzo tuangushie hizo connection

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
 
ubarikiwe aisee...unajua mi.mwenyewe wakati natafuta schengen bisa ya.uholanzi nilikua natishwa sana sijui lazima bank ststement ishibe...huwezi amini booking nilifanya booking.com zile za kucancel baada ya wiki na statement ilikua na laki 2 mbili tu ila kuna jamaa kama wewe alinifariji...thanks boss ubarikiwe
Amen... Karibu sana... Hizo bank statement kwanza unaweza hata ku edit.... Wengi hufanya hivyo... Unapeleka statement ina 20M kumbe uongo na wala hawafuatilii unapewa visa kiulainiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kikubwa kupambana!!
 
Mkuu,

Wakati nasoma sekondari nilikutana na jamaa mmoja Mswidi, alikuwa akifundisha IST (mimi sikusoma shule hiyo). Siku moja alikuja shuleni kwetu (akiwa katika matembezi ya kawaida na alipenda sana kupiga picha) mimi nikampokea (nilikuwa mwenyekiti wa mwanzilishi wa English club shuleni). Baada ya kumaliza ziara yake, urafiki wetu uliendelea. Uzoefu wangu ulianzia kwake. Hakuishi Tanzania kwa muda mrefu na aliporudi kwao, aliwaelekeza wageni wengi (waliotaka "reference") kwangu na niliwapokea na kuishi nao kwanza ilikuwa nyumbani kwetu na baadae kwangu kwa kipindi kirefu. Wakati fulani nikasafiri na nikapoteza mawasiliano mengi (wajanja waliingilia email yangu) na zoezi lile sikuilifanya tena. Hicho kilikuwa ni kipindi "internet cafe" ipo chuo kikuu UDSM na ilikuw unalipa Tzs. 3000 nusu saa na Kariakoo, Mussa telecommunication unalipa Tzs. 4000/- nusu saa, simu tunapiga kwenye vibanda dk.1 Tzs. 500/-

Kaka ...
ps chengine unajua wabongo tukiona wazungu tunajishtukia sana kuwaongelesha labda ngozi ila mi last month natoka gomz nmepanda na wajeruman wawili madem na mmoja boyfriend wa dem mmoja ndo katokea ujeruman..sikushobokea madem ila kupiga stori.na jamaa yuko peace sana uzuri sikuhizi mambo ya whats app sijui instagram..amekua bonge la mshkaji yaani na ukimtoa out usimdondokee sana hadi ajishtukie sometimes simamia game akuone independent
 
Sawa sawa mkuu... Mungu akubariki sana.... Naamini tutafanya kitu hapa watu waamke.
kweli aisee
Mkuu hyo ya Canada ni Option number 3 kuna jimbo linaitwa Quebec Mission na Project yetu itakijita ndani ya Quebec
boss naomba muwe mnanitag kukiwa na.madini maana vibarua vya wakenya kama wahindi na watoto lazima wale aisee..mbarikiwe
 
Mimi nataka kwenda Denmark. Naomba jinsi ya kuingia na fursa zilizopo huko zisizohitaji elimu.yaani nguvu kazi.
Nilikaa Denmark mwaka, ni nchi ya watu wastaarabu Europe nzima, ni wapole na wenye upendo. Kazi za mikono kibao.

Kama alivyosema Lusungo kwamba kuna njia mbalimbali na sababu zaw kukupeleka huko ikiwa ni pamoja na Kuomba kwenda kusoma, kualikwa na rafiki/ndugu/mwenza au masuala ya utamaduni....

