Ushauri, Maoni na Msaada: Kwa wanaotaka kujilipua nje ya nchi kusaka maisha, kusoma na kuwekeza

Hahahaha wazungu wengi tu wanashida na watu wa abroad ila hawajiwakilishi na wengine hawajui jinsi ya kupata mtu wa ng'ambo wakiamini hatuwapendi au hatuvutiwi nao nakumbuka niliwahi kua na mtu mweusi kutokka Virginia nilidumu nae sana ila yule aliniambiaga kua "I heard people there hates us" nikawmmwambia no "we love you" akasezidi kusema kua mnatuchukia kwa mambo ya hovyo nnchini kwetu nikamwambia mambo yenu tunayapenda na tunavutiwa nayo na yeye akasema "yani sisi huku wanaume walaghai sana" tyliongea mengi sana

wanapenda mtu anaejari pia najua utakua unatamani pesa sake please usiharakishe kymuomba pesa ya sina yoyote ila hakikisha mmedumu na haumkwazi onyesha kulidhika kua nae taratibu utaona anakuita mume na kuhitaji sana uende au aje akufate yeye wengi hua hawazungumzii swala la kukutumia nauli watataka kukufata au uende wewe sasa halo usivunge funguka kwa kumwambia sina pesa ya kutosha

dah ni mengi sana yapo ya ujuzi huu lakini ntazidi kuwasilisha vile nifanyavyo Mimi
Mkuu tupe full story, hasa sisi vijana ambao tunataka kujilipua kwenda nje ya nchi inatakiwa tujifunze mengi sana kutoka kwenu.
 
Nafasi za masomo Scholarship katika nchi zifuatazo za Ulaya magharibi na Marekani.

To study in Belgium:

  • VLIR-UOS Awards Scholarships – Graduate scholarships for international students from Africa, Asia and Latin America to study in Belgium on a development-related master’s degree or training program.
To study in Germany:

  • DRD-DAAD Merit Scholarships – Scholarships for sub-Saharan Africans to study a development-related master’s or PhD program in
    Germany.
To study in the Netherlands:

  • Netherlands Fellowship Programme (NFP) – Short course, master’s degree and PhD scholarships for African students to study in the Netherlands. 50% of budget goes to female applicants, while the other 50% is prioritized to applicants from sub-Saharan Africa**.

Nafasi za masomo nchini Marekani.

Fulbright Foreign Student Program – International scholarships for graduate students, young professionals and artists across the globe to study in the US for a year.
Stanford Africa MBA Fellowship @ Stanford University – Scholarships for Africans wishing to study at Stanford University’s Graduate School of Business on the MBA program. Applicants should show commitment to the development of their home country.
 
Uhamiaji wa muda mfupi kwa ajili ya kwenda kufanya kazi yaani "Tier 5 for temporary workers and exchange scheme".

Vibali hivi hutolewa kwa ajili ya kazi kama za kujitolea, utamaduni, kazi za kidini, na majukumu mengine ya kimataifa kama vile kufanya kazi sambamba na mtu fulani au kikundi fulani (job shadowing).

Kuna madaraja matano katika vibali hivi.

1. Ubunifu na michezo: - Kundi hili linawakilisha wanamichezo, wabunifu, na wasanii ambao watakuwa nchini Uingereza kwa muda wa miezi isopungua 12.

2. Kufanya kazi ya kujitolea- unapewa kibali cha kufanya kazi kwa kujitolea bila kupata malipo lakini unajimudu mwenyewe kwa malazi, chakula na fedha za kujikimu.

3. Watumishi wa Mungu - Kibali hichi hupewa wachungaji na viongozi wengine wa dini ambao wanakwenda kufanya kazi katika nyumba za ibada na kuhubiri.

4. Watumishi wa serikali na watumishi wa kazi za makubaliano ya kimataifa - hapa wanaingia watumishi wa umma, taasisi za serikali, wasaidizi maalum wa mabalozi na wale wanaojifunza kazi kwa vitendo.

