Pagumu kivipi Mkuu?.Maelezo kidogo Tafadhali!!.
Hapafai huko watu wa huko kibao wanakimbilia hapa Scandinavia,kuna mshikaji wangu wa huko nilimuuliza vipi mbona umekimbia akaniambia kupata kazi ni ngumu saaana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pagumu kivipi Mkuu?.Maelezo kidogo Tafadhali!!.
mdau kwenye kupata schengen visa ni lazima kulipia ile travel insurance policy (wanasema minimum ni Euro 30000). hicho kigezo si ni kikwazo kikubwa au namna? ushauri tafadhali.
Siku moja utafanyikiwa kaveli kaza buti tu.
Mungu akubariki mzee Baba Mimi nasubiria ya ukraine majibu yanatoka soon.Sure mkuu. In God I Trust.
-Kaveli-
Mungu akubariki mzee Baba Mimi nasubiria ya ukraine majibu yanatoka soon.
naisi kama majibu walishatoa na wali ni email kwa waliofanikiwa kwa mwaka huu wa masomo... na watanzania nimewaona pia wamepata zali... sema labda scholarship ziwe tofauti na walizo ni email mkuuuuMungu akubariki mzee Baba Mimi nasubiria ya ukraine majibu yanatoka soon.
Nami nina ndoto hiyo sanaMimi nataka nije Marekani ikisha nivuke border kuingia canada je vipi bado uwezekano upo wa kuvuka border?
Sawa mkuu ngoja tujaribukama hawa ni Scam tuelezane pia... na maombi yanaendelea japo hii walinitumia muda mrefu na sikutaka kuangaika nayo cuz nilikuwa nina majukumu mengi so nili hailisha kudili nao... mtu akiona ana weza kujaribu bahati yake kama hao wa afrika magharibi nae ajaribu....
Study in Ukraine official website for Higher Education Universities

Ndoto ni kuamka mbio kuzikimbilia Mkuu
Mkuu HARUFUKiongozi.
Kujaribu kupo.
Na Africa usiidharau.
Kuna Watu ndani ya Bara letu wanatengeneza Pesa ya kufa Mtu
Umenena Kiongozi.Mkuu HARUFU
Juzi nilikuwa narudi toka Japan nimekutana na wazungu,wajapani na wachina ambao wanakuja kukata waya bongo(wajasirimali)mimi nimekuja na wajapani 6 ambao wanakuja kuangalia fursa za Kilimo,kufua umeme kwa solor,Maji na madini.
Wakati huo waBongo nao wanakwenda nje kutafuta maisha.Tofauti ni wanaoukuja Bongo wana pesa na wanajua wanataka nini.Sisi (SIO wote) tunakwenda kuanza maisha hatuna pesa na hatujui tuanzie wapi.
Muhimu kwa sisi tutoke nje ya nchi ili tuelimike na kupata pesa ili tukirudi tuzione Fursa.Bongo Kuna fursa kibao Ila utaziona ukiwa unapesa au umetoka nje.
CC Nyani NgabuUmenena Kiongozi.
Kutoka ni Elimu pana sana.
Na kingine kuna baadhi ya Vitu kimaisha hutoweza kuvielewa mpaka uwe Nje ya Nchi.
Unajua kwanini?
Hapa nazungumzia uhalisia wa Maisha ya Nje kwasababu kila mmoja atakuelezea vile Maisha aliyokutana nayo Nje.
Na hapo Ushukuru kwa Mtu mkweli na Muwazi.
Watu wengi huwa hawapendi kuwaambia wenzao Ukweli wa Maisha ya Nchi husika.
Na wanapenda kuongopa kwasababu zao maalum, labda tu wanaogopa kuchweka au kudharaulika.
Na pia wengine kwa shughuli wanazozifanya inabidi afiche na aongope, kumbe Mtu huyo huyo ukija kwenye uhalisia unakuta ni Tapeli, Mwizi, sema haya yote huwezi kuyajua mpaka utoke.
Na kuna vikwazo vingi sana.
Kuna watu wamekwama, wanashindwa hata kwenda kusalimia Nchi zao wanaogopa wakitoka kuingia tena itakuwa ngumu.
Wewe jiulize kitu kimoja tu.
Kuna Mtu asiependa Nyumbani kwake?
Jibu sio kweli.
Hamna Mtu asipenda Nyumbani kwake na unapokuwa Nchi za Watu, Akili kila wakati lazima iwaze Nyumbani.
Kwahiyo usishangae Mtu kuwa Nje miaka mingi bila kurudi kwao kusalimia hata siku moja.
Ukiona Mtu wa hivyo ujue huyo hana Vibali vya uhakika vya kumuwezesha kutoka na kuingia tena.
Huu mfano mdogo na mengine mengi huwezi kuyafahamu mpaka utoke.
Kuna siri nyingi sana
Umenena vema mkuu HARUFU.Umenena Kiongozi.
Kutoka ni Elimu pana sana.
Na kingine kuna baadhi ya Vitu kimaisha hutoweza kuvielewa mpaka uwe Nje ya Nchi.
Unajua kwanini?
Hapa nazungumzia uhalisia wa Maisha ya Nje kwasababu kila mmoja atakuelezea vile Maisha aliyokutana nayo Nje.
Na hapo Ushukuru kwa Mtu mkweli na Muwazi.
Watu wengi huwa hawapendi kuwaambia wenzao Ukweli wa Maisha ya Nchi husika.
Na wanapenda kuongopa kwasababu zao maalum, labda tu wanaogopa kuchekwa au kudharaulika.
Na pia wengine kwa shughuli wanazozifanya inabidi afiche na aongope, kumbe Mtu huyo huyo ukija kwenye uhalisia unakuta ni Tapeli, Mwizi, sema haya yote huwezi kuyajua mpaka utoke.
Na kuna vikwazo vingi sana.
Kuna watu wamekwama, wanashindwa hata kwenda kusalimia Nchi zao wanaogopa wakitoka kuingia tena itakuwa ngumu.
Wewe jiulize kitu kimoja tu.
Kuna Mtu asiependa Nyumbani kwake?
Jibu sio kweli.
Hamna Mtu asiependa Nyumbani kwake na unapokuwa Nchi za Watu, Akili kila wakati lazima iwaze Nyumbani.
Kwahiyo usishangae Mtu kuwa Nje miaka mingi bila kurudi kwao kusalimia hata siku moja.
Ukiona Mtu wa hivyo ujue huyo hana Vibali vya uhakika vya kumuwezesha kutoka na kuingia tena.
Huu mfano mdogo na mengine mengi huwezi kuyafahamu mpaka utoke.
Kuna siri nyingi sana
Umenena vema mkuu HARUFUUmenena Kiongozi.