Omba Mungu upate Denmark ni pazuri sana......
 
ps chengine unajua wabongo tukiona wazungu tunajishtukia sana kuwaongelesha labda ngozi ila mi last month natoka gomz nmepanda na wajeruman wawili madem na mmoja boyfriend wa dem mmoja ndo katokea ujeruman..sikushobokea madem ila kupiga stori.na jamaa yuko peace sana uzuri sikuhizi mambo ya whats app sijui instagram..amekua bonge la mshkaji yaani na ukimtoa out usimdondokee sana hadi ajishtukie sometimes simamia game akuone independent
nakubali hoja
 
Nilikaa Denmark mwaka, ni nchi ya watu wastaarabu Europe nzima, ni wapole na wenye upendo. Kazi za mikono kibao.

Kama alivyosema Lusungo kwamba kuna njia mbalimbali na sababu zaw kukupeleka huko ikiwa ni pamoja na Kuomba kwenda kusoma, kualikwa na rafiki/ndugu/mwenza au masuala ya utamaduni....

Omba Mungu upate Denmark ni pazuri sana......
Ni kweli, Denmark imeshika namba moja kwa nchi zenye furaha zaidi duniani.
 
Ndugu zangu watoa ushauri tunawashukuru saana. Binafsi nimefarijika kuwaona mpo nasi hapa kutusaidia namna ya kupenya. Asanteni kwa hilo lusungo izzo na wengineo. Niseme tu kwa maelezo yenu kutoka nje na kufanikiwa kupata paper sio kazi nyepesi kama wengi tulivyokuwa tunategemea au tulivyoaminishwa na maagent tuliokutana nao. Labda walitaka tuwape pesa then turudishwe airport turudi bongo tuendeleze hii hali ngumu.

Najua bado mnaendelea kutushauri njia za kupita ila naomba nitoe changamoto zinazotugharimu sisi kama wahitaji msaada. Binafsi ningeshakuwa Scandinavia siku nyingi maana mipango nilianza kitambo since 2015. Lakini nilikosa miongozo nilijua ni sawa na kwenda kenya tu maana nimekaa kaa kenya. Ok Nikianza na njia ya kwanza ya izzo ya malta changamoto zake hizi hapa kwa sisi waendaji....

1. Kupata host agent wa kuaminika. Kama mnavyojua kuna maagent wazinguaji kama kina britanicca binafsi alitaka kunipiga nikamgundua mapema. Maagent tunaokutana nao wanamilolongo mingi hawapo serious hasa wa bongo. Laiti kama tungewapata maagent watushughulikie visa na sehemu ya kufikia kwa muda hukk nchini malta tungejilipua hata kuanzia kesho au kesho kutwa. Lakini maagent wengi ni wa Asia countries kama oman, Qatar, dubai n.k

2. Ni namna ya kupata visa na namna ya kuendelea kuishi ukishafika nchi ya watu. Kama mnavyojua visa zinataratibu zake za kuipata. Na rahisi ni tourist kwa malta kwa mtu kama mim niliye na passport tu. unakuta unayo passport na vipesa vyako vipo mkononi. Suala linakuja sasa je uombe visa ya tourist ama! Na ukishaipata ukifika malta utumie mbinu gani kuishi maana visa ikiisha utaishi maisha ya shida ya kukimbizana na polisi na hatimaye utarudishwa kama izzo alivyosema. Tukija kwenye mtu wa kukuinvite.. huko malta unakuta hauna mtu na ukisema ukae hotelini au upange huku ukiwa na tourist visa mpaka umalize miezi si utakuwa unatumia kiasi kikubwa cha pesa ambacho kitashindikana kukimudu ukitegemea haufanyi kazi maana aina ya visa haikuruhusu! Binafsi hii ni changamoto maana njia ya malta Nimeipenda saana. Hapa mtu ukipata invitation inakuwa ni rahisi kidogo. Na bado akikuinvite muda si utaisha? Je paper zitapatikanaje?