5. Vijana au Tier 5 Youth Mobility Scheme - Hapa wanatajwa kuwa ni vijana ambao wana umriwa miaka kati ya 18 na 30 ambao wanakuwa wakiwawakilisha nchi zao katika kubadilishana utamaduni khasa katika maeneo ya biashara na utalii.

Kwa nia isiyo ya kiuchumi vijana hawa wanakuwa wakiruhusiwa kutembeleana na kujifunza kuhusu nchi zao na Uingereza.

Hizo ndizo njia mbalimbali za kupata kibali cha kufanya kazi nchin Uingereza.

NB:

Richard aliwahi kuishi na kufanya kazi nchini Uingereza, na baadhi ya nchi nyingine za Ulaya magharibi na mashariki na sasa amerudi Tanzania anajishughulisha na ujasirimali na ana kibanda cha kuchoma chips pale Kwamtgole wilayani Kinondoni.

Ila karibu kwa ushauri na mawazo.
Asante mkuuu.
 
Mwenyezi mungu naomba uusimamie uzi huu uweze kukaa miezi,miaka na miaka na vijana hawa ukawasimamie waweze kufanikisha kwa yale wayapiganiayo na mwisho tukapata mirejesho mingi juu ya wengi waliofanikiwa kupitia uzi huu.
Naamini na nitaendelea kuamini wapo waliojidhatiti kufanya maamuzi haya magumu ili mradi tu wafanikiwe na waje wazikomboe familia zao zilizo katika maisha duni.
Tuendelee kuombeana nashukuru wadau wanaendelea kuleta michango ya kutosha na mbinu mbalimbali lengo lililokusudiwa litimie nawashukuru sana wadau wote mnaojitoa kusaka data na mwisho mnazileta hapa tunashare wote.
Mi binafsi kwa muda sasa nimekuwa si mchangiaji sana ila kuna mambo napambana nayo niyakamilishe badae nitamwaga mchele hapa jamvini ili sote tunufaike.
Mkuu izzo lusungo Daby STUNTER Tokyo40 Kaveli Dumelang Richard meney9 dangadunguri Chillah
kirikou1
Na wengine wengi ambao wameonesha kuunga mkono harakati hizi kwa kutoa mawazo,njia na mambo mengi kemkem ambayo sote yanatujenga kwa namna moja ama nyingine kila kukicha najifunza vitu vipya sana ambavyo ni msingi mkubwa wa yale tunayapigania.
Nitaendelea kuomba mwenyezi mungu atusimamie na asikie kilio chetu kila mmoja wetu aweze kufanikisha kwa kile alichokipanga,

ASANTENI SANA....TUENDELEE KUPAMBANA NA KUPEANA MIREJESHO WAPI TUMEFIKIA.
 
Exclusive: Nafasi za kazi nchini New Zeland!

515953395.jpg

Nchi ya New Zeland imetangaza nafasi zipatazo 100 ambazo nyingi ni za fani ya ualimu wa kompyuta.

Kwa kupitia mpango maalum uitwao Looksee Wellington, ambao unashirikisha taasisi ya maendeleo ya kiuchumi ya mji wa Wellington na kampuni ya workhere New Zealand, nchi hiyo ina upungufu wa walimu wa ICT.

Katika mpango huo endapo unafanikiwa kujisali kwa ajili ya usaili , basi utaweza kulipiwa gharama zote za usafiri wa ndege na malazi ya hoteli vikichukuliwa kama vekesheni.

Usaili umepangwa kufanyika kati ya tarehe 22 hadi 25 mwezi Mei mwaka huu.

Hivyo kama unataka kufanya kazi nchini New Zealand au ni mtaalam tu wa IT basi unaweza kujikuta ukipata "free holiday", na una mpaka tarehe 20 March kutuma CV yako safari ikiwa kati ya tarehe 1-11 mwezi May.