3. Kuna suala lingine hili la ndoa au uchumba mmeliongea saana lakini sio simple brethren kihivyo. Online dating ni kazi saana hata mtu wa nje kukujibu text au call yako ni kazi. Sometimes ni kubahatisha. Je na visa yake ipoje inahitaji criteria gani? ni mbinu gani zingine kuwakamata hawa watu? Kwenda na tourist visa ukiwa na lengo la kuhook kwa lifemate ya visa yako? Je ukikosa! Ingawa kwenye kutafuta tunatake risk ila tunatakiwa kujiuliza hayo maswali. Ukikosa kwa huo muda si itakuwa ni kazi bure! !.

Halafu izzo naomba utoe ufafanuzi juu ya hiyo visa ya uchumba. Inapatikana kupitia criteria zipi.
Ok kujibu maswali yako kwa ufupi

AGENT
Nimeshazungumzia aina za maagent na kazi au usaidizi wao katika mipango ya safari ambapo kuna aina 3 za maagent

So kama umesoma bandiko langu kuhusu Maagent na kazi zao ktk kufanikisha safari nadhani nilikuwa nakujibu ww
katika post ile

Mm najua maagent wengi lakini Option ya kupitia kwa Agent hasa wa Africa ni ngumu sana kutokana na siasa za uhamiaji kwa zile nchi zilizo kwenye A list

Pia unatakiwa kujua Agent ni Biashara kama zilivyo biashara zingine so siku zote mfanyabiashara wana vitu vitatu
1 kufanya biashara
hii aijalishi mazingira au athari ya biashara yake kwa jamii au mazingira

2 Ni kutengeneza faida
hii ndio option pendwa na wafanya biashara karibu wote duniani

3 Service (Huduma)
Hii ni option ya mwisho kwa mfanya biashara kwn kuna biashara zingine ni zahuduma kwanza ndio biashara kama biz ya kuuza majeneza au duka la madawa hyo kwanza ni huduma then ndio biashara lakn fedha kwanza ndio huduma wakt inatakiwa huduma kwanza ndio fedha

So kwa mifano hyo unaweza kuona wafanya biashara wanavyopenda fedha kuliko huduma so Agent wengi wa Africa anakufanyia mpango anajua kabisa kuwa ww ni lazima utarudishwa airport tu hata nje utapaona so unarudi wakat yy ameshapata fedha

Swali lako la pili VISA
Visa ukienda na tourist visa ni miezi 3-6 uwezi kufanya kazi ww ni wakukaa tu bhasi Malta wana aina 18 za visa ikiwamo visa ya uchumba

Raia yeyote wa Malta anayonafasi wa kuwa na mwenza hata nje ya nchi pia malta wanakubali uraia pacha so kama mkazi wa Malta amepata mchumba nje ya Malta anachotakiwa kufanya ni kwenda uhamiaji ya kwao na kueleza au kutoa taarifa zako na Uhamiaji wanapeleka taarifa hzo ubalozi ambao ww umeombea visa kumbuka mdhamini wako ni yule mchumba wako ambae yuko Malta na yeye ndio anakudhamini juu ya visa hii madhumuni ya visa hii ni kumpa nafasi shemeji au wifi kutoka taifa jingine kuja kujitambulisha ukweni so ukishafika Malta mambo mengine yanaweza kuendelea ikiwamo ndoa muda wa visa hii ni miaka 2 ambapo unatakiwa kubadilsha status ya visa kwenda kwenye RP kumbuka visa hii unaruhusiwa kufanya kazi ndani ya Malta

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
 
Ok kujibu maswali yako kwa ufupi

AGENT
Nimeshazungumzia aina za maagent na kazi au usaidizi wao katika mipango ya safari ambapo kuna aina 3 za maagent

So kama umesoma bandiko langu kuhusu Maagent na kazi zao ktk kufanikisha safari nadhani nilikuwa nakujibu ww
katika post ile

Mm najua maagent wengi lakini Option ya kupitia kwa Agent hasa wa Africa ni ngumu sana kutokana na siasa za uhamiaji kwa zile nchi zilizo kwenye A list