Pitia zaidi hapa chini katika link ifuatayo kwa habari zaidi.

LookSee Wellington » WellingtonNZ.com
 
Ni kweli mkuu izzo, nimecheki email muda huu nimekuta link ambayo inanipeleka kwenye website, nimesha-sign up na tayari kuanza kujaza Application Form.

Leo naanza kuijaza. Inanibidi niikamilishe ASAP coz deadline ya ku-submit the application ni 1 April. So only 10 days to go.

Ahsante Izzo.

-Kaveli-
Please naomba Link nami nijaze kaka,nikapige kitabu
 
Huu uzi ni kati ya nyuzi bora kabisa kupata kuanzishwa hapa JF. Nimekua nao toka page ya kwanza nikilike kila kilichonivutia, ubarikiwe ndugu Lusungo hakika return ya ulichokifanya itakuwa kubwa sana ni suala la muda tu.
Kuna sehemu nacheka sana kama comments za mkuu Wonderful, una namna ya kuwafanya watu watabasamu, ubarikiwe.
Kuna sehemu hadi machozi yamenitoka kwenye Comments za mkuu Kaveli, you are such a wonderful creature, mkweli, muwazi, sio fake (kama watu wamefuatilia comments zako kwenye nyuzi mbalimbali humu JF). Hakika you have my prayers, Yule unayemuamini akupiganie katika kile chema unachokitaka maishani mwako. Halafu nimeupenda uandishi wako, kudos.

Mkuu Izzo uwepo wako ni ushahidi wa kuwa waTanzania bado wapo wenye roho nzuri sana, umekuwa msaada kwa wenzetu wengi wenye nia yakwenda nje kusaka maisha katika mtazamo mwingine.

Pia Mbarikiwe wachangiaji wote mliotoa miongozo, misaada, changamoto, na taarifa mbalimbali kuhusu nchi za wenzetu, mmpanda mbegu bora kabisa, jueni kuwa hamjaupoteza muda wenu bure. Kila la heri wote mnaofanya michakato yakuzama nchi za nje, wenye nia njema wote Mungu awaongoze.

Mwisho, kwenye kuhost hapo kama kuna mgeni anatakuwa interested kuja kanda ya kati (Dodoma) naomba nipewe nafasi, malazi yapo sehemu salama kabisa. Nina imani atakuwa salama.
 
Huu uzi ni kati ya nyuzi bora kabisa kupata kuanzishwa hapa JF. Nimekua nao toka page ya kwanza nikilike kila kilichonivutia, ubarikiwe ndugu Lusungo hakika return ya ulichokifanya itakuwa kubwa sana ni suala la muda tu.
Kuna sehemu nacheka sana kama comments za mkuu Wonderful, una namna ya kuwafanya watu watabasamu, ubarikiwe.
Kuna sehemu hadi machozi yamenitoka kwenye Comments za mkuu Kaveli, you are such a wonderful creature, mkweli, muwazi, sio fake (kama watu wamefuatilia comments zako kwenye nyuzi mbalimbali humu JF). Hakika you have my all prayers, Yule unayemuamini akupiganie katika kile chema unachokitaka maishani mwako. Halafu nimeupenda uandishi wako, kudos.

Mkuu Izzo uwepo wako ni ushahidi wa kuwa waTanzania bado wapo wenye roho nzuri sana, umekuwa msaada kwa wenzetu wengi wenye nia yakwenda nje kusaka maisha katika mtazamo mwingine.

Pia Mbarikiwe wachangiaji wote mliotoa miongozo, misaada, changamoto, na taarifa mbalimbali kuhusu nchi za wenzetu, mmpanda mbegu bora kabisa, jueni kuwa hamjaupoteza muda wenu bure. Kila la heri wote mnaofanya michakato yakuzama nchi za nje, wenye nia njema wote Mungu awaongoze.