Pia unatakiwa kujua Agent ni Biashara kama zilivyo biashara zingine so siku zote mfanyabiashara wana vitu vitatu
1 kufanya biashara
hii aijalishi mazingira au athari ya biashara yake kwa jamii au mazingira

2 Ni kutengeneza faida
hii ndio option pendwa na wafanya biashara karibu wote duniani

3 Service (Huduma)
Hii ni option ya mwisho kwa mfanya biashara kwn kuna biashara zingine ni zahuduma kwanza ndio biashara kama biz ya kuuza majeneza au duka la madawa hyo kwanza ni huduma then ndio biashara lakn fedha kwanza ndio huduma wakt inatakiwa huduma kwanza ndio fedha

So kwa mifano hyo unaweza kuona wafanya biashara wanavyopenda fedha kuliko huduma so Agent wengi wa Africa anakufanyia mpango anajua kabisa kuwa ww ni lazima utarudishwa airport tu hata nje utapaona so unarudi wakat yy ameshapata fedha

Swali lako la pili VISA
Visa ukienda na tourist visa ni miezi 3-6 uwezi kufanya kazi ww ni wakukaa tu bhasi Malta wana aina 18 za visa ikiwamo visa ya uchumba

Raia yeyote wa Malta anayonafasi wa kuwa na mwenza hata nje ya nchi pia malta wanakubali uraia pacha so kama mkazi wa Malta amepata mchumba nje ya Malta anachotakiwa kufanya ni kwenda uhamiaji ya kwao na kueleza au kutoa taarifa zako na Uhamiaji wanapeleka taarifa hzo ubalozi ambao ww umeombea visa kumbuka mdhamini wako ni yule mchumba wako ambae yuko Malta na yeye ndio anakudhamini juu ya visa hii madhumuni ya visa hii ni kumpa nafasi shemeji au wifi kutoka taifa jingine kuja kujitambulisha ukweni so ukishafika Malta mambo mengine yanaweza kuendelea ikiwamo ndoa muda wa visa hii ni miaka 2 ambapo unatakiwa kubadilsha status ya visa kwenda kwenye RP kumbuka visa hii unaruhusiwa kufanya kazi ndani ya Malta

kirikou1 kweupee Hary Jay Ndata Prishaz WiseLady Mrike wembeee talentboy Dr.adams faida Daby Tombstone Piledrive Padri Mcharo Shyshii lucley kui tagamwa binti kiziwi dangadunguri Tembo2 lusungo kweupee pius1021 Prof cognition Agogo Jr Chakochangu soul provider Mrike
Hivi malta kwa utalii ipoje?
 
Asante mkuu....

Nilink na katoto ka kimalta basi mkuu...sitakuangusha nipate hiyo RP nikaangalie watu wanavyokula raha DL au sweden.
 
Du mkuu kumbe ni muda sana nafikiri ilikuwa kipindi hayati mwalimu nyerere yu hai.

Hiyo ni kitambo kidogo, nilipata mwanga (namaanisha "exposure") nilipojiunga na skauti nikiwa bado mdogo (darasa la 4 hivi). Nyerere hai tena na nguvu zake kabisa.

Je wewe ulipataje fursa ya kufika ughaibuni na ninafikiri mpaka sasa upo huko njia ipi ulitumia kupata viza mpaka kupata PR huko uliko?

Japo nimewahi kutoka nje ya Afrika na kuzuru nchi kadhaa duniani, nimetumia utaratibu wa kawaida kwa safari hizo, ni kupata mwaliko kisha safari ila sijawahi weka makazi huko kote na kwa sasa mimi nipo hapa hapa kwa JPM empire mkuu, nina familia na naendesha shughuli zangu pia. Haja ya kutoka bado ipo lakini inabidi kujiandaa haswa. Nawahamasisha wote wenye dhamira ya kweli ya kutoka kusaka ugali huko nje waende tena makumi kwa mamia.

Kaka ...
 
Back
Top Bottom