Mwisho, kwenye kuhost hapo kama kuna mgeni anatakuwa interested kuja kanda ya kati (Dodoma) naomba nipewe nafasi, malazi yapo sehemu salama kabisa. Nina imani atakuwa salama.
Nashukuru kwa maneno yako matamu. Ubarikiwe.
 
Sina pasport, naweza Fanya application then swala la kufatilia passport likafata?
 
Uhamiaji wa muda mfupi kwa ajili ya kwenda kufanya kazi nchini Uingereza yaani "Tier 5 for temporary workers and exchange scheme".

Vibali hivi hutolewa kwa ajili ya kazi kama za kujitolea, utamaduni, kazi za kidini, na majukumu mengine ya kimataifa kama vile kufanya kazi sambamba na mtu fulani au kikundi fulani (job shadowing).

Kuna madaraja matano katika vibali hivi.

1. Ubunifu na michezo: - Kundi hili linawakilisha wanamichezo, wabunifu, na wasanii ambao watakuwa nchini Uingereza kwa muda wa miezi isopungua 12.

2. Kufanya kazi ya kujitolea- unapewa kibali cha kufanya kazi kwa kujitolea bila kupata malipo lakini unajimudu mwenyewe kwa malazi, chakula na fedha za kujikimu.

3. Watumishi wa Mungu - Kibali hichi hupewa wachungaji na viongozi wengine wa dini ambao wanakwenda kufanya kazi katika nyumba za ibada na kuhubiri.

4. Watumishi wa serikali na watumishi wa kazi za makubaliano ya kimataifa - hapa wanaingia watumishi wa umma, taasisi za serikali, wasaidizi maalum wa mabalozi na wale wanaojifunza kazi kwa vitendo.

5. Vijana au Tier 5 Youth Mobility Scheme - Hapa wanatajwa kuwa ni vijana ambao wana umriwa miaka kati ya 18 na 30 ambao wanakuwa wakiwawakilisha nchi zao katika kubadilishana utamaduni khasa katika maeneo ya biashara na utalii.

Kwa nia isiyo ya kiuchumi vijana hawa wanakuwa wakiruhusiwa kutembeleana na kujifunza kuhusu nchi zao na Uingereza.

Hizo ndizo njia mbalimbali za kupata kibali cha kufanya kazi nchin Uingereza.

NB:

Richard aliwahi kuishi na kufanya kazi nchini Uingereza, na baadhi ya nchi nyingine za Ulaya magharibi na mashariki na sasa amerudi Tanzania anajishughulisha na ujasirimali na ana kibanda cha kuchoma chips pale Kwamtgole wilayani Kinondoni.

Ila karibu kwa ushauri na mawazo.
Asante sana Richard.
 
Exclusive: Nafasi za kazi nchini New Zeland!

515953395.jpg

Nchi ya New Zeland imetangaza nafasi zipatazo 100 ambazo nyingi ni za fani ya ualimu wa kompyuta.

Kwa kupitia mpango maalum uitwao Looksee Wellington, ambao unashirikisha taasisi ya maendeleo ya kiuchumi ya mji wa Wellington na kampuni ya workhere New Zealand, nchi hiyo ina upungufu wa walimu wa ICT.

Katika mpango huo endapo unafanikiwa kujisali kwa ajili ya usaili , basi utaweza kulipiwa gharama zote za usafiri wa ndege na malazi ya hoteli vikichukuliwa kama vekesheni.

Usaili umepangwa kufanyika kati ya tarehe 22 hadi 25 mwezi Mei mwaka huu.

Hivyo kama unataka kufanya kazi nchini New Zealand au ni mtaalam tu wa IT basi unaweza kujikuta ukipata "free holiday", na una mpaka tarehe 20 March kutuma CV yako safari ikiwa kati ya tarehe 1-11 mwezi May.

Pitia zaidi hapa chini katika link ifuatayo kwa habari zaidi.

LookSee Wellington » WellingtonNZ.com
Shukrani sana mkuu Richard, kazi ni kwetu sasa.
 
Uhamiaji wa muda mfupi kwa ajili ya kwenda kufanya kazi nchini Uingereza yaani "Tier 5 for temporary workers and exchange scheme".

Vibali hivi hutolewa kwa ajili ya kazi kama za kujitolea, utamaduni, kazi za kidini, na majukumu mengine ya kimataifa kama vile kufanya kazi sambamba na mtu fulani au kikundi fulani (job shadowing).

Kuna madaraja matano katika vibali hivi.

1. Ubunifu na michezo: - Kundi hili linawakilisha wanamichezo, wabunifu, na wasanii ambao watakuwa nchini Uingereza kwa muda wa miezi isopungua 12.

2. Kufanya kazi ya kujitolea- unapewa kibali cha kufanya kazi kwa kujitolea bila kupata malipo lakini unajimudu mwenyewe kwa malazi, chakula na fedha za kujikimu.

3. Watumishi wa Mungu - Kibali hichi hupewa wachungaji na viongozi wengine wa dini ambao wanakwenda kufanya kazi katika nyumba za ibada na kuhubiri.

4. Watumishi wa serikali na watumishi wa kazi za makubaliano ya kimataifa - hapa wanaingia watumishi wa umma, taasisi za serikali, wasaidizi maalum wa mabalozi na wale wanaojifunza kazi kwa vitendo.

5. Vijana au Tier 5 Youth Mobility Scheme - Hapa wanatajwa kuwa ni vijana ambao wana umriwa miaka kati ya 18 na 30 ambao wanakuwa wakiwawakilisha nchi zao katika kubadilishana utamaduni khasa katika maeneo ya biashara na utalii.

Kwa nia isiyo ya kiuchumi vijana hawa wanakuwa wakiruhusiwa kutembeleana na kujifunza kuhusu nchi zao na Uingereza.

Hizo ndizo njia mbalimbali za kupata kibali cha kufanya kazi nchin Uingereza.

NB:

Richard aliwahi kuishi na kufanya kazi nchini Uingereza, na baadhi ya nchi nyingine za Ulaya magharibi na mashariki na sasa amerudi Tanzania anajishughulisha na ujasirimali na ana kibanda cha kuchoma chips pale Kwamtgole wilayani Kinondoni.

Ila karibu kwa ushauri na mawazo.
Hahahaha mkuu apo mwisho umenchekesha [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila vizuri sana. Lakini kupata visa ya wingereza huwa naskia ni ngumu kweli ..masharti ni mengi na mpunga yatajwa kuwa mrefu ili uweze kufka apo London. Sa sjui kuna ukweli apo mkuu!
 
Ivi mkuu passport ni ela ngap inagharimu mkuu? Mfano passport ya kwenda Germany ivi ..
Mkuu juabkutofautisha kati ya passport na visa.
Passport au diplomatic passport ni hati ya kusafiria kwenda nchi yoyote. Inatambulisha uraia wako. Na pia inaingizwa katk database ambayo ina operate obviously world wide. Ivyo hiyo inapatikana uhamiaji kule kurasini kwa sh. Elf. 50 nadhani. Japo zaweza tokea fighisu fighisu kuipata. Kwa kawaida yaweza chukua hata mwezi kuipata. Pia inaweza chukua zaid ya hapo itategemea urefu wa mkono wako na kujiongeza.

Visa
Visa ni resident permit. Au hati ya makazi. Hiki ni kbali unacho omba au kupewa kuishi nchi husika. Sasa kuna visa au vibali vya aina nyingi ikiwemo work permit, Holliday visa, education visa na nyinginezo yaani inategemea unaenda kufanya nn kwenye nchi husika. Kama kutalii. Kusoma na mengine.
Kwahiyo katika uzi huu watu wanajadili jinsi ya kupata visa za nchi mbalimnali na kujua fursa ambazo zipo huko. Okiwa pamoja na changamoto

Occybeats.
 
Back
Top Bottom